Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,580
Nyani Ngabu,
Badala kutoa ushauri mshikaji wetu ili aweze kuishi na wife wake vizuri unacheka.
Hivi vitu tuvisikie kwa wenzetu lakini ni hatari sana wewe unadhani jamaa yupo kwenye hali gani baada ya kuona makalio ya wife wake jamaa kafanya sucking of skin? Na mke ndio unampenda!
Python, kuna vitu huwa vinachekesha ingawa havichekeshi.
Sasa hapa hata wewe hebu fikiria....hizo love bites zilipatikanaje? Ina maana mwanamke alilala kifudifudi halafu jamaa akasogeza uso wake kwenye masaburi na kuanza kyang'atang'ata au mwanamke alikuwa on all fours halafu jamaa ndo akasogeza mdomo wake na kuanza kazi?
Kuna maswali mengi sana hapa ya kuuliza. Unajua mtu unapotaka kutoa ushauri mzuri huna budi kuuliza maswali ya msingi...lol.