Mume dhaifu hata Siku atakuja mtu kukugongea mkeo hapo kwako we ubaki unacheka tu.
Mume dikteta ni option ya pili baada ya mume anaejali utu na kusikiliza nini mwenzie anataka (m-demokrasia).
Faida za mume dikteta ni kua panapokua na kosa, majadiliano yenye kuchelewesha hukumu hayana nafasi, bali ni adhabu hapohapo.
unataka kufahamu nini? funguka tukusaidie km unataka kufahamu mb ya msingi na sio kuuliza mambo nusu nusu.
bora dikteta kuliko dhaifu.
Raha ya dikteta mlize kitandani, period!
Mume dhaifu ndiyo yule anayechekacheka hovyo kama baba Mwanaasha?