Mume aomba ulinzi wa Polisi kumkwepa Mke wake

CPU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
3,863
686
Mwanaume mmoja mkoani Tanga asubuhi ya jana Jan 29, 2011 alikwenda kituo cha Polisi akiomba alindwe kutokana na mke wake kutaka kufanya nae mapenzi kila mara.

Jamaa huyo aliwaeleza polisi kuwa amekuwa akilazimika kulala ktk sofa ili kulikwepa ligwaride na mke wake waliezaa nae watoto wawili. Ameeleza zaidi kwamba hata hapo ktk sofa mke wake amekuwa akimfuata kudai haki yake ya ndoa, kitu ambacho amesema imemfanya asilale usiku kucha

 
hii nayo kali...angemleta kwangu na ningemsaidia sana maana mi natakaga wanawake wa hivyo.... naomba anipe kaz ya kumlinda huyo mama.
 
Back
Top Bottom