Mume ana wivu

Hiyo ndoa itakuwa ya kwa mkuu wa wilaya ila kama wote ni wacha mungu nakumbuka siku ya kufurahisha wapambe na marafiki mliongoe kuwa Utamuacha baba na mama yako na wote mtakuwa mwili mmoja au wewe uliolewaje mwenzangu hukusema hayo?au ulikuwa unafurahisha nafsi yako na hayakutoka moyoni mwako?na kumbuka maandiko yanasema enyi wanawake watiiini waume zenu na enyi wanaume wapendeni wake zenu sasa wewe kama mkristu na unayehudhuria kanisani kila jumapili unalijua hilo au unasoma biblia au kitabu cha maandiko tatakifu kama novel?
Nisaidie inawezekana sijaelemika kwenye masuala mazima ya kujenga familia iliyo bora na yenye furaha na upendo wa dhati labda napapasa tu nisamehe sijenda shule sanaa nimesoma sunday school mno na madras

kijana taratibu na mikono yako, type ukijitambua....ndoa yangu ni ya kanisani, mkristu ambae kila jpili nahudhuria church....sheria zako za ndoa uczihamishie kwangu, nina mcmamo wangu wa maisha na umenisaidia na kunifikisha nilipo.. mume anaheshimiwa kama ifuatavyo, lakini hana ruhusa ya kunibadili na ubongo wangu nikakosa maamuzi yangu binafc....asante ubarikiwe na ndoa yako ya bible.
 
kweli nyamayao, huyu dada anatakiwa awe mgumu aweze kufanya maamuzi ya busara. nafikiri hawa ndio wale wa kuishia ICU cku akijua hayuko mwenyewe kuna mawife wengine!

Mom hujambo? Nimekumiss kweli. Ngoja niongee na invizibo arudishe chat room. Kama hataki tuhamishie kambi fesibuku...:A S 103::A S 103::A S 103::A S 103:
 
Mimi nadhani hana haja ya kuacha kazi na kuja kurudi bongo kwa ajili ya huyo mwanaume! Inaonekana jamaa hajiamini kwa sababu kipato chake ni kidogo au hamuamini mkewe kwa sababu tabia anazofanya yeye anadhani mkewe naye huko aliko anafanya hivyo.
 
Apime uzito tu kama kwao hakuna wa kumtegemea na yeye hana shida aache kazi tu arudi kumburudisha Mr.
Huo utakuwa ujinga.....anaweza kuacha kazi akarudi kumburudisha mumewe, lakini ana uhakika gani kama mume wake hataendeleza tabia zake za wivu. Mwisho anaweza kuambiwa aache kazi akae tu nyumbani.
 
Jamani kuna mtu amenionea mwalimu wangu Gaijin? Mkimwona mwambieni kuna mtu amechakachua akili ya mwanafunzi wake....... Nna mpango wa kuacha shule.

Afu hapa mnadiskasi nini vile? Mume ana wivu? Ebo, sasa mlitaka asiwe na wivu? Bila wivu atajuaje kama anampenda?

Narudi darasani.
 
jamaa hajiamini,ni hilo tu,dunia ya leo jamani sio ya kuacha kazi.Ufisadi bongo umejaa.mwanzo alimruhusu mwenyewe,iweje abadili uamuzi?Na hata akiacha,atatafuta sababu nyengine tu ya kumdidimiza,wanaume wenyewe ndio hivyo hivyo,huyo mwanamke mwache aendelee kuvumilia,ukiangalia ni yeye huwa anamtumia hela.kwa nini haridhiki?. Na kama wana watoto ndio kabisa huyo mwanamke afikirie watoto wake,na awape kipao mbele watoto wake mwanzo.Muhimu ajaribu kutafuta mtu,rafiki wa karibu wa huyo mwanamume ili amueleweshe,dunia ya leo jamani ni ya kusaidiana
 
Mimi nadhani hana haja ya kuacha kazi na kuja kurudi bongo kwa ajili ya huyo mwanaume! Inaonekana jamaa hajiamini kwa sababu kipato chake ni kidogo au hamuamini mkewe kwa sababu tabia anazofanya yeye anadhani mkewe naye huko aliko anafanya hivyo.

halafu katavi...huyu mwanaume angekuwa muelewa, hiyo pesa mama anayomtumia wangepanga wafanye mume aendelee kufanya maendelea hapo bongo, waongeze hiki na kile, wawekeze hapa na pale...sio kulia lia wivu wakati bado unahudumiwa tu....
 
nadhani wengi wetu tunawapenda sana waume zetu, kama mie nampenda sana tena sana mr wangu...lakini kwenye upuuzi mapenzi pembeni.

Nyamayao in ACTION!
Hebu punguza ukali wa Maneno Nyamayao... Muhimu hakuna kurudi, na hakuna kumsikiliza.. Mwambie huyo Dada atafute maisha.. Wivu huwa haujengi ila unabomoa..
 
Yeye ndio mwenye maamuzi na uchaguzi akiaamua kurudi haya sawa, akiona kama vile anamzingua akiamua kumpotezea abaki huk huko haya sawa, ila kwa huyu mwanamke lazima atarudi tu maana ameishaanza kulia unafikiri atavumilia
 
Jamani kuna mtu amenionea mwalimu wangu Gaijin? Mkimwona mwambieni kuna mtu amechakachua akili ya mwanafunzi wake....... Nna mpango wa kuacha shule.

Afu hapa mnadiskasi nini vile? Mume ana wivu? Ebo, sasa mlitaka asiwe na wivu? Bila wivu atajuaje kama anampenda?

Narudi darasani.

Mweeeh!
 
halafu katavi...huyu mwanaume angekuwa muelewa, hiyo pesa mama anayomtumia wangepanga wafanye mume aendelee kufanya maendelea hapo bongo, waongeze hiki na kile, wawekeze hapa na pale...sio kulia lia wivu wakati bado unahudumiwa tu....

Wanawake bana...

Tusipowalilia wivu wanatuona tunacheat...infidelity
Tukiwalilia wivu tunaonekana wasumbufu
Sijui tufanye nini yailahi toba?
 
Wanawake bana...

Tusipowalilia wivu wanatuona tunacheat...infidelity
Tukiwalilia wivu tunaonekana wabaya
Sijui tufanye nini yailahi toba?

unajua hakuna asie na wivu kwa ampendae?...lakini ucvuke mpaka bwana.
 
Mom hujambo? Nimekumiss kweli. Ngoja niongee na invizibo arudishe chat room. Kama hataki tuhamishie kambi fesibuku...:A S 103::A S 103::A S 103::A S 103:

nipo kakangu, ndoa hizi ngumu sana!
 
unajua hakuna asie na wivu kwa ampendae?...lakini ucvuke mpaka bwana.

Sasa kumbe mnazungumzia gubu si ndio? Manake kuna wivu na kuna gubu!

Mi sioni tatizo la wivu! Mi nna wivu kwa mke wangu, na sitaki mtu anishauri niwe tofauti na wivu huo.
 
Back
Top Bottom