Mume Alazimisha Kumlawiti Mkewe, Apata Aibu Kubwa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,293
33,078
INNOCENT NGARULA [40] amejikuta akidhlilishwa na mke wake usiku wa kuamkia jana baada ya mke huyo kuamua kutoa siri ya malumbano kati yao na kubainisha mume wake alikuwa akihitaji kumuingilia kinyume na maumbile.
Mwanaume huyo alikuwa akimsumbua mke wake huyo aliyetambulika kwa jina moja la Jojina [23] kufanya naye mapenzi kinyume na maumbile huku Jojina akipinga kitendo hicho na kutoa ahadi hewa kwa mumewe.

Jojina amedai kuwa mume huyo alikuwa akimsumbua sana hali iliyopelekea na awe anamuongopea na kumpa kalenda kila siku.

Siku hiyo mume wake huyo alichoshwa na kalenda hizo na mkewe na ndipo ugomvi ulianza kati yao na kupelekea mwanamke huyo kutakiwa kuondoka.

Innocent aliuchukua uamuzi wa kumfukuza mkewe huyo usiku majira ya saa 5 usiku lakini Jojina aligoma kuondoka na ndipo alianza kushushiwa kichapo na mumewe.

Kelele za kuomba msaada za Jojina ziliwaamusha baadhi ya wapangaji wa nyumba hiypo kuamua kumuuliza Jojina nini kimemsibu.

Jojina alikuwa akishinikizwa na mume wake aondoke na baadhi ya majirani waliamua kumuuliza mumewe ni kwanini alikuwa akimfukuza mkewe usiku huo na kutoa sababu kuwa mwanamke huyo alikuwa ni jeuri na alichukua fedha bila idhini yake.

Hata hivyo baba mwenye nyumba huyo alimsihi mume huyo amvumilie mke mke wake hadi asubuhi ndipo aondoke kwa kuwa ule ulikuwa usiku.

Lakini Innocent hakuhitaji ushauri huo na alianza kumshambulia kwa makofi Jojina akimtaka aondoke na ndipo Jojina alipoamua kutoa siri hiyo kwa wanawake wenzake mbele ya mwenye nyumba na mwanamume huyo kupatwa na aibu kubwa.

Baada ya mwanamke huyo kutoa siri hiyo mwanaume huyo kwa jazba alitaka kuendeleza kipigo na watu kumsaidia mwanamke huyo kumsitiri ili kukicha ajue ustarabu wa kufanya.

Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana huko maeneno ya Kigogo jijini Dar es Salaam.



chanzo Mume Alazimisha Kumlawiti Mkewe, Apata Aibu Kubwa
 
Mke nae hana busara hadi anaropoka si angelikimbia hilo li filauni kimyakimya hajui nae kuwa amejidhalilisha kwa kuongea ujinga mbele ya halaiki.?
 
eeeenhhee kumbe huwa ndoa zingine zinavunjika kwa mengi bora jojina umeendelea kulinda bikira yako ya uani..
 
Mke nae hana busara hadi anaropoka si angelikimbia hilo li filauni kimyakimya hajui nae kuwa amejidhalilisha kwa kuongea ujinga mbele ya halaiki.?

Haya mambo yafichwe hadi lini? Kama sio chaguzi yake kufanya "anal sex" ni kwa nini aridhie! ama ni sehemu ya makubaliano ya ndoa?
 
40-23 = 17!!! SHAME ON YOU INNOCENT!... Jina na Matendo yako ni vitu mia tofauti kabisa!!! Nampa hongera sana Jojina kwa kufichua tabia chafu ya huyo Mjaa Laana!
 
Duh,
Are we complete?, Are we finished?, Or are we completely finished?
 
Jojina atarudi kwa Innocent in no time.. tena na Tigo atatoa! anayebisha na abishe ila ndio dunia yetu imefikia huko
 
Eeee mungu wa minguni tunusuru na hawa makameruni,
Nampongeza huyo jojina kuweka ukweli hadharani.
 
Mwenyezi mungu atustiri yani huyu bwana mpaka anafikia kumpiga mke kwa ufirauni alokua nao... aibu sijui atawaangaliaje wapangaji wenzie....
 
Ni nani anaweza kuhakiki "allegations" za Jojina dhidi ya Innocent? "What if" alikuwa anamsingizia mume ili apate huruma ya wapangaji wenzie?
 
ndio matatizo ya kusikiliza story za vijiweni; ukirudi nyumbani na wewe unalizimisha kupewa tiGo ili upate cha kusimulia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom