Mume agundu kuwa anaibiwa.

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Jamaa kaamka asubuhi
sana Jumamosi, mvua
kubwa ikawa inanyesha,
pamoja na mkewe
kumsihi abaki kitandani
yeye akang'ang'ania
kuwa anaenda ofisini.
Akajitayarisha akatoka
nje akamwacha mkewe
keshapitiwa na usingizi.
Lakini kufika njiani hali
ilikuwa mbaya sana,
madimbwi, miti
imeanguka, akaamua
kurudi mwenyewe.
Kafika home kavua nguo
kaingia tena kitandani,
kamnong'oneza mkewe
aliyekuwa usingizini;
MUME: Yaani hali ya hewa
mbaya sana huko nje ni
balaa tupu
MKE: (akiwa bado
usingizini) Si ndio
nimemshangaa huyu
mpumbavu eti katoka
hapa kaenda
kazini.........KWA SASA MKE
YUKO HOSPITALI
 
Kama huyo demu yupo hospitali kwa sababu ya kipigo, basi kaonewa tu, maana alikuwa usingizini/ndotoni!
 
Ndotoni wakati alithibitisha kua ndo katabia kake.
 
Hakuna cha ajibu,na kumpiga mkewe amekosea sana maana akiibiwa mara ngapi ile kitu haiishi na hao wezi hawawezi kuondoka nayo!
 
Hakuna cha ajibu,na kumpiga mkewe amekosea sana maana akiibiwa mara ngapi ile kitu haiishi na hao wezi hawawezi kuondoka nayo!
Kwa mujibu wa hekima ya mfalme suleiman inaonyesha wewe huna mke.
 
Hakuna cha ajibu,na kumpiga mkewe amekosea sana maana akiibiwa mara ngapi ile kitu haiishi na hao wezi hawawezi kuondoka nayo!

Ha hah ha haaah teh teh teh tehe eeeeeh, mjomba hapa umeniacha hoi kweli, halafu ile kitu haina alama, hata wakigonga watu kumi huishitukii
 
Hakuna cha ajibu,na kumpiga mkewe amekosea sana maana akiibiwa mara ngapi ile kitu haiishi na hao wezi hawawezi kuondoka nayo!

Ila wanaacha mdudu atakaegarimu maisha yake
 
Naacha kamchina kangu namimi standby ili baadae iwe simple kucheki hivi vituko vya wasomi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom