Mulugo hujambo?

mashambani kwao

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
370
56
Leo nimeangalia tv ccm, naibu waziri wa elimu amesema kuwa watoto wanaomaliza hawajui kusoma na kuandika kwa sababu walimu wanakunywa pombe.Mimi kwa point hiyo hajanishawishi hata kidogo wana Jf,hivi ni kweli sababu inakidhi?naomba tusaidiane,mchana mwema.
 
Back
Top Bottom