Muleba: Waislam Wilayani hapa watofautiana kuhusu MOU

Status
Not open for further replies.
waislamu wa milama,bulembo pale kamachumu wanafurahia huduma ya ndolage hospital bila kusaau maeneo ya buganguzi wafurahia huduma ya rubya..hizo pumba wanaziendekeza waislamu wa kariakoo na bagamoyo.

bila kusahau Izimbya,Mwemage,Kishuro....hivyo ni vituo vya afya vya makanisa,mwanaJF sehemu vilipojengwa ukipaona huwezi kuamini....ni sehemu ambazo serikali ingewachukua karne nyingine mbili kuwekeza huko...hinter land!
 
Nilikuwa Peramiho intern wagonjwa kama 20-40% ni Muslim na hapa kuna huduma ambazo zinatolewa bure kwa wakubwa na watoto.
Watoto kati ya mwaka 0-10yrs Hawalipi dawa wala vipimo vya maabara.
Wakubwa hawalipi vipimo kama BS, HB, STOOL, URINE NA SUKARI.
Registration fee ni 1000Tsh.
Jamani tuseme ukweli wapi utapata huduma kama hizi bure kama hivi. Ultrasound 5000/=, xray 5000/= kwa ujumla hela ambayo inakusanywa na hospitali haitoshi hata kuwalipa wafanyakazi wake na serikali imeamua kuchukua wafanyakazi wake wote iwalipe lakini wako chin ya mishen. Peramiho is the most trusted hospital in southern highlands. Mgonjwa akiangukiwa dawa hospital ya mkoa hanywi mpaka aje ajiulize peramiho. Nafikiri Muslim wafike mahali welewe huduma hizi ni za wote. Cha kushangaza wafanyakazi kibao wapo ambao ni Muslim wapo hapa mfano wapo akina Dr shaban, Dr Mansouri na manesi na wengine kibao. Ingekuwa hospital ya kiislam kama ungeona mkristo hata mmoja. Mfano nenda Agakhan utaona kama wapo wakristo basi wamepigiwa mapande. Nawashukuru wazazi wangu walinilea katika misingi ya kikristo kwenye upendo na wala hakuna kulipana visasi si kama walivyo hawa wenzetu. Jk kila mwaka anasafirisha mahujaji wa kiislam 100 mbona sisi hatusemi.
Nampongeza shehe mkuu wa Dsm jana TBC alipinga maandamano hayo. Naona ameanza kuelewa kama si kapoozwa na ikulu kwa posho za safari za uarabuni. Nawakilisha

I wish tungeweza kuwakusanya na kuwapeleka huko Peramiho na sehemu zingine zinazotoa huduma za jamii kwa ushirikiano wa serikali na kanisa hawa mashehe wetu...Mkandara,Topical,Mdondoaji, Ally kombo, Mohamed Said, Faiza Foxy, Anheuser, Barubaru, Ritz n.k
 
Kila kitu kinawaonea waislam..... Hivi mmeshachunguza vizuri kweli kama mungu nae hawaonei?

Umemaliza kila kitu.
Wajua hawa ndugu zetu wamefanya kila mtu (Kiongozi na asiye Kiongozi), kila hali (Mvua na Jua, Utajiri na Umaskini, etc) na kila kitu (huduma za jamii na maendeleo) kuwa ni kionevu katika fikra zao. Wamejivika unyonge ndani ya fikra na kuruhusu hisia za kuonewa kuenea si tu katika mbongo zao bali hata katika jamii zao. Na ukiisha jihukumu kuwa wewe ni dhaifu kwa kuwa unaonewa, daima akili yako hukaa mapumziko ikikuacha kutumia maguvu kukabiliana na hicho unachoita uonevu.
 
Hivi ukitaka kusaidia lazima uingie mkataba?

Mkataba ni neno la kisheria. Msingi wa kwanza kabisa wa sheria ya mikataba unasema mkataba shurti uwe na unachopata in return, consideration. Na hivyo, kama kuna kitu unapata in return, basi huo sio msaada.

Kwa nini tunaambiwa makanisa yanatoa "msaada" wakati kuna "mkataba" unachowapa something in return?

kumbe 'mkataba' ni lazima uwe na 'something in return'?
Miaka yote nilikuwa najua ni 'any written valid agreement powered by law'...
Aisee? Itabidi nichunguze mikataba yote niliyowahi kuingia ili ni-claim something yangu.
 
Na kwa nini waislam nao wanautamani MOU. FYI, serikali ndiyo iliyoomba kuwepo na MOU kuwa taasis itakayo pewa ruzuku ya kujenga uwezo itoe huduma kwa vigezo na viwango vinavyoridhisha. Na hili taasis hizo zimelitimiliza, angalia ushahidi: taasis za elimu zinatoa elimu bora kabisa (best perfomance), taasis za afya zinatoa huduma bora kabisa- angalia KCMC, peramihu, ndonda, St francis hospital et cetera. Fedha ya serikali haitolewi bila mwongozo au makubaliano, ndo maana hata waislam wameelezwa kuwa kama wanazo tasis zenye sifa wazioneshe ili ziongezewe uwezo na serikali na kupanua wigo wa huduma.
Hivi ukitaka kusaidia lazima uingie mkataba?

Mkataba ni neno la kisheria. Msingi wa kwanza kabisa wa sheria ya mikataba unasema mkataba shurti uwe na unachopata in return, consideration. Na hivyo, kama kuna kitu unapata in return, basi huo sio msaada.

Kwa nini tunaambiwa makanisa yanatoa "msaada" wakati kuna "mkataba" unachowapa something in return?
 
naona mnaongelea matokeo ya hizi hospitali.. Hivi hamjiulizi kwa nini zaidi ya asilimia 50 ya huduma za kijamii zinztolewa na katoliki?? Na ukizunguka tanzania nzima karibu kila wilaya kanisa katoliki lina miliki maeneo makubwa ya ardhi..hayo maeneo aliwapa nani?? Na kwa nini dini nyingine hazina haya maeneo?(kazi ya mbaguzi nyerere). Sisi waislamu tunachohitaji ni usawa tu.. Acheni ushabiki wa kidini after all hapa duniani tunapita leo umeshiba na afya njema unaweza kukaa mbele ya computer yako au simu ukaandika kwa kutumia hisia tu kesho haupo..
 
Na ma-shoping mall ya mlimani city ni kazi ya mbaguzi nani? Yale ya Manji ni kazi ya mbaguzi nani? Na ma-precision air ni kazi ya mbaguzi nani? KUMBE HUJUI KUWA HERI MWENDA BURE KULIKO MKAA BURE? Mwenda bure huenda akaokota. Nyie ni wa kulalamika tu... Ndiyo maana umeme ukikatika siku ya Eid huwa mnalalama... KUNA SIKU MTAMLALAMIKIA MUNGU KWA KUNYESHA MVUA SIKU YA EID.
 
Kuna fisadi anakubali?

Kwanini Serikali isiendeshe hizo huduma yenyewe? kwanini waislaam wakalazwe vitanda vyenye misalaba? ambayo ni "symbol" ya upagani?

Ni kwa sababu tu, leo hii huwezi kumtoa Muislaam kwenye dini yake na imani yake kwa Kumhubiria tu kama vile ambavyo wakristo wanaondolewa huko, kwa kuoneshwa tu ukweli uko wapi.

Hospitali, shule, vyakula, ngoma na mziki makanisani, ni vitu ambavyo vinafanywa kwa malengo. Malengo ni kuwatoa watu kwenye imani zao na kuwaingiza kwenye upagani (kuna kila ushahidi kuwa ukristo ni upagani, hususan roman catholic).

Na kwa kuwa mfumo uliopo (ambao ulijengwa na Nyerere) ni wa kuwa Ukristo (hususan RC) katika karibu kila sehemu muhimu na nyeti za utendaji Serikalini una wafuasi muhimu na wanajuwa nini wanakifanya, ni lazima haya tuyaone, lakini Waislaam tunasema, ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka. Tulikuwa hatuyajuwi hya na tukiyaona ni mema (kama hao Waislaam wa Muleba na kwingine), lakini wengi wetu tumeshaona ni kwanini na kwa faida ya nani. Katu hatutarudi nyuma na tutalipinga hili "mpaka kieleweke".

Ama serikali kwa kutumia fedha hizohizo inazowapa wakristo wafunguwe hospitali na vituo vya afya vingine ama waachane na huu ubadhirifu na ufisadi wa hali ya juu. Kwanini Kanisa au Serikali vitegemeane wakati Serikali haina dini?

Wakati Waislaam walikuwa na mikakati ya vyuo vikuu, mahospitali na huduma za kijamii kupitia EAMWS, Nyerere aliiuwa hii kwa makusudi kabisa na kuleta BAKWATA ambayo ni chombo chake kilichohakikisha yote mema kwa Waislaam hayafanyiki kwa kuwatumia haohao Waislaam aliowataka yeye.

Haya yote tunayajuwa na hizi "propaganda" za sijui Muleba sijui Peramiho hazijaanza leo. Fumbo hufumbiwa mjinga. Tutafika.

Sababu za Nyerere kutaka kupewa uwenye heri na utakatifu?
 
Kila kitu kinawaonea waislam, Serikali ya Tanzania, Makanisa ya Tanzania, NECTA, HESLB, Serikali ya USA, Nchi za Ulaya, Vibaraka wa USA huko Arabuni, Wachina, JF, BAKWATA, East Africa Community, Russia, Wachina wooooote wanawaonea Waislam....poleni sana Waislam. Hivi mmeshachunguza vizuri kweli kama mungu nae hawaonei?

Hiyo iko wazi maana sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, pia hao wote uliowataja ni watu wa Mungu hivyo wajitafakari upya maana hata wasanii wa bongo fleva wanawaonea maana ni waislam lakini wanaimba muziki, hata Choki muislam bila kumsahau mzee Yusuf. Uislam una zaidi ya dini.
 
Kuna fisadi anakubali?

Kwanini Serikali isiendeshe hizo huduma yenyewe? kwanini waislaam wakalazwe vitanda vyenye misalaba? ambayo ni "symbol" ya upagani?

Ni kwa sababu tu, leo hii huwezi kumtoa Muislaam kwenye dini yake na imani yake kwa Kumhubiria tu kama vile ambavyo wakristo wanaondolewa huko, kwa kuoneshwa tu ukweli uko wapi.

Hospitali, shule, vyakula, ngoma na mziki makanisani, ni vitu ambavyo vinafanywa kwa malengo. Malengo ni kuwatoa watu kwenye imani zao na kuwaingiza kwenye upagani (kuna kila ushahidi kuwa ukristo ni upagani, hususan roman catholic).

Na kwa kuwa mfumo uliopo (ambao ulijengwa na Nyerere) ni wa kuwa Ukristo (hususan RC) katika karibu kila sehemu muhimu na nyeti za utendaji Serikalini una wafuasi muhimu na wanajuwa nini wanakifanya, ni lazima haya tuyaone, lakini Waislaam tunasema, ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka. Tulikuwa hatuyajuwi hya na tukiyaona ni mema (kama hao Waislaam wa Muleba na kwingine), lakini wengi wetu tumeshaona ni kwanini na kwa faida ya nani. Katu hatutarudi nyuma na tutalipinga hili "mpaka kieleweke".

Ama serikali kwa kutumia fedha hizohizo inazowapa wakristo wafunguwe hospitali na vituo vya afya vingine ama waachane na huu ubadhirifu na ufisadi wa hali ya juu. Kwanini Kanisa au Serikali vitegemeane wakati Serikali haina dini?

Wakati Waislaam walikuwa na mikakati ya vyuo vikuu, mahospitali na huduma za kijamii kupitia EAMWS, Nyerere aliiuwa hii kwa makusudi kabisa na kuleta BAKWATA ambayo ni chombo chake kilichohakikisha yote mema kwa Waislaam hayafanyiki kwa kuwatumia haohao Waislaam aliowataka yeye.

Haya yote tunayajuwa na hizi "propaganda" za sijui Muleba sijui Peramiho hazijaanza leo. Fumbo hufumbiwa mjinga. Tutafika.

Sababu za Nyerere kutaka kupewa uwenye heri na utakatifu?

Waambie wasilale wafe. Kama Mwislam hataki mwambieni aache kwani halazimishwi, mimi nafikiri maandamano yalitakiwa yawe ya kupinga waislam wote wasiende Shule za Wakristo c wasiende Hospitali za Wakristo na pia wasisome vyuo vya Wakristo, hapo nitawaelewa na wale wote waliopo waondoeni mara moja! Huo ndio msimamo makini. Usimkatae kitimoto wakati umeshiba lakini ukiwa na njaa ni rukhsa kumla! Huo ni unafki wa hali ya juu sana na hapo ndipo huwa nawadharau sana kuwa hamna maamuzi sahihi zaidi ya malalamiko. Hamna lolote domo tu
 
Uislaam huujuwi, ungeujuwa usingesema hayo. Kwako wewe hujuwi kitu kidogo sana, Uislaam ni kujisalimisha kwa Mwenyeezi Mungu na kuachana na upagani.

Sasa nyinyi mnaojidanganya kuwa ukristo (huu wa Kiroma) ni dini, ndio mliopotea waziwazi, msalaba una maana ipi kama si Upagani? masananmu yana maana ipi kama si upagani, vatikan yenyewe imejengwa kwa kuabudu moto na upagani mtupu hata majengo yake yanaashiria hilo, sherehe za krismasi zina maana ipi kama si upagani? Jee hujioni kuwa wewe unaetetea Upagani kuwa ni punguwani. Mapagani wanakuaminisha kuwa Mwanaadam mwenzako ni Mungu na wewe kama msukule unafata tu, na unachangia fungu la kumi bila kusita, hata akili yako inashindwa kujiuliza. Pole sana.

Kwa kuwa nyinyi mshafanywa misukule na mapagani wa ki Roma basi mnataka kila mmoja duniani awe kama nyinyi akitaka asitake, lakini hilo limepitwa na wakati: http://uk.reuters.com/article/2008/03/30/uk-vatican-muslims-idUKL3068682420080330
 
Faiza kwani kuna ubaya gani mtu akiwa upagani? Nyie si mnasema hakuna kulazimishana kwenye dini? Kwa nini kupinga upagani wangu? Wewe inakuuma nini watu wengine wakiamua kuwa wapagani?
 
Uislaam huujuwi, ungeujuwa usingesema hayo. Kwako wewe hujuwi kitu kidogo sana, Uislaam ni kujisalimisha kwa Mwenyeezi Mungu na kuachana na upagani.

Sasa nyinyi mnaojidanganya kuwa ukristo (huu wa Kiroma) ni dini, ndio mliopotea waziwazi, msalaba una maana ipi kama si Upagani? masananmu yana maana ipi kama si upagani, vatikan yenyewe imejengwa kwa kuabudu moto na upagani mtupu hata majengo yake yanaashiria hilo, sherehe za krismasi zina maana ipi kama si upagani? Jee hujioni kuwa wewe unaetetea Upagani kuwa ni punguwani. Mapagani wanakuaminisha kuwa Mwanaadam mwenzako ni Mungu na wewe kama msukule unafata tu, na unachangia fungu la kumi bila kusita, hata akili yako inashindwa kujiuliza. Pole sana.

Kwa kuwa nyinyi mshafanywa misukule na mapagani wa ki Roma basi mnataka kila mmoja duniani awe kama nyinyi akitaka asitake, lakini hilo limepitwa na wakati: Muslims more numerous than Catholics: Vatican | Reuters

duh?
Pumba... Sasa mada hapa ni upagani wa wakatoliki au legacy ya MoU?
Yaani wewe dada ni mpuuzi kweli kweli...
Mbona China ambayo ina wapagani 70% wanashirikiana na sisi vitu kibao? Urafiki Textile, Uwanja wa Taifa, CRJE Contsruction etc
hayo wewe huyaoni, ila umeona ya Upagani wa Wakatoliki...
 
Kuna fisadi anakubali?

Kwanini Serikali isiendeshe hizo huduma yenyewe? kwanini waislaam wakalazwe vitanda vyenye misalaba? ambayo ni "symbol" ya upagani?

Ni kwa sababu tu, leo hii huwezi kumtoa Muislaam kwenye dini yake na imani yake kwa Kumhubiria tu kama vile ambavyo wakristo wanaondolewa huko, kwa kuoneshwa tu ukweli uko wapi.

Hospitali, shule, vyakula, ngoma na mziki makanisani, ni vitu ambavyo vinafanywa kwa malengo. Malengo ni kuwatoa watu kwenye imani zao na kuwaingiza kwenye upagani (kuna kila ushahidi kuwa ukristo ni upagani, hususan roman catholic).

Na kwa kuwa mfumo uliopo (ambao ulijengwa na Nyerere) ni wa kuwa Ukristo (hususan RC) katika karibu kila sehemu muhimu na nyeti za utendaji Serikalini una wafuasi muhimu na wanajuwa nini wanakifanya, ni lazima haya tuyaone, lakini Waislaam tunasema, ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka. Tulikuwa hatuyajuwi hya na tukiyaona ni mema (kama hao Waislaam wa Muleba na kwingine), lakini wengi wetu tumeshaona ni kwanini na kwa faida ya nani. Katu hatutarudi nyuma na tutalipinga hili "mpaka kieleweke".

Ama serikali kwa kutumia fedha hizohizo inazowapa wakristo wafunguwe hospitali na vituo vya afya vingine ama waachane na huu ubadhirifu na ufisadi wa hali ya juu. Kwanini Kanisa au Serikali vitegemeane wakati Serikali haina dini?

Wakati Waislaam walikuwa na mikakati ya vyuo vikuu, mahospitali na huduma za kijamii kupitia EAMWS, Nyerere aliiuwa hii kwa makusudi kabisa na kuleta BAKWATA ambayo ni chombo chake kilichohakikisha yote mema kwa Waislaam hayafanyiki kwa kuwatumia haohao Waislaam aliowataka yeye.

Haya yote tunayajuwa na hizi "propaganda" za sijui Muleba sijui Peramiho hazijaanza leo. Fumbo hufumbiwa mjinga. Tutafika.

Sababu za Nyerere kutaka kupewa uwenye heri na utakatifu?

Kama hivi ndivyo "Great Thinker" wao anavyofikiri you can imagine what the masses think.
 
Hivi ukitaka kusaidia lazima uingie mkataba?

Mkataba ni neno la kisheria. Msingi wa kwanza kabisa wa sheria ya mikataba unasema mkataba shurti uwe na unachopata in return, consideration. Na hivyo, kama kuna kitu unapata in return, basi huo sio msaada.

Kwa nini tunaambiwa makanisa yanatoa "msaada" wakati kuna "mkataba" unachowapa something in return?

MoU haitoi kitu in return kwa Taasisi za Kanisa zenye kuhudumia afya na elimu badala yake MoU inafacilitate smooth operations kwenye hizo taasisi. Lengo la serikali kutoa ruzuku kwa hospitali za makanisa ni kupunguza mzigo wa gharama za uendeshaji ili wananchi wasibebe mzigo huo. Shida yenu wengi mnaongelea buguruni na hamjui ni hospitali gani zinazopewa ruzuku, na hizo hospitali zinaendeshajwe. Sasa acha nikusaidie:

Sio hospitali na zahanati zote zinapewa ruzuku na serikali. Ruzuku inatolewa kwa zile ambazo serikali imeona zipo ktk maeneo ambayo yenyewe serikali haijajiwekeza vya kutosha. Kwa mfn: Teule Hospital ya Muheza inaserve kama hospitali ya Wilaya. Hii inapata ruzuku na gharama za matibabu ni sawa na ukiwa Amana au Mwananyamala. Mnavyopiga kelele zisizo na msingi mnapeana taarifa zisizo sahihi kuhusu uendeshwaji wa hizi hospitali. Hizi hospitali (kama umesoma utanielewa) ni Persona Entity. Uhusiano wake na kanisa ni ktk umiliki lkn uendeshwaji unashikisha watu toka serikalini na wao ndio hufanya monitoring na budgeting. Bajeti inapotolewa KANISA HUTOA FUNGU na SERIKALI HUTOA FUNGU. Fungu linalotoka serikalini ni wajibu wa serikali na fungu linalotoka kanisani ni msaada tu. Sasa kabla hamjatoa hizi comments mfu kwenye majukwaa mngefanya jambo moja la msingi: Mngeenda kule kwenye hizi hospitali mkawauliza waislamu wenzenu wanaopata huduma hapo:
1. Je kuna ubaguzi wowote ktk kupata huduma?
2. Je gharama za matibabu ni za juu kuliko kwenye hospitali za serikali?
3. Je kiwango cha ubora wa huduma ni sawa na hospitali za serikali?

Binadamu ukishindwa kutumia akili yako kufikiri na badala yake ukamtegemea mtu ambaye hana elimu kukupa taarifa za kiuchunguzi basi jua umepotea. Ni wazi kuwa watu wasio na elimu huongozwa na hisia zaidi ya tafakuri. Akili za kuambiwa tuchanganye na zetu. Hawa waasisi wa kupinga MoU tuwaangalie na elimu zao na ufahamu wa juu ya yale wanayoyaongea. Mtu wa keko mwanga hawezi kujua yanayojiri Peramiho na Ndanda kwa imani, lzm uende au ufanye study na sio kuongozwa tu na hisia za kuonewa. Yaani imekuwa kila mtu anawaonea nyinyi tuu, mbona msijichunguze? Mbona haki nyingi, wajibu vipi?
 
Uislaam huujuwi, ungeujuwa usingesema hayo. Kwako wewe hujuwi kitu kidogo sana, Uislaam ni kujisalimisha kwa Mwenyeezi Mungu na kuachana na upagani.

Sasa nyinyi mnaojidanganya kuwa ukristo (huu wa Kiroma) ni dini, ndio mliopotea waziwazi, msalaba una maana ipi kama si Upagani? masananmu yana maana ipi kama si upagani, vatikan yenyewe imejengwa kwa kuabudu moto na upagani mtupu hata majengo yake yanaashiria hilo, sherehe za krismasi zina maana ipi kama si upagani? Jee hujioni kuwa wewe unaetetea Upagani kuwa ni punguwani. Mapagani wanakuaminisha kuwa Mwanaadam mwenzako ni Mungu na wewe kama msukule unafata tu, na unachangia fungu la kumi bila kusita, hata akili yako inashindwa kujiuliza. Pole sana.

Kwa kuwa nyinyi mshafanywa misukule na mapagani wa ki Roma basi mnataka kila mmoja duniani awe kama nyinyi akitaka asitake, lakini hilo limepitwa na wakati: Muslims more numerous than Catholics: Vatican | Reuters

FF naona unahangaika sana, baada ya waisilamu wenyewe kukosa unit naona sasa unaongeza kundi la ubaguzi yaani mnataka wakristo wasio wakatoliki wawaunge mkono, hili mmechemsha. Soma history ya ukristo utakuta madhehebu yote yametokana na kanisa katoliki pamoja na Orthodox. Wote walitoka lakini Kanisa likabaki limesimama. Wanagombana lakini sisi tupo imara. Rc ni kanisa lenye maadui wengi zaidi duniani lakini Mungu analilinda na linaendelea kustawi na litasimama mpaka mwisho wa dahari. Nenda hata Us shule na taasis za kikatoliki ndizo zinaoongoza kwa kutoa huduma bora coz ndo mission ya kanisa. Yaani kutoa huduma ya kiroho, elimu na afya. Na ndiyo maana popote uendapo utakuta kanisa, shule na hospital na ndiyo maana wanapewa maeneo makubwa kwasababu wako focused. Siyo kama nyinyi mlio blind hamjui hata nini mnahubiri. Kazi yenu kufunga majini tu na hamna jipya. Hukumbuki yule shehe mkuu wenu duniani alipookoka na kutoa ushuhuda wa kile alichokuwa akilea yaani majini. Naomba mjipange upya na mtaendelea kuchemsha mpaka wote muokoke. Mkija kwetu kupata huduma tunawalisha na ktm kabisa.
Kuna shule moja ya wasichana huku Songea moja ya sharti ni kulisha na kula kitimoto wazazi wakifika wanasainishwa kabisa kama hutaki kula kona wengi wanasign na wanasoma pale na Muslim na mifano ipo. Ndo ujue dini yenu ni mapepo. We huoni wanawake wengi wakiwa na majini yote ni ya kiislam kama hamfugi majini nini, yakitajiwa jina la Yesu yanatimuka. Ninayo mengi sana ya kusema ngoja niishie hapa
 
Status
Not open for further replies.
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom