Sidhani kama umeongea pointi hapa. Kwamba anafanya kazi nzuri ni sawa si yupo Mkoani kwake? Kwamba walioenda Dodoma wanatafuta posho umechemsha kabisa, unajuaje kama hawakugawana majukumu? Siasa sio kuandamana tu na unajua bungeni kuna muswada wa katiba mpya na ripoti ya Jairo, unataka upinzani uwakilishwe na John Cheyo?
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni , ni mbunge gani anaweza kumudu kazi anazofanya mukya , anazunguka nchi nzima kwa wahanga zanzibar ni yueye peke yake alienda kule wabunge wengine wanakula kuku Dar hongera go mukya go
wewe umemtamani ,au huwajui wengine au historia imekupita kushoto
Unatumia ****** kufikiri wewe!hujui Kama ni mrs mbowe wa pili? Usiwe unalopoka kuchafua Hali ya hewa bure waulize Arusha watakwambia.asiyelijua Hilo nani chadema ?
Unataka atembee na wabunge wote wa vti maalum? M...t...ko yako wewe!
siasa ni pamoja na kufanya harakati unakimbilia bungeni unaacha wananchi wananyanyaswa ? hao waliokimbilia bungeni wamechangia nini mpaka muda huu ?Sidhani kama umeongea pointi hapa. Kwamba anafanya kazi nzuri ni sawa si yupo Mkoani kwake? Kwamba walioenda Dodoma wanatafuta posho umechemsha kabisa, unajuaje kama hawakugawana majukumu? Siasa sio kuandamana tu na unajua bungeni kuna muswada wa katiba mpya na ripoti ya Jairo, unataka upinzani uwakilishwe na John Cheyo?
kigezo nilichotumia ni kufanya kazi ya ujenzi wa chama , wengine wanaangalia maslahi tu hawafikirii kujenga msingi imara wa siasa za cdmsijui umetumia vigezo gani hapo ,umetumia uwezo mdogo sana wa kufikiria.
hao wengine wanatekelezea wapi majukumu yao mbona hatuwaoni Mukya juzi kaongoza maandamano Arusha hao wengine wako wapi?Kwa kutumia kigezo cha yeye kuwa na mwenyekiti ndio kawafunika wenzake unakuwa hutendi haki hata kidogo,kila mmoja anawajibika katika nafasi yake kulingana na majukumu yanayotokea wakati huo hivyo si busara kuanza kusema nani kafanya nini na anawafunika wenzake.
historia ya nini tuangalie muda huu hayo ya historia tutayatumia kama rejeo tu , au kama una historia ya yeyote aliyewahi kufanya haya anayoyafanya mbunge huyu yabandike hapawewe umemtamani ,au huwajui wengine au historia imekupita kushoto
wataje kwa majina kama wapo wote wanachumia tumboMtoa mada nafikiri ana agenda bifsi juu ya Mukya ila ameshindwa kuiweka sawa na kaonekana wazi alikusudia kumpaisha ili wanajamvi waweze kumjua maana alikuwa hajasikika jamvini. Nadhani afanye uchunguzi wa kina kisha atajua kuwa kuna wabunge wengi sana wa chadema wa viti maalumu ambao wanapigana kufa na kupona kwa ajiri ya chama na daima wako mstari wa mbele huyo Mukya ndo kwanza namsikia .
Tunahitaji ushupavu katika ripot ya jairo na muswada wa katiba mpya
hayo ya kuwa mke wa mbowe ni maneno ya kujaribu kuchafua sifa nzuri alizonazo na ni maneno ya mkosaji daima . Arusha lazima watamheshimu sana go Mukya go usikatishwe tamaa na hawa wenye wivu wa kikeUnatumia ****** kufikiri wewe!hujui Kama ni mrs mbowe wa pili? Usiwe unalopoka kuchafua Hali ya hewa bure waulize Arusha watakwambia.asiyelijua Hilo nani chadema ?
Unataka atembee na wabunge wote wa vti maalum? M...t...ko yako wewe!