'Mukoba na Oluoch ndani ya TBC'

Brightman Jr

JF-Expert Member
Mar 22, 2009
1,225
232
Rais wa CWT na kaimu katibu wake watakuwa ndani ya TBC Taifa muda mfupi kutoka sasa katika kipindi cha asubuhi hii; kaa tayari kusikiliza kitakacho ongelewa.
 
Tayari amesha anza kuongea na ameanza kuongelea masuala ya mgomo wa walimu uliositishwa na mahakama.
 
Mukoba ni mtu mnafiki sana na ndiye anayewafanya walimu wote waonekane mahayawani.

Wasipokuwa makini wata mark time.
 
nilipo sikia kina maiti imeokwatwa mabwepande iliyokuwa imeteketezwa nikajua ni Mkoba kumbe yupo..
 
Anasisitiza kuwa ktk mazungumzo serikali imekataa katakata kuongeza mshahara zaidi ya kanyongeza ka 12% kwa mwaka.
 
Akiongea katika kipindi cha tuongee asubuhi cha TBC 1 leo asubuhi bwana Mkoba ambaye ni raisi wa chama cha walimu Tanzania amesema headmaster ktk shule moja ya sekondari wilayani Igunga amevuliwa madaraka kwasababu ya kushiriki mgomo.

Pia amesema walimu kadhaa kutoka maeneo mbalimbali nchini wameondolewa kwenye sensa kufuatia maelekezo kutoka TAMISEMI kuwa walimu walioshiriki mgomo waondolewe kwenye zoezi hilo.

Mkoba ambae aliambatana na msaidizi wake ktk kipindi hicho cha TBC 1 amehoji uhalali wa kufunga shule wakati walimu wameondolewa kwenye sensa na kusema kuwa hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali watu.

Mbali na headmaster huyo amedai pia walimu wengine wenye madaraka mbalimbali nao wameadhibiwa baada ya kushiriki mgomo ikiwa ni maagizo kutoka ngazi za juu.
 
Na naskia kuna mtu kauwawa kwenye ule msitu wa SIRIKALI akihusishwa na mgomo wa walimu!,
 
Akiongea katika kipindi cha tuongee asubuhi cha TBC 1 leo asubuhi bwana Mkoba ambaye ni raisi wa chama cha walimu Tanzania amesema headmaster ktk shule moja ya sekondari wilayani Igunga amevuliwa madaraka kwasababu ya kushiriki mgomo.Pia amesema walimu kadhaa kutoka maeneo mbalimbali nchini wameondolewa kwenye sensa kufuatia maelekezo kutoka TAMISEMI kuwa walimu walioshiriki mgomo waondolewe kwenye zoezi hilo.Mkoba ambae aliambatana na msaidizi wake ktk kipindi hicho cha TBC 1 amehoji uhalali wa kufunga shule wakati walimu wameondolewa kwenye sensa na kusema kuwa hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali watu.Mbali na headmaster huyo amedai pia walimu wengine wenye madaraka mbalimbali nao wameadhibiwa baada ya kushiriki mgomo ikiwa ni maagizo kutoka ngazi za juu.

Okey! Hata Bw Oluoch amerudia suala hili na amemwomba waziri mkuu aingilie kati na kama inashindikana ameomba shule zifunguliwe wiki ijayo ili walimu waendelee na kazi.
 
Akiongea katika kipindi cha tuongee asubuhi cha TBC 1 leo asubuhi bwana Mkoba ambaye ni raisi wa chama cha walimu Tanzania amesema headmaster ktk shule moja ya sekondari wilayani Igunga amevuliwa madaraka kwasababu ya kushiriki mgomo.

Pia amesema walimu kadhaa kutoka maeneo mbalimbali nchini wameondolewa kwenye sensa kufuatia maelekezo kutoka TAMISEMI kuwa walimu walioshiriki mgomo waondolewe kwenye zoezi hilo.

Mkoba ambae aliambatana na msaidizi wake ktk kipindi hicho cha TBC 1 amehoji uhalali wa kufunga shule wakati walimu wameondolewa kwenye sensa na kusema kuwa hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali watu.

Mbali na headmaster huyo amedai pia walimu wengine wenye madaraka mbalimbali nao wameadhibiwa baada ya kushiriki mgomo ikiwa ni maagizo kutoka ngazi za juu.

Hawa wazugaji dawa Yao ni kuwang'oa CWT tumewasapoti ka kawaida Yao wametuchezea shere! Tayari wengine kwenye SENSA tumeshatolewa, hamna mabadilko yeyote kwenye MADAI yetu! Tushatishiwa kuhamishiwa huko Kiserian.. Kweli Mkoba umeniingiza Chaka, I hate you, na Sasa tutahamishia mapambano yetu CWT Kabla hatujawavaa serikali
 
Amezungumzia suala la kukataa rufaa? Au ndiyo ilikuwa changa la macho!

Huo ulikuwa ni Utoto na nlipomsikia anaongea nlishangaa

Kisheria Injuction (ZUIO) la mahakama huwa halikatiwi rufaa.... Inayokatiwa rufaa ni HUKUMU.. sasa sijui huu ushauri aliutoa wapi

AM SMELING FISHYYYY.
 
Hawa wazugaji dawa Yao ni kuwang'oa CWT tumewasapoti ka kawaida Yao wametuchezea shere! Tayari wengine kwenye SENSA tumeshatolewa, hamna mabadilko yeyote kwenye MADAI yetu! Tushatishiwa kuhamishiwa huko Kiserian.. Kweli Mkoba umeniingiza Chaka, I hate you, na Sasa tutahamishia mapambano yetu CWT Kabla hatujawavaa serikali

Mkuu alinitia mashaka sana Mkoba wakati tunaanza mchakato, ila nikasema tumsapot kwa imani make watu huwa wanabadilika na anaweza leta mabadiliko safari hii... Kumbe Ni yale yale ya Tabia ni Ngozi ya mwili

Mgomo uliopita alihakikishiwa usalama na wanausalama kaja katangaza mgomo umekwisha wakampa chake katimua tukataka mpiga mawe kweli wakamlinda

Safari hii wamemtumia tena kwa kufanya TECHNICAL DEFAULT ili amalize mgomo na Tumuone kuwa hana HAtia kumbe katumiwa ili aonyeshe madai ya kada zingine hayatekelezeki na hata ikipewa kada moja kila mtu atadai

Na kama ulimsikia Rais katika hotuba yake na wahariri alisema TUKIWAPA WAFANYAKAZI PEKE YENU TU NA WANANCHI PIA WATAKUJA KUDAI..

Namshauri aitazame dhamira yake mara mbili.
 
Back
Top Bottom