Muke Ya Kibabu

jamani kuchukua picha za watu innocent na kuposti humu sio vizuri,wwe unamuona kibabu yeye kampenda hivyo hivyo...mnh

Yani usinambie hujaona kama picha imetoka kwenye blogu ya muke wa muzungu mwenyewe? It's written all over it for **** sake...
 
Yani usinambie hujaona kama picha imetoka kwenye blogu ya muke wa muzungu mwenyewe? It's written all over it for **** sake...

yes yalitakiwa yabaki huko huko u turn,kuleta hapa na kuponda siku akiwajibu msikimbie.....
 
Kichefuchefu tu huyu dada akili yake inamfariji kuwa kaukata kuolewa na babu yake. Huu ni ubakaji mwingine unaofanywa huko majuu kamwe siwezi kuita ndoa sana sana nitaita biashara
 
What is the point? mapenzi hayachagui, mbona watu wanaolewa na viwete au na masikini balaa ila mnapiga kimya, demu kuolewa na mzungu afu mzee inakua zogo. Let her be herself, u never know labda mzee turns her to love this life. Sioni hatia ya dada huyu. THINK BIG
 
Hivi wadada wa aina hii huwa wanajisikia vipi wanapochungulia nyeti za hawa wazee?Na huwa wanafanyaje mzee anapoomba koni irambwe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom