Muke Ya Kibabu

Kwani yeye ni wa kwanza kuolewa na mzee, au kwa kuwa mzungu ndiyo shida?

Wamasai wazee huwa wanaoa watoto wadogo sana lakini hamusemi kitu humu netini.
 
Mwenzenu anachuma pesa kujiendeleza nyie mnamsema, au hamjui wengi wao ni wajuzi wa kazi hii hata kwenu ma bantu wa TZ?
 
ndio anamuonea wivu,NN alifeli fom foo na six,akaenda ughaibuni.yeye na wapiga boksi wenzie hawana level ya elimu aliyonayo shayo...wanamponda ili wafeel good inside kuhusu udhaifu wao....
PhD ya London South Bank University!!!!!!
 
yap ni elimu,anajulikana kama msomi...unajua how much he paid
Mimi hata nikipewa full scholarship ya kusoma London South Bank University ni THANKS, BUT NO THANKS

Hiki chuo kimekuwa ni kimbilio la immigrants ambao dhumuni lao sio kusoma na wengi hata uwezo wa kitaaluma hawana. Hata wazawa wanaosoma hapo ni wale waliopata maksi za chini A'level hawana choice zaidi LSBU iliwaendelee kujimu na maisha.Ukitembelea iki chuo siku za masoma hakuna wanafunzi wengi lakini ngoja ifike siku ya graduation utadhania upo Lagos,kwa jinsi wahitimu walivyo wengi na asilimia karibia tisini ni wapopo.

how much efforts he put in to attain that???
Kuna kipindi niliishi UK kwa muda.Sehemu nilikuwa ninapiga boksi kuliwa na wanaigeria watatu walikuwa wafanya zaidi ya siku tano na overtimes pia. Siku moja wakanialika mimi na stafu wengine kwenye sherehe ya graduation zao na yakurudi kwao.Tulibaki na maswali mengi sana.

Hakuna neno "effort" pale, wewe lipa school fees cheti chako utapewa.System ya UK wanavyo fund hivi vyuo na ubora wa vyuo vingine ndio imechangia LSBU kucheat

ukute hata kadegree ka hapo udom huna?
Afadhali Udom mara mia.Ukiapply kazi na cheti cha LSBU unampa employer perception wewe ni kilaza nani mtu wa kucheat
 
kama ni degree ni hiyo hiyo ,modules ni hizo hizo ukisoma LSE ukisoma london south bank ....
nimeangalia kusoma undergraduate course unahitaji ucas points 240 ambayo ni C,C,C....mbona hii ni standard kuwa ukiwa umepata grades A to C a level maana yake umepass...hizo maksi za chini wewe umezitoa unazosema wewe umezitoa wapi???
kisha unitajie college ama univeristy yoyote iliyopo london ambayo haina wanaigeria ama other nationals,unasahau kuwa london ni mji ambao umejaa immigrants??hivyo vyuo vyake vimejaa immigrants......halafu hii sio prrof wanacheat,leta proof kuonyesha kuwa wanacheat??????

mwisho wewe ulivyokuwa uk ulisomea wapi??? ukute uliondoka kama mamia ya vijana wengi hapa uk bila qualification yeyote halafu una audacity ya kuquestion PHD ya mwenzio....:yell::yell::yell::disapointed:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom