Muke Ya Kibabu

jamani kuchukua picha za watu innocent na kuposti humu sio vizuri,wwe unamuona kibabu yeye kampenda hivyo hivyo...mnh
 
Nyani Ngabu mbona washkaji wanasema unawaonea wivu vijana wenzako wakina shayo? wasije kusema unamuonea Kli wvu kaka

Kuna cha kumuonea wivu "Dr." Shayo?

Kama una mawasiliano naye mwambie niko tayari kwa mpambano wa kupima uzito wa wallet..
 
Kuna cha kumuonea wivu "Dr." Shayo?

Kama una mawasiliano naye mwambie niko tayari kwa mpambano wa kupima uzito wa wallet..

Wala simjui. nasema tu kwa maana naonaga unavyopenda kuponda. hata na vijana wengine unapondaga sana
 
Wala simjui. nasema tu kwa maana naonaga unavyopenda kuponda. hata na vijana wengine unapondaga sana

ndio anamuonea wivu,NN alifeli fom foo na six,akaenda ughaibuni.yeye na wapiga boksi wenzie hawana level ya elimu aliyonayo shayo...wanamponda ili wafeel good inside kuhusu udhaifu wao....
 
ndio anamuonea wivu,NN alifeli fom foo na six,akaenda ughaibuni.yeye na wapiga boksi wenzie hawana level ya elimu aliyonayo shayo...wanamponda ili wafeel good inside kuhusu udhaifu wao....

Jestina...napendaga ulivyo kembamba kembamba. Lakini ujue mi hata hiyo fom siksi sikufika.
 
ndio anamuonea wivu,NN alifeli fom foo na six,akaenda ughaibuni.yeye na wapiga boksi wenzie hawana level ya elimu aliyonayo shayo...wanamponda ili wafeel good inside kuhusu udhaifu wao....

jestina nitakubaliana na wewe kwa manaa NN anavyomponda Dr. Shayo na yohana mashaka, mtu unashindwa kujua ni kwa sababu gani. ila sioni sababu ya mashaka kabisa, kwa maana yule yuko kwenye ligi nyingine. nimewahi kusoma article juu yake uchina wiki chache zilizopita ambayo niliweka humu. siku nyingine nikamuona tena aljazeera huyo huyo yohana mashaka. NN atakuwa na lake kusema mashaka naye kilaza anavyomsemea dr.shayo. kama ni hivyo anawaponda bila ya sababu basi ataponda sana kwa maana hatofika kuwa kwenye leveles zao. kama vipi tumvutie muke ya kibabu wale sahani moja
 
jestina nitakubaliana na wewe kwa manaa NN anavyomponda Dr. Shayo na yohana mashaka, mtu unashindwa kujua ni kwa sababu gani. ila sioni sababu ya mashaka kabisa, kwa maana yule yuko kwenye ligi nyingine. nimewahi kusoma article juu yake uchina wiki chache zilizopita. atakuwa na lake kusema mashaka naye kilaza anavyomsemea dr.shayo. kama ni hivyo anawaponda bila ya sababu basi ataponda sana kwa maana hatofika kuwa kwenye leveles zao

Ni kweli kabisa...mimi mbeba maboksi tu na kamwe siwezi kufikia level ya u-"Dr."
 
lord have mercy
attachment.php
 
lord have mercy
attachment.php

Mtawafaya wadada wakimbie kutoka uturn. hivi hawa tatizo ni nini, umasikini au tamaa. huyu dada si kasoma? mbona kaingia kwenye uchangudoa? Au kwa kuwa mwalimu wao kawafundisha? kweli mange kaaribu watoto wetu. Baby yake kabisa, yethuuuu na maria
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom