MUKE WA MUZUNGU! FULL MASHAUZI mweeh

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,104
15,996
:becky::becky:
http://www.u-turn.co.tz/malkia.html

corner1.gif

MAPENZI NDO HAYA BABU....MTAJIBEBAAAAA..... Written by Mange Wednesday, 26 May 2010 18:07 0diggsdigg

Joyce akisukwa weaving na mume wake...

baada ya kusukwa weaving na mumewe...

looking very good mami...

usie na mume UTAJIJUUUUUUUUUUUUU......

Habari yako Mange! hope u mzima na unaendelea kula maraha bongo!
Nimekupostia hizo picha coz kuna watu wanasema kuwa mume wangu
anasafili sana eti ananiacha peke yangu home so may be he doesn`t love
me. Sasa nataka kumuonyesha huyo bibie kuwa the man he is too much in
love with me!! And he do everything for me!! And u can see it mume
alivyotengeneza kichwa cha mkewe... lol
Have a nice time Mange!!
Joyce

Du har fått tilsendt 4 bilder.
 
huyu mdada mbona wakuja hivi?hawa vitimoto mbona watu wa kawaida kabisa hawa yaani yeye kuolewa na muzungu ndio kaona kama vile yuko mbingu ya saba mweeh,mie ninaye wangu hapa hata hapa naandika ananiangalia namkata vuzi kila siku sijui kama anaendaga kusimulia kwao.kama jamaa yako anakusuka au anakutafuna ndogo kimpango wako bana usituyayushe hapa mzungu,mzungu sie tunao foleni na tunawachukulia poa tu,kadada kazurii halafu kanakuwa na tabia kama kametoka mbagaraaaa,au ndio walewale wa kule kashozi iwe bojo kokushubira,lol:angry:http://www.u-turn.co.tz/malkia.html
 
Asa umenuna nini,watu wananyoana hadi ma*** na hawasemi,ndio itakuwa kusukwa??:painkiller:
 
jamani duniani kuna vituko kina dada hawakui? huyu mdada kanishangaza kumbe msg hii ya mtu ...:angry:
 
Hivi wanawake hawakui; kila wakati ni kupingana vijembe tu. Mtu yupo mile elfu kidogo bado anawapiga na kuwagoga wenzake. Haya ni maisha ya kiswahili zaidi. Sijuikama Watanzania tutaendelea kwa hali kama hii ya kufikiria upuuzi na kuacha mambo ya maana kuyashughulikia na kuhangaika na upumbafu. STUPID!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
huyu mdada mbona wakuja hivi?hawa vitimoto mbona watu wa kawaida kabisa hawa yaani yeye kuolewa na muzungu ndio kaona kama vile yuko mbingu ya saba mweeh,mie ninaye wangu hapa hata hapa naandika ananiangalia namkata vuzi kila siku sijui kama anaendaga kusimulia kwao.kama jamaa yako anakusuka au anakutafuna ndogo kimpango wako bana usituyayushe hapa mzungu,mzungu sie tunao foleni na tunawachukulia poa tu,kadada kazurii halafu kanakuwa na tabia kama kametoka mbagaraaaa,au ndio walewale wa kule kashozi iwe bojo kokushubira,lol:angry:http://www.u-turn.co.tz/malkia.html

Babu ya kwako hii mbona mashauzi ya kike kibao??
 
jamani duniani kuna vituko kina dada hawakui? huyu mdada kanishangaza kumbe msg hii ya mtu ...:angry:

Mpasho bibi....

Watajuaje kaolewa na mthunguuuuu!!! alooooo..

Kuku wa chienyeji ni chienyeji tu hata akiwa ughaibuni au ukamfungia bandani bado atataka kupalula kwa kucha za miguu.

Hapo hajui kabisa kama anamdhalilisha huyo mzee wa watu, anajidhalilisha wenyewe kwa kujianika sura, na anaidhalilisha familia yake yote ambayo ametokea kwa kuonekana ni malimbukeni na dili kuolewa na Muzungu!!.

Aina hii ni wale dada zetu ambao wameolewa na wanaishi nje ya nchi lakini ni kula kulala tu hwana kazi kutwa kushinda ndani tu kwenye games, computers na matoi (Ulaya, Marekani na kwengineko hakuna vijiwe vya kupiga umbea). Sasa ata akili zao zinakuwa duni kufikiri hata kama alisoma.
 
mauki mkuu usijali,lakini hawa watu wa kawaida sana hamna haja ya kuwaona miungu watu,mi nachukia sana watu wakiwafagilia kisa ngozi nyeupe,sijui lini tutaacha huu utumwa wa akili.
 
huyu mdada mbona wakuja hivi?hawa vitimoto mbona watu wa kawaida kabisa hawa yaani yeye kuolewa na muzungu ndio kaona kama vile yuko mbingu ya saba mweeh,mie ninaye wangu hapa hata hapa naandika ananiangalia namkata vuzi kila siku sijui kama anaendaga kusimulia kwao.kama jamaa yako anakusuka au anakutafuna ndogo kimpango wako bana usituyayushe hapa mzungu,mzungu sie tunao foleni na tunawachukulia poa tu,kadada kazurii halafu kanakuwa na tabia kama kametoka mbagaraaaa,au ndio walewale wa kule kashozi iwe bojo kokushubira,lol:angry:

Mwe! Mkuu taratibu hebu nitake radhi, hebu angalia location yangu na jina langu then rejea tena kwenye mistari miwili ya mwisho ulioandika.
 
Huyu binti kishoia kweli kweli, kama anamjua mtu anamsema si amsute kuliko kutangazia mambo yake binafsi..Ishi kufurahia maisha yako siyo kuridhisha watu!...Nonsense!
 
Mwe! Mkuu taratibu hebu nitake radhi, hebu angalia location yangu na jina langu then rejea tena kwenye mistari miwili ya mwisho ulioandika.
he he hee,mkuu pole lakini signature yako("Makalio ya sufuria hayaogopi moto:target:")imekujibu bilashaka
 
Huyu binti kishoia kweli kweli, kama anamjua mtu anamsema si amsute kuliko kutangazia mambo yake binafsi..Ishi kufurahia maisha yako siyo kuridhisha watu!...Nonsense!
mwambie nyie wenzie mi nimemtoa kabisa kwenye list ya watu wenye akili timamu.
 
jamani duniani kuna vituko kina dada hawakui? huyu mdada kanishangaza kumbe msg hii ya mtu ...:angry:

Wale wote waliokuwa wanaishia ze utamu na mambo yao ya ngono na kuolewa na wazungu siku hizi hawana pa kwenda wamehamia wote hapa basi wameuvamia ukumbi :flock:na ukumbi si ukumbi tena ni ngono tu na ndoa zao za wazungu imekuwa vituko vitupu.
 
jamani duniani kuna vituko kina dada hawakui? huyu mdada kanishangaza kumbe msg hii ya mtu ...:angry:

Inaonyesha wanamsema sema sana huyo dada ndiyo maana na yeye kaamua ku-retariate, si unajua tena bongo imeshaliwa na wenye midomo, maisha magumu hivyo walau kina dada wanapobahatisha angalau jizee la kizungu, inakuwa bora mara mia kuliko anahangaika kwenye clubs za dar, maisha yanakuwa ya kubahatisha sana.

Mi ningependa ku-wa-encourage akina dada wa bongo wazidi kulala nao mbele hao hao watasha ila wakiwapata, watulie na wa-behave kama married women. Watanzania wanaoishi huko majuu generally wana sifa nzuri mno, nenda nchi yeyote! Hivyo kina dada watafuteni hao watasha wale wa maana, ukimpata na ukishakuwa na uhakika kuwa kweli amekupenda, usilaze damu, CHOMOKA NA PIKIPIKI!
 
Back
Top Bottom