Mukama, Dr. Bana on CCM Kujivua Gamba on TBC!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,468
113,583
Wanabodi,
Wale wenye access, watch TBC-1 now!.
Katibu Mkuu, Wilson Mukama, Dr. Bansen Banna, Shaffi Adam Shaffi na mwanahabari nguli wa the Eastafrican.

Wanaichambua dhana ya kujivua gamba kwenye kipindi cha 'This week in Perspective'

Endelea kuangalia...
 
Wanabodi,
Wale wenye access, watch TBC-1 now!.
Katibu Mkuu, Wilson Mukama, Dr. Bansen Banna, Shaffi Adam Shaffi na mwanahabari nguli wa the Eastafrican.

Wanaichambua dhana ya kujivua gamba kwenye kipindi cha 'This week in Perspective'

Endelea kuangalia...

Sisi huku kwetu leo tumejingeleja so jitahidi uwe unatuarifu hivyo hivyo!!1
 
Hapo nina interest kumsikia huyo journalist wa Eastafrican labda anaweza kuwa kama Sakina Datoo last week!.

Nikigundua na yeye ni wale wale, najiendelea zangu na mambo mengine!.
 
Mkama anaizungumzia dhana ya kujivua gamba haikutaja majina, ila wale wanaojijua wamekipunguzia ushindi CCM wawajibike. Msimamo huo ulifikiwa in good faith na wajumbe waliwataja baadhi kwa majina na hao waliotajwa hawakujibu wala kupinga hivyo hiyo ni ishara tosha they were guilt!.
 
Mimi ninavyoona Mukama ndiye anayekimalizia chama mbinu zake za ku prolong decisions za vikao ni zile zile za kulindana chama kinahitaji strategies mpya.
 
Naona Dr Bana anatikisa kichwa akionyesha kumkubali mkuu wake mzee Mkama. Kaaaaazi kweli kweli
 
Watuhumiwa wa ufisadi sasa wataandaliwa mashitaka ya kichama na kuitwa na mahakama ya chama na kuhukumiwa kwa mujibu wa chama ila hukumu hizo zitazingatia kukiimarisha chama na sio kukibomoa chama.

Hii maana yake wakishakubali fulani ni hatari zaidi aking'olewa kuliko akiachwa, ili kuepusha chama kusambaratika watawaachia!.
 
Mukana anakiri vyama vya upinzani vinawapekeka puta, anakiri hii ni challenge. Mukama amekiri CCM ili weka wrong choice of candidates Ubungo na Kawe!.
 
hakuna cha maana anachosema mukama. eti wagombea ubunge wa ubungo na kawe walikwa wrong choice. Who choose the to contest for the positions if not CCM. wakati wanawachagua hawakuona kama ni wrong ila baada ya kushindwa wakawa wrong.
 
Bana yule wa UDSM,aliyejitwika mikoba ya Mukandara baada ya kuubeba ukuu wa udsm,Mukandara wa Ari Mpya ,Kasi Mpya na Nguvu Mpya, then Ari zaidi Kasi zaidi na Nguvu zaidi,Jamani Hela za Bia zimeisha mpaka Mumsikilize Huyu Mwehu Bana?Japo anasimamia baadhi ya watoto wetu wawe wamehitimu?Ndio Maana hata Wasomi wa Chuo Kikuu kama UDSM leo bila aibu eti Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Aibu gani hii. I LUV TANGANYIKA EVEN IF THE COST OF LOVING IT IS DEATH.
 
simuelewi mukama yaani body language hadi kero TRUE!!!!!!!!!!! GEOGRAPHICALLY yaani duh? tuna leaders ambao sijui kwenye negotiation table wana bargain vipi?
 
Mkama anaizungumzia dhana ya kujivua gamba haikutaja majina, ila wale wanaojijua wamekipunguzia ushindi CCM wawajibike. Msimamo huo ulifikiwa in good faith na wajumbe waliwataja baadhi kwa majina na hao waliotajwa hawakujibu wala kupinga hivyo hiyo ni ishara tosha they were guilt!.

Contradiction ya kwanza, kwamba dhana haikutaja majina, lakini baadhi ya wajumbe walitaja majina, kwanini CC au NEC hawataki kuwa held responsible for that?
 
Tuwe wakweli jamani, huwezi ukalinganisha uongozi wa ccm na chadema. Hapa una kamanda Mbowe huku JK. Kuna Slaa huku Mukama, Mnyika huku Chiligati. Kama ni timu ya mpira ni sawa na Barcelona (Chadema) na Yanga (CCM)
 
Back
Top Bottom