Mukama amtetea Lusinde; adai alikuwa anajibu mapigo!

hebu tupe chanzo cha hyo habari basi!!
MAGAMBA nao ni janga lingine la kitaifa.
 
Mimi nilisema kwenye threads za mwanzo kwamba walimtuma!
Si ndio wao walimpitisha kugombea ubunge wa Mtera?
 
Ningekuwa mimi ndo ChiChiEm wakati mwingine kukaa kimya ni busara zaidi maana kwa mtaji huo matusi ruksa kunako kampeni
 
ukistajabu ya
mkapa utaona ya
lusinde na mukama
Tuna viongozi
booom!. Katibu
mkuu anajibu
hivyo hovyo, kwe
li chama kina
hali mbaya!
 
Katibu Mkuu wa CCM Bw Wilson Mukama ametetea matusi yaliyoporomoshwa na mgamba mwenzake Masinde, akisema alikuwa akijibu mapigo ya wapinzani wao CDM wakati wa kampeni Arumeru Mashariki.Swali ni je Mukama akipewa matusi kama yale atayavumilia na je mwenyekiti wao mnafiki yaani JK anakumbatia haya matusi yasiyokubalika kwenye jamii.
 
Huyo chapombe Mukama si ndiyo wale wale tu, yeye mwenyewe akisha fakamia laga anaporomosha matusi hata mbele ya wakwe zake.
 
Huyu mkama alishachoka mpaka akili hapo walipo wamebaki wanafikiria kwa makalio kama masaburi alivyowaambia
 
Kumtetea 'Mh'. Lusinde kuwa maneno machafu aliyosema wakati wa kampeni eti ni kujibu mapigo, kwa vyovyote vile atakaye fanya hivyo atakuwa anajitahidi kuudhirisha ulimwengu kuwa ni "mwendawazimu limbukeni"
 
Lusinde na matusi yote mbele ya wazazi wote wa arumeru na taifa kwa ujumla na heshima zao, na watoto woooote walikuwa wakifuatilia matumbuizo yote ya kina kitumbo wamejifunza nini kupitia Magamba?? Leo akiambiwa atoe ushahidi wa lema kuolewa rumande anaweza sema nani alimwoa,
This Lusinde looks like Dead body, Kweli sijamwelewa..Is better than stupid man ....Takataka ndani ya bunge inatakiwa ifagiliwe na kutupwa mbali kabisa
 
Back
Top Bottom