Mukama amdanganya Kikwete kuhusu umiliki wa JF, wamiliki wa JF hawa hapa

Status
Not open for further replies.

CPA

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
809
354
Ripoti ya Mukama kwemda kwa JK inautaja mtandao wa Jamii forum kuwa unaundwa na vijana kutoka CHADEMA.
Ripoti hiyo iliondaliwa na Wilson Mukama pamoja na Prof. Eginald Mihanjo wa St.Jones University -Dodoma.

Kwa mujibu wa Brela, JF inamilikiwa na Jamii Media Company namba. 66333.

Wanaomiliki wakiwa ni:
Steve Diallo (ndugu wa Anthony Diallo) hisa 40, Maxence Melo hisa 250, Mike Mushi hisa 250, Dickson Charles hisa 40, Lameck Mussa hisa 40, Mbaraka Islam (mwandishi wa habari) hisa 100 na William Malecela hisa 40, huyu ni mtoto wa John Malecela anayeishi washington -Marekan.

Ripoti ya mukama ndiyo inayotumiwa na JK kuwafukuza mafisadi El, RA na AC.

Source:
Mwananahalisi April 27. 2011
 
Tuna shukuru kwa kutujuza kumbe CDM wamevamia tu kwa kuhamasishwa na Slaa,ndio maana wako kwa staili ya Kuzomea hapa JF kila Thread wao wanaichukulia kichadema chadema tu! Useless!
 
Huyo Mukama, ndiye Katibu Mkuu wa chama aliyeteuliwa kusafisha chama.... tena alilipwa kuandaa ripoti ambayo ina uongo...

maskini ccm
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Ripoti ya Mukama kwemda kwa JK inautaja mtandao wa Jamii forum kuwa unaundwa na vijana kutoka CHADEMA.
Ripoti hiyo iliondaliwa na Wilson Mukama pamoja na Prof. Eginald Mihanjo wa St.Jones University -Dodoma.

Kwa mujibu wa Brela, JF inamilikiwa na Jamii Media Company namba. 66333.

Wanaomiliki wakiwa ni:
Steve Diallo (ndugu wa Anthony Diallo) hisa 40, Maxence Melo hisa 250, Mike Mushi hisa 250, Dickson Charles hisa 40, Lameck Mussa hisa 40, Mbaraka Islam (mwandishi wa habari) hisa 100 na William Malecela hisa 40, huyu ni mtoto wa John Malecela anayeishi washington -Marekan.

Ripoti ya mukama ndiyo inayotumiwa na JK kuwafukuza mafisadi El, RA na AC.

Source:
Mwananahalisi April 27. 2011

Mkuu nimekukubali wape facts!!! Maana hawa sisiem maji ya shingo hawana data, hawana proof, hawana facts, hawana upeo, hawana .......?
 
Watahaha sana mwaka huu maana jamii imejitambua kwa mema na mabaya .
 
what does it have to do with the owners?u cant blame the mirror for ur looks,or can u?

Mhh sina jibu, jibu ni hili hapa kutoka kwa W.Malecela,

"Mimi si mwanachama wa CHADEMA, mimi ni mwanachama mwaminifu wa CCM.
Na kwamba sasa yuko mbioni kufungua tawi la chama (CCM) mjini Washington D.C.

Tatizo la watu wa ccm hawataki kusoma, badala yake wanakuja na ripoti za kuokoteza mitaani, mimi ni mwanzilishi wa Jf, mimekuwa huko tangu 2006..." mwisho kunukuu.

Ni maneno ya William Malecela, moja ya wamiliki wa JF (mtoto wa John Malecela).
 
Ukiona mtu mzima anazungumza peke yake juu kuna jambo kuu limeuchukua ubongo wake na atakuwa ana waya waya.

Hii ndo inawakata chama cha makagamba, haiwezekani kuwa kila kitu ni kibaya, wajichunguze wenyewe.
 
Evi Mkama na hao ma-dr hawkujui BRELA? Mbona mjinga kama Kubenea anakujua?
Mi naona haya ni kama ya kagoda, majina ya BRELA yanaweza yasiwe yanataja mmiliki halisi!
 
Kifupi ni kwamba Wilson Mukama kapata ajira ya Ukatibu Mkuu CCM kwa kuandika ripoti ya UONGO kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa. Yale yale tena,tulizoea kuona Rais wetu akipigwa fix na watendaji serikalini sasa imeingia mpaka kwenye Chama! hii ngoma nzito loh!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom