Mukama akumbana na zomea zomea huko musoma.

habari imeripotiwa hivyo, hawajaonesha jins alivyozomea. Kama ni uzush bas aliyeripoti hiyo habari ndiye mzushi

Mtangazaji ndie alisema palikuwapo na hali ya zomea zomea na ndio sababu ya kukatishwa kwa mkutano huo msiubadili ukweli kuwa uongo ama uzushi.Go to hell ccm
 
Mzee Mukama leo ameonja adha ya kuwa katibu mkuu wa chama cha magamba. Ulikuwa kama mchezo wa kuigiza pale alipowasili uwanjani na kupokelewa na umati wa watu, baada ya kuwasili tu umati ule uliyeyuka na walio baki walianza kumzomea, kitendo kilichomfanya mzee Mukama ashindwe kuendelea na hotuba yake...

Source ITV
 
Kweli mtangazaji Marato kasema hivyo, lakini nimeshangaa picha za tukio hazikuwa zinashabihiana. Nadhani ITV wamechakachua!
 
Mtangazaji alieripoti ndio kasema ilikuwapo hali ya wananchi kuzome zomea ktk mkutano huo hali iliyosababisha Katibu mkuu huyo kukatisha mkutano,ila hawajaonyesha live zomea hiyo japo sababu ya msingi ya kukatisha mkutano huo ni hali ya wananchi kumzomea Mkama wa ccm.Sasa wewe ndio unaleta ushabiki wakati hukuwa makini kusikiliza taarifa ile.Go to hell ccm

jamani kwel usicheza na wanamageuzi ingawa na mimi ni mmoja wapo kati ya hao wana mageuzi lakini hyo ya kuzomea sijaiona niwe mkweli pia kama nimewaboa samahani wapendwa
 
jamani mbona nimeangalia newz sijaona hyo kuzonea zomea ma,bo mengine tusiwe tunazusha kwa sababu ya upinzani wameonyesha ana hutubia ila ambacho sijakipenda ni mbunge wa zamani mathayo kutamka kuwa mbunge wa chadema na wanachadema ni wezi juu ya madawati aliyosema yamechukuliwa na chadema
Wewe hujasikia au umekuwa mhanga wa siasa hata mie nimesikia kuwa alikatiza mkutano baada ya zomea zomea na watu kupungua kwenye mkutano baada ya "kuboreka" kutokana na maneno yaliyo kuwa yakisemwa na wahutubiaji
 
Muda mfupi uliopita ITV imetangaza zomea zomea katika mkutano huo, hali iliyomlazimu katibu mkuu huyo akatishe hotuba yake.

Hivi Musoma na Tarimo si zimo ndani ya Mkoa mmoja wa Mara? Kwa maneno mengine, Mara si kuna msiba uliochangiwa na serikali ya ccm? Mukama na walio karibu nae wamekosa uvumilivu kabisa kipindi hiki cha msiba na kuamua kubakia Mkoani Mara ili 'awatangazie' tu kuwa hospitali ikakuwa imekamilika ifikapo 2015! This is very wrong and insensitive!
 
Ni kweli, G. Marato aliripoti kuwa ktk hali ya kushangaza, idadi kubwa ya watu waliohudhuria mkutano waliondoka mmoja mmoja na wengine kuzome zomea, hali iliyofanya mukama kukatiza katiza hotuba na bdae kuahirisha mkutano.
 
jamani kwel usicheza na wanamageuzi ingawa na mimi ni mmoja wapo kati ya hao wana mageuzi lakini hyo ya kuzomea sijaiona niwe mkweli pia kama nimewaboa samahani wapendwa

Hukupaswa kuiona Bali KUISIKIA maana Mtangazaji amesema kwamba Kulikuwa kuna Zomea Zomea sasa unalobisha sijui ni nini
 
Mtangazaji alieripoti ndio kasema ilikuwapo hali ya wananchi kuzome zomea ktk mkutano huo hali iliyosababisha Katibu mkuu huyo kukatisha mkutano,ila hawajaonyesha live zomea hiyo japo sababu ya msingi ya kukatisha mkutano huo ni hali ya wananchi kumzomea Mkama wa ccm.Sasa wewe ndio unaleta ushabiki wakati hukuwa makini kusikiliza taarifa ile.Go to hell ccm

jamani kwel usicheza na wanamageuzi ingawa na mimi ni mmoja wapo kati ya hao wana mageuzi lakini hyo ya kuzomea sijaiona niwe mkweli pia kama nimewaboa samahani wapendwa
 
zomeeeea tu hakuna la maaaana wanalofanya hawa MAGAMBA! kila siku ni wizi tuuu, uwongo tuuuuu sasa muda wao umekwisha
 
Na bado sana Kwani hata fisadi papa kikwete nae atakutana na hiyo zomea zomea wajuwe kuwa sasa Watz hawataki Magamba yao waende wakakizike
 
Ni kweli alizomewa baada ya kuanza kuiponda chadema watu wakaanza kumzomea na kuondoka,take it or leave it i was there
 
The moment alipoteuliwa kuwa Katibu mkuu wa CCM he turned into gamba automatic. Kuna faida na hasara za kutumia hila kubakia madarakani, faida ni kuwa utaendelea kuliibia Taifa na kula bila aibu, hasara ni kuwa unakosa legitimacy ya kuwa kiongozi wa watu. Kiongozi ni yule mwenye uwezo wa kuwa-inspire watu, ukiisha ona kuwa umma haupo na wewe basi ni wakti muafaka wa kutafuta njia ya kutokea. CCM and its parents TANU and ASP wamekuwa wakitawala Tanzania tokea tupate uhuru. Kwa mantiki ya kawaida tu kama kwa miaka hamsini umeshindwa kubadilisha hali ya maisha ya wananchi ni dhahiri utakosa mvuto mbele yao. Watanzania wanahitaji mabadiliko ya kweli siyo ya awamu za uongozi ndani ya watu walewale.

The only legacy CCM itakayoweza kuwaachia watanzania ni ku-set precedence ya demokrasia ya kweli na huru. waruhusu katiba mpya ya watanzania, wakubali kuwa unaweza ukashindwa ukiwa ndani ya CCM ila pia unaweza ukashinda ukiwa nje ya CCM. CCM si baba wala mama wa watanzania na CCM si moyo wa Tanzania bali ni just a single cell like any other parties and stakeholders. Vinginevyo watajikuta wanabaki ni chama cha viongozi wa chama na dola ambao wanafaidika moja kwa moja kwa kushika nafasi zao hizo.
 
jamani kwel usicheza na wanamageuzi ingawa na mimi ni mmoja wapo kati ya hao wana mageuzi lakini hyo ya kuzomea sijaiona niwe mkweli pia kama nimewaboa samahani wapendwa

Kama hukusikia,hebu tupe sababu ya Mkama kukatisha mkutano huo?
 
Back
Top Bottom