Mukama akishangilia USHINDI WA IGUNGA

na huyu lake limeishia wapi
avatar14398_2.gif
ati walisema kukutwa na shahada ambayo si yako sio kosa
 
odoeni udini kwenye chama chenu
hakuna mbunge hata mmoja wala kiongozi wa juu mwenye dini nyingine
 
Aeshi ana matatizo makubwa sana aliwahi kubaka kijana wa kiume...kule Swanga... SURA NZURI TATIZO NI HILO LA KUFI...KUFIII...KUFIIIIII.... KUFIKISHAAA WENZIE MAHAKAMANI... LOL
 
Wapiga kura walioandikiswa 171,000; kura zilizopigwa 53,000 (sawa na 31%) ambao hawakupiga kura 118,000 (sawa na 69%) wako wapi? Au tarakimu zimekuzwa kwa ajili ya kura hewa za kuleta ushindi wa kishindo?
 
Wenye njaa utawajua kwani hushabikia hata jambo lisilo la msingi,vijana hawa wanafurahia elfu kumi kumi walizopewa wala si matokeo.
 
Back
Top Bottom