Muigizaji yupi ambaye anaweza kuziba pengo la Kanumba?

Pengo gani?na kwa kipi?au utamic sauti yake?mfate steve nyerere atakufurahisha...lets tok about politics usilete byongo muvi..
 
ili ni jukwaa la siasa baada ya kutuuliza nani anaweza ziba pengo la mizengo we unatwambia kanumba! who is kanumba katika jukwaa la siasa? tujaribu kuwa makini sana kuna mambo mengi ya kujadili kwenye nchi yetu!



hao wanasiasa wako wamekusaidia nn si bora hata Kanumba nilienda DRC jamaa walipo jua tu mtz wakanipokea vizur nakuanza kuniuliza abt Kanumba na wakawa wananitreat kama kama Kanumba ndugu yang, hili ilinisaidia nifanye mambo yang yaliyo nipeleka huko kwa urahisi mkubwa.Sasa msaada wa viongoz hapo uko wapi. Wamekaria kuwa nyonya watz. Kanumba ametoa mchango kwa wat zaidi ya hao unaowafikiria.
 
Hakuna wa kuziba pengo lake. Cha msingi ni kuwa watu wafuate nyayo zake. Wajitume na wawe na maono ya mbali sana.
 
Hakuna mtu anayeweza kuziba pengo la mtu, every person is unique in his/her ways.
 
Jamani mbona mzee majuto anaziba kabisa kama sio kujenga kabisa.
 
Majibu yote hapo juu yanaashiria kwamba pengo la mtu halizibiki, kila mtu ana kipaji chake, uwezo wake na huwezi kumlinganisha na mwingine. usichukie wote huo ni mtazamo tu.
 
Back
Top Bottom