Muigizaji yupi ambaye anaweza kuziba pengo la Kanumba?

Cosmas.olomi

Member
Feb 13, 2012
5
0
Muigizaji yupi ambaye anaweza kuziba pengo la Kanumba na serikari ikamtambua kama mtu anayechangia kujulikana kwa nchi yetu hii changa kimaendeleo?
 
COSMAS Watu wamekufa wengi hakuna kilichoyumba itakuwa Kanumba kwani yeye alikuwa na nini cha zaidi.
Uliza kwenye familia yake kama bado wana mawazo kama yako, wameanza kufikiria juu ya ustawi wao. Muda huu waTZ tunaangalia mustakabali wa nchi yetu siyo kufikiria wale waliokwisha kutoka duniani maana hawana cha kupoteza tena. JIULIZE WEWE UKIFA PENGO LAKO ATALIZIBA NANI.
Majibu ukushayapata na Huyo uliyemtaja itakuwa hivyo hata kwenu waliokufa mapengo nani kayaziba?
 
Waigizaji wanaofaa kumrithi Kanumba ni Bunge (ze comedy) na JK kiongozi wao; eti wanapinga ufisadi alafu kura za kuwawajibisha mawaziri zikasuasua kutimiza idadi kura 70, je hapo kuna nini? wabunge wengi ni washenzi na wapumbavu kwelix2. hebu ona wabunge zaidi ya 300+ alafu kura hazikufikia hata nusu yao, mapuuzi kweli. Wakumrithi Kanumba ni Mtoto wa mkulima na bosi wake JK.
 
ili ni jukwaa la siasa baada ya kutuuliza nani anaweza ziba pengo la mizengo we unatwambia kanumba! who is kanumba katika jukwaa la siasa? tujaribu kuwa makini sana kuna mambo mengi ya kujadili kwenye nchi yetu!
 
Muigizaji yupi ambaye anaweza kuziba pengo la Kanumba na serikari ikamtambua kama mtu anayechangia kujulikana kwa nchi yetu hii changa kimaendeleo?

Mwana imuvuzishe hii na kuipeleka kwenye jukwaa lake hucika.. Hapa ni jukwaa la siasa na members wote humu wako busy kumjadili Pinda & Co.. Hawakawii kuku-lusinde hapa...
 
Hapa ni uwajibikaji wa mawaziri + M4C + Magamba + uchaguzi mdogo + kesi za wabunge kupinga matokeo. kuhusu Kanumba sikiliza clouds fm, soma Ijumaa okey?
 
Acha mawzo ya wafu jiulize nani ataziba pengo la pesi zilizo ibwaa na watu uliyo wapa dhamana wakuongoze. Natumaini umetumwa utuchanganye tupo makini mpumbavu wewe.
 
Kwani Kanumba ndie nani? Watu wanashuka na wengine wanapanda. Ndivyo life lilivyo. Hakuna kitu kinaitwa 'pengo'. Maisha ni kama maji ndani ya chupa. Maji yakimwagika yaliyobaki yata-cover tu.
 
Back
Top Bottom