MUHULA MPYA WA masomo

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,683
8,829
UFISADI TRAINING COLLEGE; Inakutangazia kozi zifuatazo; 1. Wizi wa kura. 2.Utumiaji wa vyeti feki. 3.Kulipa mishahara hewa. 4. Kuanzisha Makampuni hewa.
5. Kuiba misaada ya waathirika. Chuo kitakupeleka Field EPA, BOT, TRA na badaae utaajiriwa RICHMOND au DOWANS. Chuo kimekwishatoa wahitimu kama, LOWASA, KARAMAGI, MRAMBA, ROSTAM na CHENGE.Fomu zinapatikana IKULU,BOT na OFISI ZOTE ZA CCM.wahi sasa nafasi ni chache
 
Naomba Msaada wa Mawasiliano ya Ikungi Sekondari, au mwenye Joining instruction ya Ikungi sekondari form five 2016
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom