Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,212
- 113,505
Nakuelewa, ila ukiangalia kwa makini mijadala ya namna hiyo huwa ni ile ya kutafuta ushindi, yaani kati ya upande huu na upande ule ni upi umeshinda. Kwenye jamvi hapa hatujagawanyika makundi mawili kwa hiyo upambanaji wa personality siyo wa muhimu kabisa.
Halafu kumbe huwa unawaangalia jamaa hao? FOXNews na mimi mbalimbali kabisa, hasa huyu Bill O'Reilly.
Mimi niko open minded babu. Nawaangaliaga na kuwasikiliza wote kwenye radio talk shows zao ili nijue wanasema nini. Sipendi kusikia upande mmoja tu. Ila kwa vile nawaangaliaga haina maana nakuabaliana nao katika kila kitu.
So ina maana huwezi ukakubaliana na O'Reilly hata kama anachokisema kina make sense kwa vile tu you can't stand him?