Muhindi wa kariakoo

Che Kalizozele

JF-Expert Member
Jul 20, 2008
777
49
Jamaa alikuwa amekwenda shughulini,lakini yenye hadhi kidogo ingawa ilipelekwa kiuswaziuswazi.Ulipofika wakati wa ratiba muhimu wakaambiwa wakae wawili wawili,jamaa akajikuta amekaa na muhindi wakaletewa plate moja ya mpunga,wakaanza kurekebisha namna ya kukunja ngumi.Baada ya kumaliza plate ya kwanza mambo yalikuwa kama ifuatavyo

Muhindi: Akuje?
Jamaa: Akuje!
Ikaletwa plate ya pili,ilipoisha muhindi akauliza

Muhindi:Akuje?
Jamaa: kimoyomoyo;we muhindi tuu. Akuje! akajibu

Ikaletwa plate ya tatu,wakapiga.
Muhindi: Akuje?
Jamaa: Mmmmmh,akuje!

Ikaletwa plate nyingine,ilipoisha
Muhindi: Akuje?
Jamaa: Mwenzangu,utaniua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom