Muhimu: Viwango vya Ufaulu Kidato cha Sita Please

Shafiri

Member
May 5, 2013
98
14
Mpaka sasa jinsi gani viwango vya ufaulu na madaraja yaani Div I mpaka 0 kwa mtihani wa kidato cha sita havijawekwa wazi. Wakuu kama kuna mwenye kujua atujuze tafadhali.
 
safari hii GPA ndo mpango mzima kwa wanafunzi waziri ameshatoa miongozo kwa maafisa elimu wote, halafu muda huu unatakiwa ulale au usome
 
Back
Top Bottom