Muhimu: tiGO yafanikisha tena

Mkimbizi

JF-Expert Member
Aug 23, 2008
222
34
Sasa ukiwa na mtandao wa TIGO unaweza kutuma message kwa sh 500 tu kwa siku. HII NI EXTREME SMS.

Tuma neno xtreme sms kwa namba 15509 na uweze kufaidika na huduma hii.

KUMBUKA NI KUTUMA MESSAGE KWA MITANDAO YOTE NCHINI.

TIGO, EXPRESS YOUR SEEEEELF!!!!
 
Ndio zake kusifia vodacom. Labda atuambie huo uwezo wa kuweka voucher kwenye mtandao ghali kaupata wapi.
 
Sasa ukiwa na mtandao wa TIGO unaweza kutuma message kwa sh 500 tu kwa siku. HII NI EXTREME SMS.

Tuma neno xtreme sms kwa namba 15509 na uweze kufaidika na huduma hii.

KUMBUKA NI KUTUMA MESSAGE KWA MITANDAO YOTE NCHINI.

TIGO, EXPRESS YOUR SEEEEELF!!!!

Tarrif
Je kujiunga kwa tigo sms extreme ni kiasi gani kitakatwa kwenye account aa ni sh 500 kwa siku na itaanza saa ngapi na kuisha saa ngapi? Au isiwe ndio prepaid in prepaid which is a multiplication of sales wakati huduma ni ile ile. Ni wizi wa kisayansi. They must create means to as well enable Tanzanians to develop and not to make them stagnant as kila mwekezaji anabuni means za kuibia WaTz. Mfano wanatuma message "Recharge your account with min 2000 TAS halafu wata-double balance" but ukifanya hivyo unakula upepo. Its ridiculous. Ni ufisadi pia huu. Mbona TTCL hawafanyi huu ushenzi ni kwa sababu they know what beatiful Tanzanians want! Heko TTCL
 
NInachojua mimi ni kuwa TTCL walicheleweshwa sana kuanza biashara ya simu za mkononi na internet kwa manufaa ya mafisadi wachache.

Huu ni uozo ambao viongozi wetu wamekuwa wakiifanyia nchi yetu. Leo hata TTCL kwa bidii zake bado wanafanyiwa uhuni mwingi sana. Kama hujui tafuta rafiki mwema pale atakuambia yote.
 
Maneno mazito mkuu...Yanahitaji wajuazi wa mambo namna yanavyoendeshwa Bongo...TTCL kwa infrastructure walizonazo, wakiamua wafanye hasa Business, basi makampuni ya simu itabidi yakimbie...lkn ndio hivyo linakufa kiaina ili makampuni mengine yaingizwe!!!
 
Back
Top Bottom