Muhimu sana wakuu

buhange

JF-Expert Member
Oct 23, 2011
505
110
Samahani wadau,
Nimesikia kwamba tume ya ajira wametoa nafasi karibu 600, tafadhari aliye na links ktk hili atujulishe. Samahan kwa usumbufu
 
hawajatoa mkuu labda kama hkuona tangazo la 29 june. baada ya hapo m cja ona na hv punde nmetembelea site yao
 
Samahani wadau,
Nimesikia kwamba tume ya ajira wametoa nafasi karibu 600, tafadhari aliye na links ktk hili atujulishe. Samahan kwa usumbufu

yaan huwez amini, nimesikia leo mchana kwa shost angu, tena ye kanambia 900
 
Back
Top Bottom