Muhimu kusali kabla nna baada ya tln

Mimi ndimi mtumishi wake Bwana.
Nitendee kama ulivyonena.

Binamu unataka kunambia muzee yako inakuparamia tu bila kuomba kibali kwanza?
Tubu na ungama dhambi zako, maana hayo ni machukizo machoni pake.

mie ndo namparamia si yeye
 
Nakwenda kufanya kitubio kwa Baba Paroko!

"Baba Paroko nimetenda dhambi; tulikuwa tunanyonyana na mwenza na baadaye nikajikuta nimeshatumbukiza; nikasahau kusali!"
Enenda na amani kijana,
Umesamehewa dhambi zako zote;
Za ubakaji, kutamani mwanamke asiye mkeo, kupiga punyeto na ya kushiriki tendo takatifu la ndoa kabla ya kusali.

Usirudie tena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa sisi wakatoliki waaminifu na watiifu tunapaswa kusali kabla ya kupata sakramenti yoyote ile
Na sakramenti ziko saba

NDOA ni mojawapo ya sakramenti hizo.
Afanyaye tendo la ndoa kabla hajasali hakika anatenda dhambi.

na mie ni mmojawapo, lakini sema ukweli umwaibishe shetani kama unakumbukaga kusali, cjawahi kumbuka hii kitu kabisa...sasa nanzaje namwambia mr "hebu subiri kwanza tusali/tuombee tendo""...oohh saa hiyo ballantine zimempanda kichwani cjui kama kutasalika....
 
Enenda na amani kijana,
Umesamehewa dhambi zako zote;
Za ubakaji, kutamani mwanamke asiye mkeo, kupiga punyeto na ya kushiriki tendo takatifu la ndoa kabla ya kusali.

Usirudie tena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Afadhali umeme umekatika hapa! kwi kwi kwi kwikwikwi :becky:
 
na mie ni mmojawapo, lakini sema ukweli umwaibishe shetani kama unakumbukaga kusali, cjawahi kumbuka hii kitu kabisa...sasa nanzaje namwambia mr "hebu subiri kwanza tusali/tuombee tendo""...oohh saa hiyo ballantine zimempanda kichwani cjui kama kutasalika....

Hahahaha! Midume mingine ukiiambia isubiri, mtarimbo unalala doro kwa wiki mbili. Ili kuuamsha tena inahitajika ngwazaalala toka kwa mganga wa jadi tokea sumbawanga
 
i cant imagine starting,...'ooh holy father, please bless this action that we are about to do, may you increase the flavor so that each of us gets satisfied and cum like volcano eruption' ...amen lol.

carmel,

that (red/bold) made my day!
 
Hahahaha! Midume mingine ukiiambia isubiri, mtarimbo unalala doro kwa wiki mbili. Ili kuuamsha tena inahitajika ngwazaalala toka kwa mganga wa jadi tokea sumbawanga

umeona tatizo linapotokea eehh....
 
ukishamaliza unashukuru hivi,

Baba Muumba mbingu na nchi tunakushukuru kwa kuweza kuribariki tendo hili takatifu na kutuwezesha kumaliza haja zetu za kimwili

Ameen
 
Back
Top Bottom