Muhimu kuiona hii kwa wanaume/wanawake tu!!!

Nilikuwa sijawahi kukuona Mrembo una hasira, leo ndio nimejionea
Mpaka nimeogopa kuku-quote pamoja na mabuti yangu . . lol:lol:

My dear mie sio mtu wa hasira
Ila kuna wakati na tibuka tu nyongo
Kuna watu kule kwenye complaint s
wameniudhi sana kuhusu Mods..
 
Jibu umeshajipa mwenyewe hapo...ni kweli ili jogoo liwike, lazima mwanaume apate ashki, halafu anamwaga hormones ambazo zinaongeza msukumo wa damu kwenda kwa jogoo, na hapo ndipo atawika. Kwa wagonjwa wa kisukari hili linakuwa linapunguzwa ufanisi na hivyo kuwika kunakuwa na mushkeli kidogo (NB: Sio wagonjwa wa sukari wote).

Kwa wanawake mechanism ni tofauti, haitaji msukumo wa damu na hivyo...hata akiwa na kisukari bado anaenjoy mchezo kama kawaida!

Kwa mtazamo wangu, huyu ndio amejibu alichokiuliza mtoa mada. Tunatarajia majibu mengine zaidi kwa style hii!! Je na wanawanake ni hivo hivo??????
 
Back
Top Bottom