Muhimbili hospital

SIMBA mtoto

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
204
100
Wana JF mlioko maeneo ya hospitali ya taifa ya Muhimbili, nimesikia tangu jana, Mawaziri, Rais wastaafu, Spika, wabunge, wakuu wa mikoa wamekuwa wakiingia na kutoka kwa misafara hospitalini hapo jambo ambalo siyo la kawaida, je kuna tukio gani ndani ya hospitali?
 
Pressure juu mkuu, huenda na budget zao zisipite magamba nao wameamka usingizin......Siungi mkono hoja.
 
Back
Top Bottom