MUHIMBILI HALI YAANZA KUWA MBAYA-shuhuda kutoka hospitali aongea kwa uchungu

Inasikitisha na inaumiza sana;katika mazingira haya ya watanzania wanakufa bila msaada,halafu
huyu jamaa mwenye kichwa cha nazi anatembeza bakuli uswizi kwa ajili ya familia yake,maana hatuoni
faida ya kuomba kwake,natamani ningekuwa na uwezo wa kuwashawishi watanzania na hasa jamaa
wa ulinzi akirudi jamaa akute haruhusiwi kuingia nchini aende uhamishoni.
 
Back
Top Bottom