Muhimbili hakujatulia, graduation yavurugika!

wanachuo wa chuo cha elimu ya udaktari muhimbili waanzisha fujo kipindi wenzao wakifanya sherehe za kumaliza vurugu hizo zilipelekea kuitwa polisi jambo lililosaidia kwa kiasi kikubwa kuwepo kwa utulivu,katika hali isiyokua ya kawaida wanachuo hao walikua wakirusha mawe bila kujali uwepo wa wageni mbalimbali katika mahafari hayo kipindi hayo yakitokea mgeni rasmi alikua ajawasili.
 
haka kanchi bado kanakua, mengi yatatokea na maisha yataendelea kuwepo japo wengi wanapata taabu na wataangamia
 
WAKATI wabunge wakijipandishia posho za vikao mpaka 200,000/-

Watanzania(wadanganyika) waendelea kupokea malipo ya kutofanya uchaguzi makini, pale wanapoenda hospitali kwa matumaini ya
ya kutibiwa na kukuta wimbo wa hakuna dawa, oxygeni imeisha, hamna dawa ya kuosha vidonda, hamna dawa ya usingizi ili kufanyiwa operation, hakuna maji ya dripu, oh nyuzi zimeisha, hamna POP, OH SIJUI NINI NA NINI NA NINI Hakuna kitu.

haya utakuta kwenye hospitali zetu za mikoa na rufaa, Bugando wanalia hakuna oxygeni, KCMC hawana maji ya dripu, dawa za kuoshea vidonda, mara goves zikipatikana mara hakuna dripu zikipatikana mara hakuna POP ZIKIPATIKANA MARA KUNA DAWA HAZIPO DUUUUUUUUUUUUU EE MTANZANIA TUTAPATAJE KUPONA??????

tunapata habari kumbe serikali haijapeleka OC KWA HIZI HOSPITALI ili zinunue hizi vifaa kwa ajili ya kutudumia wagonjwa lakini serikali in fedha za kulipa posho ya vikao kiasi cha 200000/- kwa wabunge

Kwa hiyo inabidi ili usaidike inabidi daktari anakuandikia ukanunue kwenye maduka ya dawa na vifaa vya tiba, je sisi watanzania wenye vipato nya chini tutafanyaje jamani mbona tutaisha na maradhi yetu

kuna haja ya kuamka na kujikomboa watanzania na kuiholdserikali responsible vinginevyo yenyewe ndo intufanya tuweresponsible kwao
 
Kuna haja ya kuwapima akili wote walioshiriki huo ujinga. Pengine vyuo vyetu vinapokea wehu.
 
leo Rais mstaafu Mwinyi alikuwa na wakati mgumu baada ya wanafunzi kugoma kutoka
eneo liloandaliwa kwa graduation wakishinikiza
i/kurudishwa kwa serikali ya wanafunzi iliofutwa(MUHASSO)
ii/kupinga posho za wabunge

alisalimika baada ya kuleta magari yaliyosheheni polisi zaidi ya tisa huku wakitupa mabomu ya machozi na kuwakamata wengine.
 
Kwenye picha ya kwanza, huyo mtu aliyekaa kwenye kiti ana matatizo ya afya au? Kama hana tatizo la afya kwa nini akae chini huku watu waliomzunguka wamesimama?


Umefikiri nilichokifikiri; kama si mgonjwa basi huyo mtu ni hatari sana anaonekana anapenda sana kuabudiwa na kutumikisha wenzake, ni ishara ya kiburi na ujuaji wa kupitiliza. Maana kwa mtu humble huwezi kuwa katika state kama hiyo wenzako wote wamesimama tena wengine askari alafu wewe umekaa unashikilia kipaza sauti kutoa oder!
 
wanachuo wa chuo cha elimu ya udaktari muhimbili waanzisha fujo kipindi wenzao wakifanya sherehe za kumaliza vurugu hizo zilipelekea kuitwa polisi jambo lililosaidia kwa kiasi kikubwa kuwepo kwa utulivu,katika hali isiyokua ya kawaida wanachuo hao walikua wakirusha mawe bila kujali uwepo wa wageni mbalimbali katika mahafari hayo kipindi hayo yakitokea mgeni rasmi alikua ajawasili.
acha kupotosha uma wewe fujo zilianza baada ya polisi kutumia nguvu kabla ya hapo hali ilikuwa shwari tu.
 
Kwenye picha ya kwanza, huyo mtu aliyekaa kwenye kiti ana matatizo ya afya au? Kama hana tatizo la afya kwa nini akae chini huku watu waliomzunguka wamesimama?

Inawezekana amekaa chini kutokana na body weight, ugonjwa, uzee au hadhi katika jamii (cheo); yote yanawezekana. Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!!!
 
kuna haja ya kuwapima akili wote walioshiriki huo ujinga. Pengine vyuo vyetu vinapokea wehu.
wewe ndio inabidi uwe wa kwanza kupimwa manake iq yako inaweza kuwa sawa na ya kuku. Huwezi kukurupuka tu bila hata ya kujua chanzo nn na kuanza kudharau watu.
 
Kuna haja ya kuwapima akili wote walioshiriki huo ujinga. Pengine vyuo vyetu vinapokea wehu.

kama ulipita chuo basi ni madrasa ila kama ulikuwa chuo kikuu huwezi ukalaumu mtu I wish Tanzania itokee vita watu tufe watakao kuja waanze upya maana sasa hivi bora liende..

RIP Tanzaniano..
 
mzee, unamatatizo ya akili naomba uje Muhimbili tukutibu. huwezi kulaumu bila kujua chanzo huna tofauti na huyo mwenye dharau na majivuno anayeongea amekaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom