Muhimbili hakujatulia, graduation yavurugika!

kazi kwelikweli
si chuo kimefukuza wanaafunzi kadhaa juzi kati?
Yani hawa ffu wamethubutu kuingia maeneo ya mabeni hapo chuo? Jamaa wakishindwa kuwafanya mbaya basi tena, hapo ni sehemu ndogo sana wanaweza kuwadhibiti hao mbwa wa m.kwere.
 
Hebu tupe taarifa ya kueleweka bwana mkubwa siyo nusunusu. Kwa nini ffu watembeze kipigo?
 
ffu-muhimbili.jpg

Hali ilikuwa kama inavyoonekana kwenye picha juu
 
Wanajamii niko Muhimbili katika mafahali. Mabomu ya machozi yanalipuliwa katika hosteli wanafunzi wanabeef na serikali. Nitawajuza

kaka tupe habari iliyokamilika, kwa nini FF wawapige mabomu wanafunzi tena katika hostel? elezea kwa vizuri
 
Kwa sasa pametulia, shughuli inaanza muda si mrefu lakini chini ya ulinzi mkali.

pametulia.jpg
 
Hahaha, JK mwaka huu atajua kilichomtoa kanga manyoya! Afadhali ajira za vijana huko jeshini ziongezeke, manake kukitokea msiba wa CCM tena ulinzi mara dufu!
 
mwinyi ameshakuja ?aibu kubwa sana hii!!na haya ndio matokeo ya kuingiza siasa kwenye taasisi za kiserekali.
 
siku watanzania watakapojua kutumia mabomu ya petrol ndo wataelewa kwamba matumizi ya nguvu kwenye vitu vidogo kama hivi hailipi.
 
hali ni tete sana huku. hali ya usalama imeanza kurejea lakini hii ni aibu ya mwaka haijawahi kutokea kamwe.

manbo yalianza kuharibika tangu juzi ambapo sherehe nzima ya kusherehekea siku ya tafiti duniani iliharibika na wageni mashuhuri wakiwemo maziri wawili na balozi wa sweeden ilibidi waondoke na kuahirisha shughuli nzima kutokana na fujo zilizo anza. ilikuwa ni hasara kubwa sana kwani maadhimisho yaligharimu mamilioni ya shilingi.

kwa kifupi hapa muhas kuna uonevu mkubwa na manyanyaso mengi. wanafunzi wamechoshwa na wanataka haki.
 
Du! jamani serikali imuogope Mungu, how comes maisha yamepanda hadi watu kulipwa 280000/= per d eti wanafunzi wao walipwe 5000/= masihala haya, kama kufa basi wanafunzi tuuwawe na serikali yetu na si kukubaliana na ujinga huu. tukipigwa tukimbie then turudi luendeleza moto uleule.
 
wao waendelee na graduatuon ,nyie kachomeni moto ofisi ya Kisali Pallangyo huyu si ndo mnyanyasaji mkubwa....au km vp mlogeni kabisa huyo jamaa .
 
Poleni sana ndugu, komaeni na kumbukeni kuwa mna maprofesa wenye viburi kuliko mtu yeyote nawafahamu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom