Muhimbili hakujatulia, graduation yavurugika!

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Muhimbili wamefanya maandamano ambayo yamepelekea shughuli nzima ya mahafali kusimamishwa kwa muda mpaka dakika hii. Kuna uwezekano ikashindikana kabisa kwani hali bado ni tete.

muhimbili1.jpg

muhimbili2.jpg


Na FFU wakaingilia kati na mabomu ya machozi na virungu:

ffu-muhimbili.jpg

wazee-wa-kazi.jpg
 
Hizo shahada!watazisubiri!maana kuna kitu kinaitwa TENDO UNENI

Mimi Andare, kwa mamlaka niliyopewa, nakutunuku shahada ya heshima kutokana na michango yako chanya humu JF.
(makofi, vigelegele na sauti ya bendi ya brasi...)
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Muhas imefuta serikali ya wanafunzi tangu mwakajana hadi sasa wanadunzi wananyanyaswa hata na masecretary na wafagizi chuo sasa kimekuwa kama primary. Nawapa big up mpaka kieleweke na wale wezenu 50 mpaka watoke. Hayataboreka serikali inayataka.
 
Wanafunzi kadhaa (hata wasiohusika, walikuwa mabwenini wamejipumzisha) wamekamatwa na kupakiwa kwenye difenda na kuchukuliwa na polisi.

Hali imeanza kurejea kwenye utulivu lakini mahafali yanaelekea kuingia kasoro na mpaka sasa shughuli imesimama
 
Kwenye picha ya kwanza, huyo mtu aliyekaa kwenye kiti ana matatizo ya afya au? Kama hana tatizo la afya kwa nini akae chini huku watu waliomzunguka wamesimama?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Muhas imefuta serikali ya wanafunzi tangu mwakajana hadi sasa wanadunzi wananyanyaswa hata na masecretary na wafagizi chuo sasa kimekuwa kama primary. Nawapa big up mpaka kieleweke na wale wezenu 50 mpaka watoke. Hayataboreka serikali inayataka.
Hili ni mojawapo ya madai yao. Aidha, wamebeba mabango yanayolaani wabunge kujiongezea posho wakati watanzania wanataabika na maisha magumu
 
Wanajamii niko Muhimbili katika mafahali. Mabomu ya machozi yanalipuliwa katika hosteli wanafunzi wanabeef na serikali. Nitawajuza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom