Muhidini Issa Michuzi Huu Sasa ni Uhuni!

Wakuu huu ni mtizamo wangu na msije mkaniua .kwa siku za karibuni watu wanaotembelea blogspot ya michuzi wamepungua kwa kasi ya kutisha,hata ukiangalia comment za watu kabla ya uchaguzi michuzi alikuwa akiweka bandiko ndani ya nusu saa unakuta comment zishafikia 20-40. Lakini sasa hizi zinachezea kati ya 1-5. Hii ni kwa sababu wananchi hawaikubali nambari wani na ile blog kila kukicha ina mipicha ya nambari wani ambao wananchi wengi hawataki kusikia .Michuzi siku za blogspot yake naye zinahesabika.watu sasa hizi sio wajinga tena kuvalisha matshirt na mikofia halafu unataabika miaka mitano.2010 FOR DR: SLAA.
 
You are very right 'Nyani', I also have just visited the Blog and have noticed same thing as you have!

'Watanzania sio Mabwege tena'
 
Haya wekeni poll nyingine kuonyesha blog gani inapendwa zaidi kama hujaona website ya MwanaHalisi inaongoza! :becky:
 
Haya wekeni poll nyingine kuonyesha blog gani inapendwa zaidi kama hujaona website ya MwanaHalisi inaongoza! :becky:

Wewe jamaa hutaki kuishughulisha akili yako au ni nini, hizi ile poll iliyoondolewa kule dailynews nani alikuwa anaongoza ? Na poll za gazeti la majira umeziona?
watu sio wajinga tena peleka hizi salamu huko.
 
Michuzi anatumikia bwana mwingine mda huu subiri uchaguzi wishe utapata tu habari za birth days, graduations, send offs, minuso n.k
 
Wakuu huu ni mtizamo wangu na msije mkaniua .kwa siku za karibuni watu wanaotembelea blogspot ya michuzi wamepungua kwa kasi ya kutisha,hata ukiangalia comment za watu kabla ya uchaguzi michuzi alikuwa akiweka bandiko ndani ya nusu saa unakuta comment zishafikia 20-40. Lakini sasa hizi zinachezea kati ya 1-5. Hii ni kwa sababu wananchi hawaikubali nambari wani na ile blog kila kukicha ina mipicha ya nambari wani ambao wananchi wengi hawataki kusikia .Michuzi siku za blogspot yake naye zinahesabika.watu sasa hizi sio wajinga tena kuvalisha matshirt na mikofia halafu unataabika miaka mitano.2010 FOR DR: SLAA.

Ile blog wadau kibao tumeimwaga hatuna mpango nayo hata baada ya uchaguzi manake tumeshtukia kuwa michuzi ni mganga njaa tu kama wenzie akina Tambwe nk... Sasa wewe umefanya kosa kuitembelea manake umeiongezea namba ya visitors, next time ulizia jamaa zako walio namba wani, wakikupa takwimu unaturushia jamvini na si kuitembelea ile blog ya kujikombakomba kwa watawala.
 
Wahuni ni wana Chadema wenywe, Michuzi sie aliepiga hizo picha. Wamepiga wenyewe wakamtumia ili "arushe" sasa hapo kosa la nani? asipotoa picha za Chadema taabu akitoa "uhuni" ukisikia wivi wa fadhila ndio huo sasa....

Be serious hiyo picha imechakachuliwa wana CHADEMA wangeshamshughulikia huyu mtu pale pale kama yule wa TBC1. Suala ni kwamba kwa taratibu za nchi yetu mlalamikaji (CHADEMA) anatakiwa apeleke tume kuwa kuna mchazo mchafu wa blog hii. Mimi nikilalamika po pote nitaulizwa swali kuwa imeniathiri vipi na kiasi gani? Hata hivyo dhamira ya hii blog siyo balanced.
 
Wewe jamaa hutaki kuishughulisha akili yako au ni nini, hizi ile poll iliyoondolewa kule dailynews nani alikuwa anaongoza ? Na poll za gazeti la majira umeziona?
watu sio wajinga tena peleka hizi salamu huko.

Sawa Nyani. Nipe address nikutumie kioo uchungulie kikalio chako. Teh teh teh. :becky:
 
huu ni wakati wa kampeni na inaruhusiwa kisheria kila apendaye kupiga kampeni kutimiza matakwa yake. sasa kama michuzi ameamua kukampenia ccm, kwa mtazamo wangu ni haki yake kufanya hivyo na hivyo tuna wajibu wa kutomlaumu au kumlazimisha akampenie chama ambacho hana mapenzi nacho.
 
Blog yake haipo proffessional.Nadhani network imemsaidia sana kupata matangazo kibao hadi yamejaza sehemu ya juu yote na kuifanya very heavy and haivutii. Hii ndio bongo ila soon hivi vinetwork vya kijinga visivyo na watu wenye vichwa vitakufa CCM ikiondoka. Jamaa na umaarufu wake katika picture hajui kufanya face lift ya blog+ na picture zake nyingi bado hazijafikia ubora wa kutengeneza matangazo makubwa.So many foreign agents wamezikataa kwa sababu ya resolution kuwa ndogo.
 
Back
Top Bottom