Muheshimiwa Lema Atoa CD kuhusiana na Vurugu Na Vifo Arusha

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Sasa kaeni mkao wa kula kuipata ile single CD ya muheshimiwa mbunge wa Arusha mjini bwana Godbless Lema kuhusiana na vurugu na vifo vilivyotokea jijini Arusha!

DSC_6800.jpg
 
naye mpuuzi tu ameona ndo sehemu ya kutafutia sifa kwenye vifo vya watu.kweli chadema inafanya siasa za maji taka huwezi kujitafutia kwenye mauaji kama hayo,watu wanahuzunikawamepoteza ndugu zao wewe unatengeneza cd,wawaone tena wanapigwa sisasi si wataanza upya kilio.
 
Upuuzi ni wako wewe usieelewa ni nini kilichotokea hadi hata waziri wako mkuu kulipotosha bunge kwakusema uongo subiri CD inakuja upate ukweli kwa yaliyojiri jijini Arusha!
 
iuzwe bei nzuri walalahoi winunue kwa wingi. ila tuwa makini na kina baba january hawachelewi kuchukua mzigo wote kama wanavyofanyaga kwa baadhi ya magazeti.
 
Hongera kamanda tunasubiri hiyo cd,na kuhusu waliokufa hawajauliwa na CDM bali waliuliwa na POLISI walioagizwa na serikali ya CCM.Na waliuwawa hawakuwa kwenye maandamano hilo lipo wazi.........peoples power.
 
naye mpuuzi tu ameona ndo sehemu ya kutafutia sifa kwenye vifo vya watu.kweli chadema inafanya siasa za maji taka huwezi kujitafutia kwenye mauaji kama hayo,watu wanahuzunikawamepoteza ndugu zao wewe unatengeneza cd,wawaone tena wanapigwa sisasi si wataanza upya kilio.

usiongee usilolijua!tafuta hiyo CD uiangalie.nimebahatika kuipata machozi yalinitoka kweli ni uonevu wa hali ya juu uliotendeka!
 
Itasaidia tuone discrepancy ya taarifa ya pinda na reality on the ground
 
usiongee usilolijua!tafuta hiyo CD uiangalie.nimebahatika kuipata machozi yalinitoka kweli ni uonevu wa hali ya juu uliotendeka!

achana na huyo mpuuzi, ebu niambie kaka, umeipata wapi?? Na ikoje?? Hauwezi kuitupia humu jf?? Au hata utuelekeze ulikoipata kwa wakazii wa arusha??,,, naomba pia kama mheshimiwa lema upo humu, jitokeze,,, kuna mengi wananchi wako wa arusha tuliokupigia kura tungependa kubadilishana mawazo na wewe.
 
yeah,hapo sasa ndio tutajuwa kuwa waziri mkuu alidanganya bunge na taifa ama akudanganya,isiuzwe iwe free kwani sio biashara hiyo na ktk kuitumikia jamii iliyokuchaguwa
 
Amkeni Wadanganyika! Bado tu, hamjatosheka na udanganyifu wa CCM? Sasa huu kama siyo utani ni nini? Eti kupiga vita rushwa ni uhaini. Kwa taarifa, uhaini ni kosa kubwa kuliko yote ktk Jamhuri ya Wadanganyika (Ibara ya 28[4] ya Katiba yao ya 1977). Ukisema rushwa 'no' wewe ni mhaini. Kwa nini? Kwa sababu BILA RUSHWA CCM haiwezi kuwa madarakani hata kwa siku 30; rushwa ni CCM NA SERIKALI YAKE chini ya vibaraka wa mafisadi. Anayebisha, atokomeze rushwa hapa kwa Wadanganyika japo kwa siku 30 tu ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom