Muhas wiki ya pili bila boom.

Guyton

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
264
78
Ni wiki ya pili sasa tangu chuo cha muhimbili kifungue lakini wanafunzi bado hawajapewa fedha zao za kujikimu.
 
Msijisumbue kwani CCM wanatumia Boom la wanafunzi kupigia kampeni Arumeru so subirini washinde kwanza na kama hawatashinda sijui itakuwaje.
 
Back
Top Bottom