MUHAS- why not Karume??

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Tumeshuhudia hivi karibuni Dr Jakaya Kikwete akizawadiwa degree ya heshima katika fani ya afya ya jamii.sababu kadhaa zilitajwa kwanini Kikwete anastahili degree hiyo.
Katika kumbukumbu zangu Zanzibar ni mojawapo ya sehemu iliyoweza kupunguza malaria kwa kiwango cha juu kabisa(eradicated malaria).mafanikio haya yanahusishwa na commitment kubwa ya rais wa awamu iliyopita mh Abed Aman Karume katika kusimamia swala hili.najaribu kutafakari kama kweli MUHAS wana nia ya kweli ya ku-motivate watu wenye mchango mkubwa katika nchi,kwa nini hawakuona mchango wa Karume kule Zenj.
Hii ni alama nyingine jinsi mfumo wetu wa Taaluma ulivyoingiliwa na Siasa.
Tuwaulize MUHAS, why Kikwete and not Karume?
NAWASILISHA.....
 
...................................Katika kumbukumbu zangu Zanzibar ni mojawapo ya sehemu iliyoweza kupunguza malaria kwa kiwango cha juu kabisa(eradicated malaria)..........................................

Malaria No More, si bora wangempa Mr. II - Sugu...... Nilifikiri Madaktari ni watu wa kufikiri sana. Kumbe laaaaaaaaah! Elimu ya Tanzania zaidi ya uijuavyo...
 
wasomi wote nchi hii ni waoga na wanapenda kujipendekeza.wanashindwa kumuambia haiwezekani!
 
...................................Katika kumbukumbu zangu Zanzibar ni mojawapo ya sehemu iliyoweza kupunguza malaria kwa kiwango cha juu kabisa(eradicated malaria)..........................................

Malaria No More, si bora wangempa Mr. II - Sugu...... Nilifikiri Madaktari ni watu wa kufikiri sana. Kumbe laaaaaaaaah! Elimu ya Tanzania zaidi ya uijuavyo...

Kuwa professor si kuwa una akili sana na uwezo mpana wa kujua/kuelewa mambo au kutazama mambo in 3-dimensions, bali ni ku-specialize in one very small thing=being blind in big things.
 
MUHAS walikurupuka kujitenga na UDSM.nadhani wanalipa fadhila!!
 
Sasa huku ni kukurupuka,yani kila mtu atampa ka-phd! Walau shule za msingi hazigawi degree za heshima,au watampa heshima ya cheti cha zarasa la saba sasa!Nshachoka mie!
 
poor prof pallangyo and Dr kwesigabo.najua hawakupenda kufanya hayo yaliyotokea ila wana wasiwasi na vibarua vyao.
 
poor prof pallangyo and Dr kwesigabo.najua hawakupenda kufanya hayo yaliyotokea ila wana wasiwasi na vibarua vyao.

wamechemka mno!kama issue ni Tz bara basi bora wangemzawadia kamanda George W Bush kwa msaada wake wa vyandarua.teh teh teh!wasomi wa bongo kichekesho sana.
 
Back
Top Bottom