Ndokeji
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 698
- 475
Kutokana na wale wanafunzi 48 waliofukuzwa chuo . bunge la serikari ya wanafunzi limekaa na Kupitisha maamuzi ya kushinikiza management ya chuo wawarudishe chuo wanafunzi wote 51. kuanzia jumatatu mwanafunzi yoyote wa Udsm haruhusiwi kuingia Darasani ni bonge la mgomo mpaka kieleweka