Mugabe kung'olewa kijeshi.

nitafurahi sana kama kweli wamarikani na b52 zao wamwondoa mugabe, pia wamechelewa walipaswa pia kutuma b52 against kibaki december, 2007

kama wamarekani wasipotumia b52 huku afrika nyakati za uchaguzi kwa wezi wa kura , mimi ni miongoni wa wale ambao hawatapiga kura. afadhali nifadhili uasi kuliko kupoteza kura yangu kwa madikteta
 
Mie namgoja mzee Kikwete atasemaje au atafanyaje. Dunia inangoja 2010 Zanzibar ita kuwaje!
 
Kama nilivyosema jana US haiwezi kupeleka jeshi Zimbabwe watawaambia viongozi wetu wa Afrika kuhandle hii kitu....na inawezekana hiyo war plan iliyoonekana CNN ilikuwa ni ile ya Iran...na ukiangalia UN nao wametoa tamko kuwa AU wadeal na hii kitu.
 
nitafurahi sana kama kweli wamarikani na b52 zao wamwondoa mugabe, pia wamechelewa walipaswa pia kutuma b52 against kibaki december, 2007

kama wamarekani wasipotumia b52 huku afrika nyakati za uchaguzi kwa wezi wa kura , mimi ni miongoni wa wale ambao hawatapiga kura. afadhali nifadhili uasi kuliko kupoteza kura yangu kwa madikteta

US hana muda na Mugabe, zimbabwe ina nini cha kuifanya US waingie huko, that will never happen, a man is there to stay for other 5 years, Kwa US huu niujinga ambao hawezi hata kufikiri kuingia huko kwa kuwa ni economic nonviable project. Usifikiri US anavamia tu kila sehemu na majeshi yake, anaangalia future income kutoka sehemu hiyo kitu ambacho zimbabwe hana na haitatokea kuvamia huko.
 
Umeniacha Hapa Embu Pambanua,mkuu!

R2P = Responsibility to Protect, katika International relations jargon.

Ni concept mpya iliyoibuka sana sana baada ya Rwanda.Zamani mambo ya "territorial integrity" na sovereignty yalikuwa paramount na hata Iddi Amin alivyokuwa anachinja watu wake, ilikuwa vigumu sana kwa watu wa nje kumtoa kisheria. Hata Nyerere aliingia kwa sababu ya Amin kuvamia Kagera.

Baada ya mauaji ya Rwanda (Genocide) watu wa diplomasia za kimataifa wame re evaluate umuhimu wa kuingilia mambo ya ndani kama kunatokea mauaji kama ya genocide na some grave atrocities zinazofanana na hayo.

Tatizo ni kwamba what one may see as R2P, another person can see as neo imperialism.

http://www.responsibilitytoprotect.org/
 
Click on the title for the below statement in PDF

The Pan-African Parliament Election Observer Mission to the Presidential Run-Off and Parliamentary By-Elections in Zimbabwe - Interim Statement

The Pan-African Parliament Election Observer Mission to the Presidential Run-Off and Parliamentary By-Elections in Zimbabwe - Interim Statement
Author: Pan-African Parliament
Publisher: Pan-African Parliament
Publication Date: June 29, 2008
Copyright: 2008
Publisher Website: www.pan-african-parliament.org
Language: en
Category: Zimbabwe, Peacekeeping and Conflict Resolution, Conflict, Peace and Security, International Organizations and Africa

--------------------------------------------------------------------------------

Prior to the arrival of the main Mission team on 14 June 2008, an Advance Team of ten (10) MPs and eight (8) support staff was deployed on 8 June 2008 with the objective of assessing the prevailing pre-election environment by monitoring the state of preparedness and the political developments in the country.
 
Kama nilivyosema jana US haiwezi kupeleka jeshi Zimbabwe watawaambia viongozi wetu wa Afrika kuhandle hii kitu....na inawezekana hiyo war plan iliyoonekana CNN ilikuwa ni ile ya Iran...na ukiangalia UN nao wametoa tamko kuwa AU wadeal na hii kitu.

Yametimia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom