Mugabe collapses!

Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa hata mkuu wetu wa kaya anaangukaga ofisini ila tu imekuwa siri ya usalama wa Taifa. Tusiwacheke wazimbabwe hata kidogo. Wewe fikiria mtu ameanguka hadharani mbele ya TV. Nyumbani kwake anacollapse mara ngapi?
 
Back
Top Bottom