Mugabe brands Kikwetes types as cowards

we don't want to buy a piece of bread for 40,000,000$.

mugabe's philosophy is all about dictatorship. what if you want to be president forever and you think your smart enough.
WE MAY THINK THAT MUGABE IS A DICTATOR but if u compare him with the Kikwete type,,, year mugabe is smart
 
Bora Mugambe aendelee kung'ang'ania madaraka kuliko kuwaachia nchi viongozi wanaoiuza nchi kwa watu weupe!
Big up BOB!.....Wenye uchungu na Afrika tunakukubali!!
 
Ameongea point il atatizo lake ni kwamba anasahau haraka. Na yeye alikua ana kneel sana tu.
 
Mugabe is genius no doubt ! Kikwete am scared to brand him as spineless and dumb !!!!
 
Kikwete anaweza kutoa speech kali km hii wakati kila week yuko kunywa chai marekani au ulaya?
 
Asavali hasira zake anazimalia kwa wadhungu,kuna viongozi wa kiafrika wawili tu ambao wanajeuri ya kuwasema wazungu mbali ya Bob ni Madiba ingawa naye ndio jua limsha mchwea
 
President-Jakaya-Kikwete--007.jpg
 
Hizi ndizo zinaitwa "mind games".

Unachagua kitu fulani ambacho ni rahisi kuki attack, kama the west, unawapiga watu changa la macho wanasema "Mugabe kidume" na kufumbia macho ushenzi wote unaowafanyia watu wako.
 
Mzee Mugabe anasema kweli, lakini mleta mada toa jina la Kikwete hapo. Kakukosa nini? hakuna sehemu Mugabe kamtaja mtu kwa jina, kama una chuki binafsi na Kikwete usituletee hapa. Huyo ni Rais wako inapaswa umuheshimu hata ma boss zako wa chadema wanamheshim.
mi pia amenishangaza, mi nljua n Mugabe katamka ivo....
 
Bob never ceases to amaze me...remember his point blank missile-The only white man I can trust is a dead white man!
 
I love this guy, hana kuhusudisha mtu kwa sababu yoyote ile dah hadi inatia raha
 
Ni afadhali umasikini na uhuru, kuliko kuwa tajiri na utumwa eeeeh! Tanzania tuko maskini na watumwa, screwed as hell! up!.
 
...........anayemlipa mpiga zumari ndiye huchagua wimbo.................
 
Back
Top Bottom