Mufti Simba una hoja ya kuwajibu Watanzania

Nafikiri kamma chadema wako smart ni watu pekee kuitumia mada hii kuonesha jinsi CCM ilivyowabagaua Waislamu wa TAnganyika na hata kuwakatalia kuwa na KADHI kama Chadema ni smart na wanataka kuungwa mkono na Waislamu waende deep kwenye Historia na wampe reserach Mzeee wenu akamwage jukwaani na awaeleze Waislamu nini atawafanyia Waislamu wa Tangayika na wao wajione kuwa ni Watanzania kuan mengi mukitaka wanachadema nitawasaidia kweney research zangu mimi Sio mwana Chadema wala mwana CCM ila nayajua madhambi waliofanyia Waislamu baada ya kupatikana uhuru kina Bibi Titi kufungwa na kutolewa kwenye nafasi muhimu kwenye serikali nendeni kwenye reserch za Mohammed said mutaona unyama wa CCM walivyowakndamiza Waislamu ingawa leo wanawatumia hao hao Waislamu kubaki Madarakani.
Wapinzani kaeni mujipange pamoja sio kupiagna wenyewe kwa wenyewe CCM itatawala kwa uzembe wa Upinzani huu ndio ukweli.
 
Kura za Waislamu zimeweza kuifanya Chadema ishindwe ktk uchaguzi wa Igunga. Sasa ni wakati wa Chadema kubadilika ktk uongozi wao- ambao hauna demographic ya TZ.

Chadema lazima mjue hamwezi kushinda bila ya Waislamu. Kwa hiyo badilikeni.

Kama itatokea tunapiga kura ya "Top Ten Comments za Kipumbavu" katika JF naomba hii isisahaulike.
 
Waliimaliza NCCR kwa propoganda ya Vita ya Burundi ,Rwanda na Congo Wakaisambaratisha CUF kwa mapanga shwa Uislamu na Muafaka Wanainyemelea Chadema kwa Ukristo, ukabila na Propoganda za maadamano ya haki wao wanayaita vurugu jambo dogo mabomu lazima na matangazo mengi ili watu watokwe na imani tusikubali watugawe 2015 ccm bye bye mada zenye kuleta uchonganishi kugawa jamii ya wana cdm tuzisusie neno nguvu ya umma kwao ni tatizo watafanya kila jitihada kuiona inachanika mapande
 
Hata siku moja CDM isijiingize ktk sera mufilisi za udini. Hiyo kete waachie CCM. Maana wamepoteza mvuto sasa wanavamia kila ujinga angalau wasogeza siku kadhaa ktk madaraka,bila kuangalia matokeo ya siku za mbeleni.
 
Kura za Waislamu zimeweza kuifanya Chadema ishindwe ktk uchaguzi wa Igunga. Sasa ni wakati wa Chadema kubadilika ktk uongozi wao- ambao hauna demographic ya TZ.

Chadema lazima mjue hamwezi kushinda bila ya Waislamu. Kwa hiyo badilikeni.

acha uchonganishi... Siku hii nchi ikija kuaribika kwa Udni... Am tellin most of U CCM 2tawapeleka da Hague... 2me2nza record zote za picha na maneno znazo onyesha jinsi mnavyo asisi udini..... Kuanzia ****** na wengine..
 

Ni msimamo wa waislamu wote, wewe unasema aje? Mufti ni kiongozi wetu akisema wote tunaunga mkono.

Du mzee mufti amekuwa msahafu? usiupotoshe uislamu yale anayoyasema kama muislamu tutayakiri lakini anayotumwa na nafsi yake hayo yake kuitumia bakwata kama jukwaa haishangazi ni chombo kilchoundwa na serikali kama ilivyo polisi au pcb si utashi wa waislamu ndio maana wanauza mali na viwanja vya waislamu kwa sababu chimbuko lao ni ufisadi sawa na aliyewaunda
 
Kwaiyo huyu kuzi anafuraia waislam kutumika ka toi paper,Ni aibu kubwa inchi kugawanywa kidini
 
Kura za Waislamu zimeweza kuifanya Chadema ishindwe ktk uchaguzi wa Igunga. Sasa ni wakati wa Chadema kubadilika ktk uongozi wao- ambao hauna demographic ya TZ.

Chadema lazima mjue hamwezi kushinda bila ya Waislamu. Kwa hiyo badilikeni.



mr.right usichukue uchafu wa ccm ukautwisha uislam,usijalibu hata kunusa ukatumia fimbo ya dini kuisambalitisha siasa siasa itabaki palepale na dini itabaki kivyake usitulete habari za shekhe yaya hapa.kaa ukijua ukombozi wa tz utaletwa na chadema wala si habari za kidini hapa.dini kama dini haina connection yoyote katk siasa tena peleka pumba zako uko ulikozitoa kabla hufanywa vibaya.watu tushatoka na ujinga alafu bado unaleta ujinga
 
Mkuu,

Nikuulize swali je kama muislamu ni fisadi utamchagua kwasababu ya uislamu wake? Chadema wanatakiwa kuwaheshimu na kuwathamini waislamu lakini sio kuchagua viongozi wa kiislamu kwasababu ya dini yao hata kama hafai hilo ni tatizo jengine. Kama tunavyopinga kuteuliwa wanawake kiubunge, na kiuongozi basi pia tuchague viongozi sio kwasababu ya dini yao bali kwa sifa zao za uongozi na uadilifu. Na sio dini yao !!!

Hii point nimeiweka kwa sababu ktk mihadhara mingi, Dr. Slaa ambaye ni padre ameshindwa kuuelewa umuhimu wa Waislamu ktk siasa na mapinduzi ya TZ yaliyotokana na Waislamu.

Waislamu hawana chama ambacho wanakiamini SI CCM, CUF au Chadema. Lakini kuna progress ambayo inatumika ktk CUF, CCM kuwaelewa Waislamu. Sasa kwa nini Chadema inajifanya kama Waislamu hawapo ktk siasa za TZ?

Tunataka kuona uongozi wa Chadema unabadilika ktk uongozi wake. Tunataka demographic ambayo itaweza kuonyesha hali halisi ya TZ, na siyo watu wa dini fulani tu.

Kumbuka tunajaribu kupigania haki za Waislamu popote pale. CCM na Serikali ya wakati wa Nyerere ambao Waislamu walikuwa nyuma siyo CCM na serikali ya sasa hivi. Sasa hivi Waislamu wanadai haki zao.

Ktk CCM kuna progress fulani, lakini bado kuna inequalities ktk nafasi za kazi, elimu, nk kwa Waislamu. Nyerere katawala kwa miaka 25, alikuwa na mlengo wa kuwakandamiza sana Waislamu.

Sasa hivi kuna progress fulani ktk serikali na CCM. Tunataka kuona hiyo progress ktk Chadema kabla ya kukibali hicho chama.

Tunataka CHADEMA IBADILIKE- Waislamu tunataka haki zetu. Tunataka kuona demographic ktk uongozi. Otherwise kampeni zitaendelea za kutokikubali Chadema mpaka KIBADILKE.
 
Kura za Waislamu zimeweza kuifanya Chadema ishindwe ktk uchaguzi wa Igunga. Sasa ni wakati wa Chadema kubadilika ktk uongozi wao- ambao hauna demographic ya TZ.

Chadema lazima mjue hamwezi kushinda bila ya Waislamu. Kwa hiyo badilikeni.
Ingekuwa ni nguvu ya waislamu, CUF ambaye ni mke mwenza wa Bakwata asingeshindwa namna ile! Hizi ni pumba tu unaleta hapa! Chadema haihitaji baraka za wake wenza wa ccm!
 
Hii point nimeiweka kwa sababu ktk mihadhara mingi, Dr. Slaa ambaye ni padre ameshindwa kuuelewa umuhimu wa Waislamu ktk siasa na mapinduzi ya TZ yaliyotokana na Waislamu.

Waislamu hawana chama ambacho wanakiamini SI CCM, CUF au Chadema. Lakini kuna progress ambayo inatumika ktk CUF, CCM kuwaelewa Waislamu. Sasa kwa nini Chadema
inajifanya kama Waislamu hawapo ktk siasa za TZ?

Tunataka kuona uongozi wa Chadema unabadilika ktk uongozi wake. Tunataka demographic ambayo itaweza kuonyesha hali halisi ya TZ, na siyo watu wa dini fulani tu.

Kumbuka tunajaribu kupigania haki za Waislamu popote pale. CCM na Serikali ya wakati wa Nyerere ambao Waislamu walikuwa nyuma siyo CCM na serikali ya sasa hivi. Sasa hivi Waislamu wanadai haki zao.



Ktk CCM kuna progress fulani, lakini bado kuna inequalities ktk nafasi za kazi, elimu, nk kwa Waislamu. Nyerere katawala kwa miaka 25, alikuwa na mlengo wa kuwakandamiza sana Waislamu.

Sasa hivi kuna progress fulani ktk serikali na CCM. Tunataka kuona hiyo progress ktk Chadema kabla ya kukibali hicho chama.

Tunataka CHADEMA IBADILIKE- Waislamu tunataka haki zetu. Tunataka kuona demographic ktk uongozi. Otherwise kampeni zitaendelea za kutokikubali Chadema mpaka KIBADILKE.

mr.right ugomvi wangu mi na wewe ni kushikilia rungu la udini ukalileta kwenye siasa chadema wataendeleamkangalia watu makini na wenye upeo mkubwa wenye moyo wa kizalendo na wapambanaji wa ufisadi walio masikini jeuli wasio kubali kuzibwa midomo bila kujali rangi ya mtu kabila wala dini.
Hatumpi mtu madaraka kwa kutumia dini ni cv na moyo wa kizalendo basi

wala sisi udini kwetu haramu kumbuka timu inayo iongoza chadema ipo kwaajili ta ukombozi wa watu wote bila kujali itikadi za dini
 
Kitendo cha kusema cdm wameleta kikosi cha kigaidi kutoka afganistani,libya na misri ni udhalilishaji kabisa,sbb hizo nchi ni za kiisilamu,anawatangazia walimwengu sisi ni waisilamu magaidi .Akisahau kusema kuwa cdm inawadhalilisha waislam kwa kitendo cha kumvua dc kilemba.NDUGU ZANGUNI CDM ITATUDHALILISHAJE HUKU INA2 2MIA? Adhawise 2taandamana asipoomba radhhi kwe2 na kwa cdm na watanzania wote.
 
Ni msimamo wa waislamu wote, wewe unasema aje? Mufti ni kiongozi wetu akisema wote tunaunga mkono.

Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri. Mimi ni Muislam lakn naipinga bakwata kutokana na kwenda kinyume na mafundisho ya dini, tena sitaki kabisa kusikia habari zake. Pole.
 
Hatuna ugomvi na waislamu kwa kuwa ni ndugu, marafiki, jirani zetu n.k. Tunashirikiana nao mabo yote ya kimaisha huku mtaani.Walaaniwe viongozi wa dini wanaokubali kuwa tambara la deki la CCM ambao kwa ufinyu wa mawazo wanataka watanzania wafikiri na kuangalia kidini.Wamepanda hiyo mbegu tangu uchaguzi mkuu sasa naona inaendelea kumea kila uchaguzi ukija.

Hakuna wa kukemea kwa kuwa uongozi uliopo unafaidika na hiyo siasa chafu!!! Sasa tumuulize Mufti hizo kura 26,000 walizopata CCM ni za waislamu pekee au hizo 23000+za CHADEMA ni za wakristo pekee kama alivyotaka kuelekeza?
 
Umesema mwenyewe kila Jamii ina viongozi wake. Huyu Mufti sii kiongozi wa DC wala jamii inayomhusu Bi. Fatma isipokuwa serikali ndiyo yenye mamlaka ya juu ktk swala zima. Na sheria ilichukua mkondo wake, washtakiwa walifikishwa ktk vyombo vya sheria na mashtaka yapo mahakamani. Wee sheikh unatafuta nini zaidi ktk kesi usiyoifahamu wala huna ushahidi wa kutosha. Na ni makosa makubwa kutoa Fatwa ktk swala ambalo huna ushahidi wake kwa sababu zipo kanuni na taratibu za kiislaam hupitiwa kabla ya kutoa fatwa.. Na unapokiuka kanuni hizi unaondoka ktk Uislaam na ndicho alichokifanya Mufti yaani katoka ktk Uislaam na kuingia ktk siasa.

Halafu, hatushindani baina ya waislaam na Wakristu isipokuwa tunapinga unyanyaswaji wa kijamii hivyo kama kweli huyu Mufti ni kiongozi anatakiwa kusimama ktk kila jambo linalowagusa wananchi wake. Na anatakiwa leo hii azungumze mabaya tyote ya Utawala wa CCVM ambao uko madarakani na sii kuzungumzia Upinzani hali Waioslaam hali yao ya maisha inazidi kuwa mbaya. Ni afadhali hao Maaskofu wanaozungumzia Ubaya wa utawala huu ingawa binafsi siafiki viongozi wa dini kuingilia mambo ya siasa. Na wewe wamekukwaza kwa sababu ya Udini kuwa walozungumza ni Maaskofu ingawa kuna ukweli kuwataka wananchi wasikichague chama cha CCM ambacho kuna ukweli mkubwa kwamba kimewadhalilisha pia waislaam miaka mingi.

Kuhusu Sheikh Hassan wewe hujui mengi zaidi yaliyofichika kwa sababu huyu pia alikuwa mwanasiasa, na alikuwa na chama pinzani na uongozi wa Nyerere na walifanya mpango wa kupindua serikali, hivyo Sheikh anapoingilia mambo ya siasa adhabu zake hatuwezi kuzitazama kidini tena isipokuwa kisiasa. Lakini maajabu ya Firaun sijasikia Muislaam akimtaka sheikh Hassan angevua joho la Usheikh kwanza bali anasifiwa.

Mkandara,

I concur with you on one thing that viongozi wa kidini wasijiingize katika masuala ya siasa wajivue majoho ndio watumbukie kwenye siasa. Kuhusu ishu ya DC Fatuma mie nakupinga kwani Mufti ni kiongozi wa waislamu whether Bakwata, Balukta, Jumuiya ya Uamsho, etc. Akitoa tamko la fatwa waislamu wanalisikiliza kwa makini. Narudia tena Mufti alipokosea ni pale aliposema watu wasikipigie kura chama fulani kwani waislamu wapo wanaCCM, WanaCUF, Wanachadema nk. Alitakiwa azungumzie kuhusu DC Fatuma na kwanini waislamu wamekerwa na kudhalilishwa kwake na waliohusika wote wakamatwe. Kuhusu kuchagua chama siamini kama ilikuwa solution ya kumpatia yule mama haki yake ya kumfidia baada ya kudhalilishwa.

Na Maaskofu pia walitakiwa wakemee viongozi wabovu wasiokuwa na maadili ila wanapokosea ndugu zangu wakristo ni kutoa mitazamo yao kuwa chama fulani au kiongozi fulani ndie afaaye kuongoza nchi hii. Ukiusoma waraka wa kanisa mwaka jana ijapokuwa hawamtaji mgombea fulani wa chama fulani but you could see the obvious wamemkusudia mgombea wa chama fulani ndie achaguliwe. This sikubaliani nayo kwani ijapokuwa maadili na uwajibikaji ni muhimu katika uongozi ila vyama vya siasa navyo vinakuwa na ideology tofauti ya utawala. Mfano CCM wao ni wajamaa au siku hizi niwaite wasocialist. Chadema wao mabepari ijapokuwa hawasemi hadhari but ukisoma policies utaliona hilo. Sasa utamwambiaje muumini wa kikristu achague Chadema wakati yeye hakubaliani na itikadi za kibepari? Au utamuambiaje mtu achague CCM wakati hakubaliani na itikadi za kijamaa? Mbaya zaidi uchaguzi wa meya Arusha tumeona jinsi Askofu Laizer alivyoungana bega kwa bega na chadema kumkataa meya wa arusha wakati wanaosali katika kanisa lake wako waliomchagua meya huyo na wasio mchagua pia? Ndio maana nakubaliana na kauli ya Mary Chatanda kuwa maaskofu na masheikh wakitaka siasa wavue majoho ya ibada waingie ulingoni mwa siasa.

Tukirudi katika Sheikh Hassan bin Ameir (R.A) unayoyasema sio kweli na fitna hiyo ndiyo aliyoitumia Nyerere kumwangusha Sheikh Hassan. Nyerere alimuona Mufti wa Tanganyika ana nguvu kushinda yeye akaona itakuwa ngumu yeye kupenyeza anayoyataka ndio akamuanzishia fitna hizo. Ukweli bwana Sheikh Hassan hakuanzisha chama bali alianzisha taasisi ya elimu inaitwa East African Muslim Welfare Society. Tena Sheikh hassan ndiye aliyekuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kumkaribisha Nyerere kwa waislamu na kumpa support. Ila Sheikh Hassan Alikuwa anaogopewa kwani aliweza kuwaunganisha waislamu wote na kuwa sauti moja irrespective huyu Shia, Sunni, Wahabbi, Ahmadiya, Ithnaasheri, Ibaadhi nk. Ndipo Nyerere akamzushia fitna kuwa ati Aga Khan anataka kuitawala tena Tanganyika wakati ni uongo. Kwa maelezo zaidi soma maisha Bibi Titi Mohammed, Soma chapisho la Dr Issa Ziddy kuhusu maisha ya Sheikh Hassan Bin Ameir Al-Shirazy, Soma Mzuri kaja by Dr Ghissany, Soma makala za Mohammed Said. Ukweli ni kuwa Sheikh Hassan Bin Ameir alikuwa Sheikh wa kitariqa almaarufu Qadiriyya ambayo ilikuwa imesambaa Tanganyika mpaka Congo. Na kote huko kulikuwapo wanafunzi wake ambao kwa mujibu wa adabu za kitariqa (tasawwuf or Sufi) wanamsikiliza Sheikh wao kuliko mtu mwengine. Hilo ndio alilokuwa akiliogopea Nyerere. Namjua vizuri sana Sheikh huyu.
 
Back
Top Bottom