Mufti Simba anaweza kutoa tamko kuibana serikali iwakamate walioweka pesa mabenki ya Uswisi?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Anaweza kiongozi huyu mkumbatiaji mkubwa wa magamba kutamka hivyo?

Manake tayari kisha ingilia masuala mengine kama vile ya sensa nk. tunataka alaani masuala ya tija zaidi kwa mustakabali wa taifa hili kuwalani mafisadi wa CCM, kama kweli ana huruma na Watz wanaoibiwa.
 
Back
Top Bottom