Mufti Lion adaiwa kuifilisi BAKWATA

Unafiki hauwezi kumsitiri mtu mbele ya aibu anayoitengeneza. Tatizo sioi Bakwata kama chombo. Tatizo ni watu wanaoziongoza taasisi hizi. Njaa kali halafu wanatetea hata makosa ambayo dini zetu zinasema bayana kuwa ni dhambi mbele ya mungu. Ndo hapo sasa unafiki unaposhindwa kutusitiri!!!

Waislamu hapa Tanganyika hatuna umoja, Ramadhani tunafunga tofauti, kusheherekea sikukuu tunashehereka tofauti, sijui kwanini hatukai chini kumaliza tofauti zetu. Kazi kulalamika kuwa tunaonewa, tunakandamizwa hatupewi haki. Tutaishimiwa vipi wakati sisi wenyewe bado tuna migogoro? Misikiti mingi hapa Tanganyika kuna migogoro ya kijinga
 

Nani aliyekuambia kuwa Bakwata imefilisika? Bakwata haifilisiki kama ilivyo Serikali ya Fisadi Kikwete. Na hata kama Bakwata haina pesa tutapata bailout kutoka Serikalini, kumbukeni kuwa Bakwata ni Kitengo kidogo cha Propaganda katika CCM, na CCM ndio inayoongoza Serikali legelege iliyokosa maadili na heshima katika Jamii. Kama kweli mufti wetu ni Fisadi basi atakuwa amerithi Ufisadi kutoka kwa Lowassa, Kikwete, Chenge na mafisadi wengine, maji hufuata mkondo. Iweje muwe mnapiga kelele kuhusu Mufti wetu? alichochukuwa ni vijisenti tu.

Waislamu tupo legelege kama ilivyo serikali ya CCM, hatujui kuhoji mambo ya Ufisadi ndani ya Bakwata kazi kutetea ujinga wa Serikali ya Kikwete iliyoshindwa kuongoza nchi na kulinda Rasilimali zetu, too sad to handle the truth kwa Waislamu wenzangu. Wengi wetu ni wanafiki kutetea upumbavu wa hawa Bakwata na kusifia ujinga wa Kikwete.

Mkuu Unang'ata , unauma, unapooza au unapuliza Kwani nini isifirisike kama michango inayopokea yote inaishia mikononi mwa watu waliosimikwa uongozi...

Hii mbinu watakuwa wameichukua serikalini accounts za misaada ya nje zinaishia mifukoni mwao nadhani hata Bakwata Itakuwa Hivyo au Mufti alikuwa na access ya kuchota pesa sasa kuna uwezekano kuwa katumia vibaya, lisemwalo lipo

Kila idala huwa na matumizi yake so inawezekana kuna waliokosa mgao wao wa kawaida kuchungulia account wakakuta bila bila sasa waseme nini kama sio kusema Mufti aifilisi Bakwata...

Kama kufilisika Taasisi yoyote inaweza kufilisika hata Bakwata kama ndio ishakuwa hivyo haina kitu Mufti kaimaliza sasa nani unadhani atapeleka Msaada Pale ??? labda Dau amfichie aibu achote pesa Kwenye Shirika letu la Jamii
 
nani aliyekuambia kuwa bakwata imefilisika? Bakwata haifilisiki kama ilivyo serikali ya fisadi kikwete. Na hata kama bakwata haina pesa tutapata bailout kutoka serikalini, kumbukeni kuwa bakwata ni kitengo kidogo cha propaganda katika ccm, na ccm ndio inayoongoza serikali legelege iliyokosa maadili na heshima katika jamii. Kama kweli mufti wetu ni fisadi basi atakuwa amerithi ufisadi kutoka kwa lowassa, kikwete, chenge na mafisadi wengine, maji hufuata mkondo. Iweje muwe mnapiga kelele kuhusu mufti wetu? Alichochukuwa ni vijisenti tu. Waislamu tupo legelege kama ilivyo serikali ya ccm, hatujui kuhoji mambo ya ufisadi ndani ya bakwata kazi kutetea ujinga wa serikali ya kikwete iliyoshindwa kuongoza nchi na kulinda rasilimali zetu, too sad to handle the truth kwa waislamu wenzangu. Wengi wetu ni wanafiki kutetea upumbavu wa hawa bakwata na kusifia ujinga wa kikwete.
kaka mzalendo, uko deep na ni umkweli kabisa, tushajitambua tayari waislam lkn hii bakwata ndo mbaya wetu, hatuwezi kuanzisha chombo makini kwa ajili yetu waislam kwani hawa bakwata watafanya robing serikalini na tutaonekana wavurugaji wa amani na apo tutapingwa na serikali, ivyo sioni dalili kama waislam tutapiga hatua chini ya bakwata, hiyo ndo hali halisi, mfano uchaguzi wetu wa bakwata unasimamiwa na serikali tena hii hii ya mafisadi wa ccm ya akina chenge, lowasa, membe, jk, msekwa aah puuuuh... Hatutasonga kokote.bakwata inakera zaidi wakati wa uchaguzi inakuwa very bizy maana najua hata fungu wanapewa kuakikisha waislam haswa wasojua kupambanua mambo wanavote for ccm na ufanikiwa kuwavuna wengi kumbuka yaliyojiri igunga nk utaona kabisa walikuwa wametumwa na bwana wao ccm, busara wangetuacha kama waumini tuamue upande.hiki chombo ni kikubwa sana kwa jina ila yaliyomo humo ni legelege mno leo hii inasemekana kimefilisiwa na mufti simba yani inasikitisha sana hata kutamkika kwake na ni aibu kwa ata kwa wenzetu, kwan kama hawatucheki basi wanatuonea sana huruma,
 
Mahakama ya Kadhi itakuwa na Ufisadi kama Mahakama za tanganyika zilivyo, nyie subirini tu zikianza kazi mtasikia, tutachekwa sana. Wee angalia kwenye Tende mashekhe wa misikitini wengi wanatiana makonde kwa ajili ya Tende. Hata kusalisha misikiti pia tunapigana, sijui njaa ndio zinazotusumbua, aibu kwa kweli nikielezea tabia ya hawa mashekhe wetu.

Mkuu,
Umeongea kwa hekima sana. Binadamu wa leo tena wa dini zote, tuache kuabudu watu wengine tumwambudu Mungu ili tuweze kupata msaada wake na kupata kujua nini tunatakiwa kufanya kwenye ulimwengu huu. Tumepotoka! Ndio maana tunashabikia mambo ambayo dini haikubaliani nayo kabisa halafu bila aibu kwa kutumia busara na mistari ya kidini!
 
mkuu unang'ata , unauma, unapooza au unapuliza kwani nini isifirisike kama michango inayopokea yote inaishia mikononi mwa watu waliosimikwa uongozi...hii mbinu watakuwa wameichukua serikalini accounts za misaada ya nje zinaishia mifukoni mwao nadhani hata bakwata itakuwa hivyo au mufti alikuwa na access ya kuchota pesa sasa kuna uwezekano kuwa katumia vibaya, lisemwalo lipo kila idala huwa na matumizi yake so inawezekana kuna waliokosa mgao wao wa kawaida kuchungulia account wakakuta bila bila sasa waseme nini kama sio kusema mufti aifilisi bakwata...kama kufilisika taasisi yoyote inaweza kufilisika hata bakwata kama ndio ishakuwa hivyo haina kitu mufti kaimaliza sasa nani unadhani atapeleka msaada pale ??? Labda dau amfichie aibu achote pesa kwenye shirika letu la jamii
duduwasha bakwata haiwezi kufilisika, hii ni mtaji wa serikali kwa kiwango kikubwa hasa wakati wa uchaguzi mkuu, mashehe wote lao moja misikitini kuilinda ccm isianguke, mfano mdogo tu igunga, wajua bakwata kwa kuwarubuni waislam juu ya yule mama kuvuliwa ijabu iliwasaidia sana ccm, wajua machapisho yalisambazwa karibia tanzania nzima kulaani kuvuliwa jabu yule mama kwa kudai kuwa ni mwislam, leo wako wap maana yule mama anaishi na mkristo, na uislam ni matendo na c jina, mpaka apo aibu kwa bakwata aibu akini wamezoea usanii wa namna iyo, serikali ya ccm lazima iwalinde hawawezi kufilisika ila tushayatambua ayo sana na their days are numbered
 
Mkuu Unang'ata , unauma, unapooza au unapuliza Kwani nini isifirisike kama michango inayopokea yote inaishia mikononi mwa watu waliosimikwa uongozi...

Hii mbinu watakuwa wameichukua serikalini accounts za misaada ya nje zinaishia mifukoni mwao nadhani hata Bakwata Itakuwa Hivyo au Mufti alikuwa na access ya kuchota pesa sasa kuna uwezekano kuwa katumia vibaya, lisemwalo lipo

Kila idala huwa na matumizi yake so inawezekana kuna waliokosa mgao wao wa kawaida kuchungulia account wakakuta bila bila sasa waseme nini kama sio kusema Mufti aifilisi Bakwata...

Kama kufilisika Taasisi yoyote inaweza kufilisika hata Bakwata kama ndio ishakuwa hivyo haina kitu Mufti kaimaliza sasa nani unadhani atapeleka Msaada Pale ??? labda Dau amfichie aibu achote pesa Kwenye Shirika letu la Jamii

Mkuu pale Bakwata wengi wao hawakwenda Shule, kwa hiyo akiwekwa mtu aliyeenda shule hawezi kukubaliana na ujinga wao au upumbavu wa kutumiwa na CCM. Nachukia sana kuona Taasisi yetu ya kidi kutumiwa kisiasa. Na haya yote yanatokana kuwa na Mshekhe Njaa kama hao wanaoiba sadaka za misikitini. Kila siku ni migogoro kisa kikubwa cha migogoro ni Misaada au Sadaka inapokuja msikitini kila mtu anataka awe mjumbe wa msikiti ili misaada ikija nae achote fungu lake. Nakumbuka pale Magomeni Mapipa ule msikiti mkubwa ulichukuwa muda kujengwa, watu walikwapua pesa pale sio mchezo. Tatizo Shule imetupiga chenga wengi wa Mashekhe wetu wameegemea upande mmoja wa elimu, Madrassa tu na wakasahau elimu ya dunia hilo ndio tatizo na ni rahisi sana kutumika na kudangwa na wanasiasa uchwara kama Kikwete na CCM yake. Wakati mwengine ndugu zetu msiokuwa waislamu naomba msiwe na hasira na sisi kwenye maamuzi yetu, mtuhurumie wengine hatukusoma sana elimu ya dunia. Leo hii ukiwaambia Bakwata waajiri accountant watakuchukia na kufukuzwa utafukuzwa utaambiwa unajifanya umesoma sana.
 
kaka mzalendo, uko deep na ni umkweli kabisa, tushajitambua tayari waislam lkn hii bakwata ndo mbaya wetu, hatuwezi kuanzisha chombo makini kwa ajili yetu waislam kwani hawa bakwata watafanya robing serikalini na tutaonekana wavurugaji wa amani na apo tutapingwa na serikali, ivyo sioni dalili kama waislam tutapiga hatua chini ya bakwata, hiyo ndo hali halisi, mfano uchaguzi wetu wa bakwata unasimamiwa na serikali tena hii hii ya mafisadi wa ccm ya akina chenge, lowasa, membe, jk, msekwa aah puuuuh... Hatutasonga kokote.bakwata inakera zaidi wakati wa uchaguzi inakuwa very bizy maana najua hata fungu wanapewa kuakikisha waislam haswa wasojua kupambanua mambo wanavote for ccm na ufanikiwa kuwavuna wengi kumbuka yaliyojiri igunga nk utaona kabisa walikuwa wametumwa na bwana wao ccm, busara wangetuacha kama waumini tuamue upande.hiki chombo ni kikubwa sana kwa jina ila yaliyomo humo ni legelege mno leo hii inasemekana kimefilisiwa na mufti simba yani inasikitisha sana hata kutamkika kwake na ni aibu kwa ata kwa wenzetu, kwan kama hawatucheki basi wanatuonea sana huruma,

Baraza lilokuwa linatetea waislam ni BALUKTA kwa nini Serikali ilituingilia na kulivunja na kuanzisha hili Baraza la Kifisadi la BAKWATA? Still up to now sijapata jibu ya hilo. Kwa kweli mimi hili Baraza siliamini kabisa, lipo lipo kisiasa na kutumia na wanasiasa wa CCM ni bora lingesajiliwa na kujulikana kama ni Chama Cha siasa na kuolewa na CCM kama ilivyo CUF
 
mkuu pale bakwata wengi wao hawakwenda shule, kwa hiyo akiwekwa mtu aliyeenda shule hawezi kukubaliana na ujinga wao au upumbavu wa kutumiwa na ccm. Nachukia sana kuona taasisi yetu ya kidi kutumiwa kisiasa. Na haya yote yanatokana kuwa na mshekhe njaa kama hao wanaoiba sadaka za misikitini. Kila siku ni migogoro kisa kikubwa cha migogoro ni misaada au sadaka inapokuja msikitini kila mtu anataka awe mjumbe wa msikiti ili misaada ikija nae achote fungu lake. Nakumbuka pale magomeni mapipa ule msikiti mkubwa ulichukuwa muda kujengwa, watu walikwapua pesa pale sio mchezo. Tatizo shule imetupiga chenga wengi wa mashekhe wetu wameegemea upande mmoja wa elimu, madrassa tu na wakasahau elimu ya dunia hilo ndio tatizo na ni rahisi sana kutumika na kudangwa na wanasiasa uchwara kama kikwete na ccm yake. Wakati mwengine ndugu zetu msiokuwa waislamu naomba msiwe na hasira na sisi kwenye maamuzi yetu, mtuhurumie wengine hatukusoma sana elimu ya dunia. Leo hii ukiwaambia bakwata waajiri accountant watakuchukia na kufukuzwa utafukuzwa utaambiwa unajifanya umesoma sana.
mkuu ni kweli kabisa, sijui ni kwa vipi na lini huu mfumo wa kizamani wa kiuendeshaji wa hii bakwata utaubadilika maana ukiigusa tu wamekusemea serikalini na apo suleiman kova atasiamama kukuelezea ulivyo mbaya, muasi na mvurugaji
 
kwanza ni-declare my interest: siamini katika imani za kikristo na Islam...mimi ni naturalists. Jamani huwa nafurahishwa na hawa mashehe jinsi walivyotakata...yaani wapo safi kimavazi,ngozi,meno n.k Jambo moja kuhusu usafi wa hawa jamaa linalonihuzunisha ni jinsi inavyo wagharimu ku-maintain hali hiyo. Namkumbuka shekhe mmoja kijijini kwetu(si mnafahamu maisha ya vijijini kwetu...ni kawaida kuwa na viganja na mikono iliyojaa sugu,yaani mwanaume viganja kama msasa) kwakweli shekhe wetu alikuwa mtu wa vibomu tu. Mtu wa hivyo atawezaje kutunza mali za waumini? Njaa jamani...haijali usafi!
 
mkuu ni kweli kabisa, sijui ni kwa vipi na lini huu mfumo wa kizamani wa kiuendeshaji wa hii bakwata utaubadilika maana ukiigusa tu wamekusemea serikalini na apo suleiman kova atasiamama kukuelezea ulivyo mbaya, muasi na mvurugaji

Bakwata imejaa Wazee, tena wengi wao wanaroho mbaya, hawataki vijana wa kiislamu kushika nafasi za juu. Wengi wa Vijanaa wa sasa wamesoma na kuyumbishwa kijinga sio rahisi labda Malaria Sugu ndio anaweza kuukubali ujinga wa hao Bakwata
 
Inamaana taasisi kubwa kama hiyo haina accountant?
Haina waajiriwa wenye taaluma zao kama wanasheria, wahasibu, wakaguzi wa hesabu?

Leo hii ukiwaambia Bakwata waajiri accountant watakuchukia na kufukuzwa utafukuzwa utaambiwa unajifanya umesoma sana.
[/FONT]
 
yaani ufisadi dah inafikia hatua ya kwamba mtu haogopi hata nafasi aliyopewa na waumini wake pia na mungu hamuogopi mh hatari sana sijui tunakwenda wapi
 
Tunahitaji mabadiliko makubwa ktk mfumo wa utawala wa nchi yetu ili tuweke mazingira yatakayowafanya watu kuheshimu, kama siyo kuiogopa, sheria. Haya maufisadi yote ni kwa sababu ya udhaifu katika utekelezaji wa sheria zetu. Tunahitaji taasisi imara zitakazolinda na kutekeleza sheria bila kuyumbishwa au upendeleo.
Tunaweza kuwalaumu viongozi wa Bakwata kwamba yawezekana wanafanya haya kwa sababu ya kutosoma sana, lakini tukumbuke kwamba mambo hayahaya yanafanywa ccm na serikalini ambako kumesheheni wasomi. Tatizo ni mfumo dhaifu wa usimamizi wa sheria.
 
inamaana taasisi kubwa kama hiyo haina accountant?haina waajiriwa wenye taaluma zao kama wanasheria, wahasibu, wakaguzi wa hesabu?
yani uwezi amini, bakwata imejaa wafitini, waroho, wabinafsi... Hakuna msomi pale, kuna vijana wengi wasomi, wanazuoni wazuri sana hawapewi nafasi pale kwa makusudi, kuna vijana wengi wamegraduate uturuki, saudia, na ata wengine nchi za magaribi, ebu jiulize wale vijana wa msaudi hawa ni vijana wa kiislam from udsm, udom wapo, mzumbe wapo, sua wapo nk yani hawa tunu kwa maendeleo ya waislam lakini hawapewi nafasi japo katika mabalaza mbali mbali ya kidini kwani wanajua watakuja na constructive ideas ambazo kwao wanahesabu kama ni hatari kwao.ilo linasimamiwa ata kwa ncha ya upanga lisitokee, kumbuka balukta iliyopata nguvu misikitini mwisho waliishia kupewa jina baya kuwa wana lete vurugu miskitini kwani walikuwa ni vijana wasomi ambao wangetufikisha mbali, naamini wanatuchelewesha lakini waislamu tuna hamu kubwa ya kuona tunakuwa free na kufanya maamuzi huru bila kuingiliwa na serikali (hasa ccm) wanaopitia bakwata
 
Njaa mbaya freemason imevamia kila idara ya nchi hii mbona tutaishi kimasikini wengi na wengine wanapeta wanaiba watakavyo huku wakilindwa
 
Hivi nchi hii watu tumeshachoka kuheshimiana........Ni sawa kwa Mods kuacha Jina la mufti Simba liandikwe Lion? Please nafikiri si sawa kabisa...Mimi Mkristo lakini sijafikia hatua hii ya kejeli....Tusirushe mawe gizani............
 
kwa kweli hata mimi sio muislam,ila sipendi kusikia au kuona kiongozi wa kiroho kukejeliwa kwa maneno mabaya na ya kihuni,kanakwamba ni size yako,hapana tuwe na nidhamu kwa viongozi wetu,mimi ni mkristo,sifurahishwi na umbea huo kwa viongozi wa kidini ni kumdharirisha,yawezekana unayomtuhumu sio kweli.
 
Back
Top Bottom