Muendelezo wa Zitto Kabwe Kuasi chama?

Unamtetea mumeo huyo kwanini useme unaudhuria kikao then uzime simu unafikiri Dr kusema Zitto tumemsubiri lakini kwasasa hapatikani, hiyo ndio kiongozi makini unayemsemea wewe au umetumwa?
Kitendo cha kumuamini sana huyo Dr wako ndo itatufanya tuelewe kuwa ni mumewe.

Pili ni kwamba Zitto anajua maana na umuhimu wa kutii sheria bila shuruti, na ametawaliwa na busara zaidi na sio kukurupuka. kiufupi zitto amesoma akaelimika, ila hao top lea wenu Dr na mzee wa mikasino, ni madarasa tu kichwani lkn elimu sefuri.

Zitto wasikuburuze hao, tunajua kama ni kuijengea umaarufu chadema wewe ndo Jembe, sasa umewafikisha juu, wanataka kukuchafua. we kaza buti tu mwanangu popote unafiti, hata ukigombea kiti binafsi unakubalika, watu wanaona uadilifu wako baba. achana na hao wakurupukaji.
 
kitendo cha kumuamini sana huyo dr wako ndo itatufanya tuelewe kuwa ni mumewe. Pili ni kwamba zitto anajua maana na umuhimu wa kutii sheria bila shuruti, na ametawaliwa na busara zaidi na sio kukurupuka. Kiufupi zitto amesoma akaelimika, ila hao top lea wenu dr na mzee wa mikasino, ni madarasa tu kichwani lkn elimu sefuri. Zitto wasikuburuze hao, tunajua kama ni kuijengea umaarufu chadema wewe ndo jembe, sasa umewafikisha juu, wanataka kukuchafua. We kaza buti tu mwanangu popote unafiti, hata ukigombea kiti binafsi unakubalika, watu wanaona uadilifu wako baba. Achana na hao wakurupukaji.

magamba na hii style yenu ya kumtetea naibu katibu mkuu wa chadema, sijui inakuwaje tena!
 
magamba na hii style yenu ya kumtetea naibu katibu mkuu wa chadema, sijui inakuwaje tena!
Yaani wewe hata hujijui, Mtu akisema ukweli basi ni gamba na sio gwanda, siku zote magwanda wanamatatizo kwa sababu wanavimbishia misuli hata sheria za nchi, sasa wakitawala sijui itakuwaje. yaani magwanda ni balaaaa tupuuuuuuuuuuuuu
 
Kitendo cha kumuamini sana huyo Dr wako ndo itatufanya tuelewe kuwa ni mumewe. Pili ni kwamba Zitto anajua maana na umuhimu wa kutii sheria bila shuruti, na ametawaliwa na busara zaidi na sio kukurupuka. kiufupi zitto amesoma akaelimika, ila hao top lea wenu Dr na mzee wa mikasino, ni madarasa tu kichwani lkn elimu sefuri. Zitto wasikuburuze hao, tunajua kama ni kuijengea umaarufu chadema wewe ndo Jembe, sasa umewafikisha juu, wanataka kukuchafua. we kaza buti tu mwanangu popote unafiti, hata ukigombea kiti binafsi unakubalika, watu wanaona uadilifu wako baba. achana na hao wakurupukaji.

Mkuu labda nikuulize kitu kimoja,mikutano yote ya Cdm kuanzia kaskazini mpaka kusini,mashariki mpaka magharibi iliyofanyika ambayo Zitto hakuudhuria ilikua kinyume na sheria au unaongozwa na hisia kuliko uhalisia?Zitto juzi aliahidi kuwepo Moro alafu hakutokea na mawasiliano yake yakawa hayapatikani je kwako kwa kitendo iko ndio kuelimika?

nini tofauti ya kuelimika na Unafiki?hoja yakosi kua imenipa shaka juu ya uelewa wako na uwezo wako wa kufikiri tu bali ni wazi hata elimu yako ni tata, hachilia mbali udhaifu wako katika kuandika
 
Mkuu labda nikuulize kitu kimoja,mikutano yote ya Cdm kuanzia kaskazini mpaka kusini,mashariki mpaka magharibi iliyofanyika ambayo Zitto hakuudhuria ilikua kinyume na sheria au unaongozwa na hisia kuliko uhalisia?Zitto juzi aliahidi kuwepo Moro alafu hakutokea na mawasiliano yake yakawa hayapatikani je kwako kwa kitendo iko ndio kuelimika?nini tofauti ya kuelimika na Unafiki?hoja yakosi kua imenipa shaka juu ya uelewa wako na uwezo wako wa kufikiri tu bali ni wazi hata elimu yako ni tata,hachilia mbali udhaifu wako katika kuandika
Nakushukuru sana ila naomba nikupe habari kwamba hata hoja zinazotolewa na askofu slaa kwenye majukwaa ni za kipuuzi kwa sababu, huwezi kusema watu wameingiza silaha wakati ndo serikali inayokuongoza wewe ulitaka aagize nani.

sasa wewe unataka zito na busara zake ahudhurie mikutano ambayo haina tofauti na waimba tarabu wa aina ya mipasho? endelea kunielimisha mwalimu.
 
Yaani wewe hata hujijui, Mtu akisema ukweli basi ni gamba na sio gwanda, siku zote magwanda wanamatatizo kwa sababu wanavimbishia misuli hata sheria za nchi, sasa wakitawala sijui itakuwaje. yaani magwanda ni balaaaa tupuuuuuuuuuuuuu

Hakuna mtu aliyevimbishia msuri sheria za nchi ila wanajua na wanafuata haki za kikatiba,katiba haikatazi maandamano wala mikutano ya kisiasa, ila kwa kua kwa miaka mingi mambumbu tulikua wengi basi ndio maana watawala walikua wanatufanyia vile wanavyotumwa na akili zao, sasa hv watu wamesha elimika, ndio maana watawala wanahaha!

wamebaki fools wachache tu ambao bado hawajuhi haki zao kikatiba na ambao wanaongozwa na hisia kua kauli ikitoka kwa polisi au mtawala basi ndio sheria, ila nao itafika muda wataelimika tu, labda waamue kua wajinga maisha yao yote
 
Nakushukuru sana ila naomba nikupe habari kwamba hata hoja zinazotolewa na askofu slaa kwenye majukwaa ni za kipuuzi kwa sababu, huwezi kusema watu wameingiza silaha wakati ndo serikali inayokuongoza wewe ulitaka aagize nani. sasa wewe unataka zito na busara zake ahudhurie mikutano ambayo haina tofauti na waimba tarabu wa aina ya mipasho? endelea kunielimisha mwalimu.

Ndio maana nakupa ushauri wa bure kua ni bora ungeiba muda kidogo hata kujiendeleza kielimu kwa level ndogo tu uwe na uwezo wa kifikra, kwanza Slaa hajawahi kua askofu, pili silaha zinazo ongelewa zimeingizwa na Chama na si serikali, ndio maana zikaingizwa kwa kificho na usiri mkubwa tena bila kulipiwa chochote, mmiliki amekuja kugundulika ni chama cha mapinduzi kama chama na si serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania!

au kwako wewe Nape Nnauye na Mukama ni sehemu ya viongozi wa serikali? jaribu kushirikisha ubongo katika kufikiri mkuu
 
Wewe ni marehemu; unapotangaza ubaguzi wa makabila kwa stahili hii unalenga nini hasa???? Maana yake watu wa mkoa anakotoka Zitto wote wakimbie kutoka CDM??? Labda uelimishwe, watu wa mkoa huo ni wapiganaji na wanajua kutetea haki zao na mara nyingi huwazinapatikana. Uozo wa tuhuma kuhusu jengo la KITEGA UCHUMI kwanza fanya utafiti, jua kweli na hiyo kweli uitumie kuwafahamisha watu. Acha umarehemu wako. Leta hoja za msingi na sio kubagua kuona mkoa wako ndio wenye watu safi wanaoweza kuongoza kumbe unapelekeshwa na dhana ya ubaguzi jambo ambalo hutaweza kushinda
Alikugawia za Rostamu nini?mbona unachachawa sana unajifanya umesahau uhusiano wake na usalama wa Taifa, au ndio wewe, Zitto ni mwanasiasa mzuri lakini utake usitake ni opportunist
 
Ndio maana nakupa ushauri wa bure kua ni bora ungeiba muda kidogo hata kujiendeleza kielimu kwa level ndogo tu uwe na uwezo wa kifikra,kwanza Slaa hajawahi kua askofu,pili silaha zinazo ongelewa zimeingizwa na Chama na si serikali,ndio maana zikaingizwa kwa kificho na usiri mkubwa tena bila kulipiwa chochote,mmiliki amekuja kugundulika ni chama cha mapinduzi kama chama na si serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania!au kwako wewe Nape Nnauye na Mukama ni sehemu ya viongozi wa serikali?jaribu kushirikisha ubongo katika kufikiri mkuu
Mi nafikiri ni slaa ndo kaingiza hizo silaa kwa jina la CCM ili aichafue, CCM haina haja ya kuingiza silahaa wakati yenyewe ndo imeshika usukani, kwa sababu hata ikitaka kuingiza silaha wataambiwa wanajeshi tu waagize.

ndo maana nakwambia mtu ukiitwa cha de ma yaani wwewe hauna reasoning hata ya kufikiria logic kama hizo kaka.

Pole kwa kuambulia darasa la kukurupuka na sio elimu.
 
Mi nafikiri ni slaa ndo kaingiza hizo silaa kwa jina la CCM ili aichafue, CCM haina haja ya kuingiza silahaa wakati yenyewe ndo imeshika usukani, kwa sababu hata ikitaka kuingiza silaha wataambiwa wanajeshi tu waagize. ndo maana nakwambia mtu ukiitwa cha de ma yaani wwewe hauna reasoning hata ya kufikiria logic kama hizo kaka. Pole kwa kuambulia darasa la kukurupuka na sio elimu.

Inawezekana uko sahihi sana mkuu,maana Dr Slaa ndie ambae ameshika dola, kwa hiyo ni rahisi kwake kutoa maelekezo tu kwa mamlaka husika kuingiza hizo silaha then zikatumika na chama chake, u very correct mkuu, ila jaribu kupitia hoja yako wewe mwenyewe uliyoandika alafu jiulize mara mbili mbili uko sahihi kweli,maana unaji contradict alafu unarudi palepale kua walioingiza silaha ni kina nani na kwa kutumia kina nani!pengine kwa uelewa wako wewe umeona una reasoning!

hv unadhani silaha za jeshi zinatolewa tu kwa kua c.c.m wana dola basi wakitaka silaha wanapewa tu!u give me a big laugh mkuu...hongera sana kwa kupata darasa la elimu lakini haukuelimika
 
Hakuna mtu aliyevimbishia msuri sheria za nchi ila wanajua na wanafuata haki za kikatiba,katiba haikatazi maandamano wala mikutano ya kisiasa,ila kwa kua kwa miaka mingi mambumbu tulikua wengi basi ndio maana watawala walikua wanatufanyia vile wanavyotumwa na akili zao,sasa hv watu wamesha elimika,ndio maana watawala wanahaha!wamebaki fools wachache tu ambao bado hawajuhi haki zao kikatiba na ambao wanaongozwa na hisia kua kauli ikitoka kwa polisi au mtawala basi ndio sheria,ila nao itafika muda wataelimika tu,labda waamue kua wajinga maisha yao yote
Nyie milpewa kibali cha kufanya mkutano na siyo maandamano, na sababu za msingi zimetolewa ila kama mtu una busara ni veeeeeery simple kuelewa, tatizo lenu mkiaambiwa kuna sensa au kuna watu wapo makzini mnasema hayo yanawahusu CCM, hamreason kwamba sensa ni suala la kitaifa na kiuzalendo.

yaani sijui umeishia std ngapi ya uelewa. pole mkuu kwa maandamano yasiyo na tija.
 
Nyie milpewa kibali cha kufanya mkutano na siyo maandamano, na sababu za msingi zimetolewa ila kama mtu una busara ni veeeeeery simple kuelewa, tatizo lenu mkiaambiwa kuna sensa au kuna watu wapo makzini mnasema hayo yanawahusu CCM, hamreason kwamba sensa ni suala la kitaifa na kiuzalendo. yaani sijui umeishia std ngapi ya uelewa. pole mkuu kwa maandamano yasiyo na tija.

Me nimeishia Std three mkuu,any way kwa uelewa wako mkubwa je unadhani kuli athirika nini juzi katika sensa na hata utendaji wa watumishi maofisini, kwa kua maandamano yalifanyika mpaka kiwanja cha ndege baada ya polisi kusalim amri japo waliua.

pili hv unakumbuka maandamano ya Dsm yaliyopgwa marufuku kuelekea Jangwani?

kama kumbukumbu zangu ziko sawa mkutano ule ulikua ni week end,je sababu za msingi kuyakataza zilikua ni zipi?maana hakukua na sensa,ugeni wa kitaifa wala haikua siku ya kazi!tatu je ni maandamano mangapi ya wizara na taasisi mbalimbali ufanyika siku za kazi bila kupigwa marufuku,au maandamano ya Cdm tu ndio uathiri utendaji wa watumishi maofisini?nielimishe mkuu maana hapa tupo kuelimishana na si kubishana
 
Me nimeishia Std three mkuu,any way kwa uelewa wako mkubwa je unadhani kuli athirika nini juzi katika sensa na hata utendaji wa watumishi maofisini,kwa kua maandamano yalifanyika mpaka kiwanja cha ndege baada ya polisi kusalim amri japo waliua,pili hv unakumbuka maandamano ya Dsm yaliyopgwa marufuku kuelekea Jangwani?kama kumbukumbu zangu ziko sawa mkutano ule ulikua ni week end,je sababu za msingi kuyakataza zilikua ni zipi?maana hakukua na sensa,ugeni wa kitaifa wala haikua siku ya kazi!tatu je ni maandamano mangapi ya wizara na taasisi mbalimbali ufanyika siku za kazi bila kupigwa marufuku,au maandamano ya Cdm tu ndio uathiri utendaji wa watumishi maofisini?nielimishe mkuu maana hapa tupo kuelimishana na si kubishana
Kuna kitu ambacho huelewi, ninyi mnahistoria ya kusababisha machafuko ktk maandamano mengi ndo maana tahadhari zinachukuliwa, na nakushangaa unapouliza maandamano yalisababisha nn wakati unajua mumeua mtu, na hiyo ni kawaida hata arusha mlifanya hivyo mkasingizia polisi. yaani ninyi ni kasheshe tupu.
 
Inawezekana uko sahihi sana mkuu,maana Dr Slaa ndie ambae ameshika dola,kwa hiyo ni rahisi kwake kutoa maelekezo tu kwa mamlaka husika kuingiza hizo silaha then zikatumika na chama chake,u very correct mkuu,ila jaribu kupitia hoja yako wewe mwenyewe uliyoandika alafu jiulize mara mbili mbili uko sahihi kweli,maana unaji contradict alafu unarudi palepale kua walioingiza silaha ni kina nani na kwa kutumia kina nani!pengine kwa uelewa wako wewe umeona una reasoning!hv unadhani silaha za jeshi zinatolewa tu kwa kua c.c.m wana dola basi wakitaka silaha wanapewa tu!u give me a big laugh mkuu...hongera sana kwa kupata darasa la elimu lakini haukuelimika
Ha ha haa, sasa uliwahi kusikia wapi CCm inatumia silaha, na kwani hizo silaha mpaka iagize ni za nn wakati yenyewe ndo imeshika hatamu najua hupendi kusikia hivyo lkn pole.

ndo hivyo subirini zamu yenu na ninyi mkitaka kuagiza za jeshi lenu muagize lkn sio za chama. na mnavopenda kuzusha bila kutumia bongo. mtazusha mengi sana, na hii itawashusha sana na kuambulia patupu. Poleni.
 
ZITTO hakukosea bila shaka ,kwa sababu mkutano haukua halali kutokna na kutopata kibali cha polisi

ZITTO ni kama JUDAH aliyemsaliti yesu.ipo siku zitto atamsaliti dr.slaa kwa polisi(+watawala). ZITTO ni kama changudoa anayetumiwa na polisi (+watawala) kwa lipo la CHEO NA USALAMA WAKE. huenda jamaa amelipwa na polisi baada ya kutoa huduma (ngono) kwa polisi! aisee this gie is COWARD!!
 
Mkuu labda nikuulize kitu kimoja,mikutano yote ya Cdm kuanzia kaskazini mpaka kusini,mashariki mpaka magharibi iliyofanyika ambayo Zitto hakuudhuria ilikua kinyume na sheria au unaongozwa na hisia kuliko uhalisia?Zitto juzi aliahidi kuwepo Moro alafu hakutokea na mawasiliano yake yakawa hayapatikani je kwako kwa kitendo iko ndio kuelimika?nini tofauti ya kuelimika na Unafiki?hoja yakosi kua imenipa shaka juu ya uelewa wako na uwezo wako wa kufikiri tu bali ni wazi hata elimu yako ni tata,hachilia mbali udhaifu wako katika kuandika

sasa kwani hamna vikao vya chama vya ndani mpaka mje kutuelezea hapa jf.hiyo simu wanajf ndo walimpigia akawazimia au ni hao viongozi wa cdm.

Conclusion ni kuwa hii uzi iko na maneno ingine.SISI SIO KAMATI KUU YA CHADEMA,hii kesi peleka kunakohusika.
 
Ndio maana nakupa ushauri wa bure kua ni bora ungeiba muda kidogo hata kujiendeleza kielimu kwa level ndogo tu uwe na uwezo wa kifikra,kwanza Slaa hajawahi kua askofu,pili silaha zinazo ongelewa zimeingizwa na Chama na si serikali,ndio maana zikaingizwa kwa kificho na usiri mkubwa tena bila kulipiwa chochote,mmiliki amekuja kugundulika ni chama cha mapinduzi kama chama na si serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania!au kwako wewe Nape Nnauye na Mukama ni sehemu ya viongozi wa serikali?jaribu kushirikisha ubongo katika kufikiri mkuu

hizo silaha wamehifadhi wapi munene?.
 
sasa kwani hamna vikao vya chama vya ndani mpaka mje kutuelezea hapa jf.hiyo simu wanajf ndo walimpigia akawazimia au ni hao viongozi wa cdm.
Conclusion ni kuwa hii uzi iko na maneno ingine.SISI SIO KAMATI KUU YA CHADEMA,hii kesi peleka kunakohusika.

Acha kuwa kama kuku anayekataa vifaranga vyake wakikua. CHADEMA ni chama KIMETULEA ,TUNAWALEA na pia WATATULEA!. kwanini CHADEMA wafishe habari wakati ni chama cha wananchi na si CHAMA CHA SLAA,WAZEE WA PALE CCM, ZITTO WALA MBOWE! we dogo hilo pepo lako la USALAMA WA CCM kwenye jamii forum sipakutolewa!!!
 
Back
Top Bottom