Muendelezo wa Zitto Kabwe Kuasi chama?

Mmemlaumu na wenginne kutoa maneno ya kashfa na kejeli, nadhani tumemkosea haki kwani hakuna anayeweza kujua ni jambo gani limemfanya asihudhurie. Jamani, Great thinkers, msiwe wepesi wa kulaumu na kuchangia mada bila kwenda kwenye chimbuko!!!!!

Kuna watu humu wanaamini kila kitu kishakua tayari kwa hiyo wanachama wengine hawana umuhimu.
 
Basically Zito ni Kijana aliyekuwa Trained na CDM!! Ila sidhan kama likitokea Tatizo lolote kwa mpango wa Mungu basi Chama kitakufa kwa Kutokowepo kwake!! Basically kwa sasa wameshazaliwa mazito zaidi ya Mia!! Kalagabao!!
 
Cdm na jazba zetu tusipojisahihisha, itatughalimu. Tunapenda kulaumu sana. Zitto kwa upande wangu namuona kuwa ni mtu makini ambaye hupima jambo kabla hajachukua hatua. In short the guy is real wise. Tutamlaumu sana zitto lakini huyu jamaa ni bonge la kiongozi siyo vilaza wetu akina mbowe na slaa ambao wamejaa umimi, ukabila, roho mbaya na uuaji. Yanakuja ya ulimboka sasa ndipo mtakapojua kuwa cdm ni chama cha aina gani. Wanadhani watawin kwa kuchezea maisha ya watanzania na kuogea nuksi zao kwa serikali. Yetu masikio tusubiri watu kuumbuliwaaaaaaa!

Mnafiki utamjua tu. jazba zetu sisi CDM ..... wanadhani watawin wao CDM, uko upande upi? Usionee aibu msimamo wako.
 
Zitto kama walivyo watu wengi wa mkoa wake ni opportunist,na huwezi kumuamini kabisa kwa lolote, yeye anaangalia upepo unapovumia, sitashangaa kuona kabla ya 2015 anahamia chama cha Dovutwa[nimekisahau jina] au kile chama kilichoundwa na watu waliojiengua CUF[nacho nimekisahau jina] ili apate upenyo wa kugombea uraisi japo anajua fika hawezi kupata.

CHADEMA itafanya kosa kumtegemea Zitto kwenye harakati zake,kwa sisi tunaomjua vizuri Zitto WA 2005 sio Zitto wa sasa hivi, mambo mengi yamepita hapa katikati,na kwa taarifa yenu lile jengo pekee la kitega uchumi pale Kigoma mjini ni la Zitto Kabwe sasa jiulize pamoja na kususia posho huo mtaji wa kujenga ilo ghorofa alitoa wapi?
 
Cdm na jazba zetu tusipojisahihisha, itatughalimu. Tunapenda kulaumu sana. Zitto kwa upande wangu namuona kuwa ni mtu makini ambaye hupima jambo kabla hajachukua hatua. In short the guy is real wise. Tutamlaumu sana zitto lakini huyu jamaa ni bonge la kiongozi siyo vilaza wetu akina mbowe na slaa ambao wamejaa umimi, ukabila, roho mbaya na uuaji. Yanakuja ya ulimboka sasa ndipo mtakapojua kuwa cdm ni chama cha aina gani. Wanadhani watawin kwa kuchezea maisha ya watanzania na kuogea nuksi zao kwa serikali. Yetu masikio tusubiri watu kuumbuliwaaaaaaa!

Tanzania kwanza,M4C inazingatia ukombozi wa Tanzania,mengine baadaye
 
Zitto kama walivyo watu wengi wa mkoa wake ni opportunist,na huwezi kumuamini kabisa kwa lolote,yeye anaangalia upepo unapovumia,sitashangaa kuona kabla ya 2015 anahamia chama cha Dovutwa[nimekisahau jina] au kile chama kilichoundwa na watu waliojiengua CUF[nacho nimekisahau jina] ili apate upenyo wa kugombea uraisi japo anajua fika hawezi kupata.CHADEMA itafanya kosa kumtegemea Zitto kwenye harakati zake,kwa sisi tunaomjua vizuri Zitto WA 2005 sio Zitto wa sasa hivi,mambo mengi yamepita hapa katikati,na kwa taarifa yenu lile jengo pekee la kitega uchumi pale Kigoma mjini ni la Zitto Kabwe sasa jiulize pamoja na kususia posho huo mtaji wa kujenga ilo ghorofa alitoa wapi?

Huyu jamaha ndio anajiua kisiasa,japo yeye haamini ilo kwa kua ana amini kua anajua kila kitu,ila maisha yake kisiasa si marefu kabisa,tuombe uhai tu
 
Cdm na jazba zetu tusipojisahihisha, itatughalimu. Tunapenda kulaumu sana. Zitto kwa upande wangu namuona kuwa ni mtu makini ambaye hupima jambo kabla hajachukua hatua. In short the guy is real wise. Tutamlaumu sana zitto lakini huyu jamaa ni bonge la kiongozi siyo vilaza wetu akina mbowe na slaa ambao wamejaa umimi, ukabila, roho mbaya na uuaji. Yanakuja ya ulimboka sasa ndipo mtakapojua kuwa cdm ni chama cha aina gani. Wanadhani watawin kwa kuchezea maisha ya watanzania na kuogea nuksi zao kwa serikali. Yetu masikio tusubiri watu kuumbuliwaaaaaaa!

Mkuu hapo kwenye red umepotoka kidogo. Kama umeuona ule umati wa watu pale mkutanoni jana naamini utakubali kuwa hayo yote yenye red ni ya uongo. Pale kulikuwa na watu wa aina zote bila ubaguzi.

Zitto ni Naibu Katibu Mkuu wa chama na kama hayo uyasemayo yapo kwenye chama ina maana alishaapa kuyatetea na kuyasimamia na ndio maana akapewa hicho cheo.

Sasa Mbowe yuko Marekani kikazi, kwenye isssue kubwa kama hii alitakiwa awepo. ila yeye anashinda twitter siku nzima.
Yuko tayari akimbie Dodoma aje dar kuwahi interview ya redio ila asiende kwenye operation za chama ambazo zimemfikisha hapo alipo.

Ngoja niishie hapa maana nikiendelea tu nitatukana mwishowe nipewe ban.
 
Zitto siku zote ni mguu mmoja ndani na mwingine nje hasa ikizingatiwa anavyoteswa na malengo yake fichi ya kutaka awe rais wa Tanzania. The boy is now a liability to CDM. Boot him out just soon.

Huyu amejulikana kama fisadi mla rushwa hafai kuwa kwenye kundi la M4C; acheni aende wakaanzishe chama yeye na Kafulila chama chao cha wagoma!! get rid of this ****!!
 
hivi ktk hali ya kawaida mnategemea mtu wa aina ya zitto atoke cdm aende ccm?

kwa njaa yake na jinsi alivyo na tamaa ni rahisi kudangaywa na hasa na mtu mshawishi kama mkweree!

Safari mbili za nchi za nje zinatosha kumrubuni zitto!! He is that cheap!
 
Ni kweli mkuu hatujuhi kilichomsibu,ila wengi mkutanoni walikua wakilalamika huyu mtu mienendo yake inatia shaka sana siku hizi,na kwenye harakati mbalimbali za chama haonekani,amekua ni mtu wa kujitenga!watu wamechoshwa nae!hii ya Morogoro leo si mara ya kwanza!

Zito sio mchaga kama nyinyi
 
Mwakolo huna adabu. Kwani Slaa, Rwakatare, Mnyika na wengine wengi wenye sifa ni wachaga? Jaribuni kufikiri japo kidogo badala ya kujiandikia kama hamnazo mwanangu.

CDM si chama cha wachaga wala nini bali watanzania wapinga ufisadi na upuuzi wa miaka nenda rudi ya CCM. Najua makapi ya CCM hayapendi kusikia CDM ikitajwa.

Mpende msipende mtakiona walichokiona KANU hapa nchi jirani.
 
A good leader will never look for cheap popularity like going to meetings where wahuni wanakataa kutii amri halali kwa kutafuta umaarufu.

Mimi naamini Zito alijua kuwa sio sahihi kuwepo Morogoro. After all kitu gani kingebadilika kwa kuwepo kwake.
 
Hivi mmeliona jumba la Mh Rwakatare?wapi wanatoa mafunzo ya uhubiri?nataka na mimi niwe muhubiri nifungue kanisa langu Charambe,hizi dili za dini naona zinatoa.
 
Leo Zitto Kabwe aliahidi kuwepo kwenye mkutano wa M4C hapa mjini Morogoro,katika hali ya kushangaza Zitto hakuweza kutokea mkutanoni japo aliahidi kutokea hata kama angechelewa,cha ajabu zaidi hata mawasiliano yake yalikuja kupotea mwishoni kutokana na kauli ya Dr Slaa!tunamshukuru kipenzi cha watu J.J.Mnyika,pamoja na uchovu na majukumu aliyokua nayo mchana mjini Dsm,ila alihakikisha amefunga safari na kudhuria M4C hapa Morogoro!Zitto tunapenda kujua huko pamoja nasi au wewe ni kenge ndani ya msafara wa Mamba?wana Chadema wengi hawana imani tena na wewe!na mbinu uliyotumia kupotezea mawasiliano mwishoni wakati ulihaidi kuwepo mkutanoni ni utoto wa hali ya juu

Hizi ni garbage. Inaonekana kuna mpango maalum wa kumun'goa Zitto CDM. Pengine ndio zile siasa za ukanda mnazotaka watu waamini.

Ona comments zako, umemponda Zitto, ukamsifia Mnyika na Dr. Slaa. Pia umesema wanachadema wameshamchoka Zitto, nani kakwambia hayo??????Acha uongo.

Zitto ni mbunge wa CDM jimbo lake ni CDM tupu na wanamkubali sasa nani hao CDM wasomkubali???? Kama kuna wengine wenye mawazo kama yako labda mmetumwa na magamba kukuza siasa za ukanda ili wtz wakichukie CDM kwa misingi ya ubaguzi.
 
Hivi mmeliona jumba la Mh Rwakatare?wapi wanatoa mafunzo ya uhubiri?nataka na mimi niwe muhubiri nifungue kanisa langu Charambe,hizi dili za dini naona zinatoa.
dah,ni mjengo wa nguvu.unakaribiana na wa mwamvita.

Huyu mama shule zile ndo zinaingiza mahela ya kutosha.
 
Zitto kama walivyo watu wengi wa mkoa wake ni opportunist,na huwezi kumuamini kabisa kwa lolote,yeye anaangalia upepo unapovumia,sitashangaa kuona kabla ya 2015 anahamia chama cha Dovutwa[nimekisahau jina] au kile chama kilichoundwa na watu waliojiengua CUF[nacho nimekisahau jina] ili apate upenyo wa kugombea uraisi japo anajua fika hawezi kupata.CHADEMA itafanya kosa kumtegemea Zitto kwenye harakati zake,kwa sisi tunaomjua vizuri Zitto WA 2005 sio Zitto wa sasa hivi,mambo mengi yamepita hapa katikati,na kwa taarifa yenu lile jengo pekee la kitega uchumi pale Kigoma mjini ni la Zitto Kabwe sasa jiulize pamoja na kususia posho huo mtaji wa kujenga ilo ghorofa alitoa wapi?

Wewe ni marehemu; unapotangaza ubaguzi wa makabila kwa stahili hii unalenga nini hasa???? Maana yake watu wa mkoa anakotoka Zitto wote wakimbie kutoka CDM???

Labda uelimishwe, watu wa mkoa huo ni wapiganaji na wanajua kutetea haki zao na mara nyingi huwazinapatikana. Uozo wa tuhuma kuhusu jengo la KITEGA UCHUMI kwanza fanya utafiti, jua kweli na hiyo kweli uitumie kuwafahamisha watu.

Acha umarehemu wako. Leta hoja za msingi na sio kubagua kuona mkoa wako ndio wenye watu safi wanaoweza kuongoza kumbe unapelekeshwa na dhana ya ubaguzi jambo ambalo hutaweza kushinda
 
Back
Top Bottom