mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 559
Pamoja na kutoaminika kwake Zitto lkn kwa tukio la leo hatujajua bado nn kimemtokea,labda kapata matatizo i.e ajali lets be patient and wait. Judge not!
Cdm na jazba zetu tusipojisahihisha, itatughalimu. Tunapenda kulaumu sana. Zitto kwa upande wangu namuona kuwa ni mtu makini ambaye hupima jambo kabla hajachukua hatua. In short the guy is real wise. Tutamlaumu sana zitto lakini huyu jamaa ni bonge la kiongozi siyo vilaza wetu akina mbowe na slaa ambao wamejaa umimi, ukabila, roho mbaya na uuaji. Yanakuja ya ulimboka sasa ndipo mtakapojua kuwa cdm ni chama cha aina gani. Wanadhani watawin kwa kuchezea maisha ya watanzania na kuogea nuksi zao kwa serikali. Yetu masikio tusubiri watu kuumbuliwaaaaaaa!
Mkuu usiye kama wale wenye macho lakini hawaoni,au wenye masikio lakini hawasikii,nimeandika kua Zitto alihaidi kutokea leo lakini hakutokea,pia katika viongozi wote wa CDM,ni yeye peke yake ndio haonekani kwenye mikutano ya M4C,kwa nini wafuasi wamtuhumu yeye na si Mnyika,Lissu,Sugu na wengineo?
Cdm na jazba zetu tusipojisahihisha, itatughalimu. Tunapenda kulaumu sana. Zitto kwa upande wangu namuona kuwa ni mtu makini ambaye hupima jambo kabla hajachukua hatua. In short the guy is real wise. Tutamlaumu sana zitto lakini huyu jamaa ni bonge la kiongozi siyo vilaza wetu akina mbowe na slaa ambao wamejaa umimi, ukabila, roho mbaya na uuaji. Yanakuja ya ulimboka sasa ndipo mtakapojua kuwa cdm ni chama cha aina gani. Wanadhani watawin kwa kuchezea maisha ya watanzania na kuogea nuksi zao kwa serikali. Yetu masikio tusubiri watu kuumbuliwaaaaaaa!
Mwenzenu anapima upepo ni wapi akagombee urais
Sawa mkuu, nakubaliana na wewe lakini kishaulizwa kinachomsibu?
Pengine ana sababu za msingi. Ushabiki wetu usitufumbe macho
tukashindwa kuuona ukweli. Naamini kabisa kuwa CDM ni chama makini
cha watu makini. Huu ni mtazamo wangu...
Jf kuna watu wengine wenye vichwa vya 'Shake Well Before Use'
Ni nani hamtaki mwenzake, Wanaetaka kushirikiana nae au hasietaka kushirikiana nao?Hivi CDM wanahofia nini kutokuwepo kwa ZITTO katika mikutno yao? kwa nini wasitamke kuwa hawamtaki badala ya kumumunya maneno.
Umeonae?jamaa fulani alidai eti anazee...vibaya.Mi cmo bt kiungwana angepotezea kwani yye hakosei?Slaa naye kachemka kwa nni asememe hadharani, kuwa mawasiliano ya ZITTO hayapatikani, hizo ni siri la ndani hakupaswa kusema kwenye jukwaa, hapo ni kuendeleza majungu.
ZITTO hakukosea bila shaka ,kwa sababu mkutano haukua halali kutokna na kutopata kibali cha polisi
Umeonae?jamaa fulani alidai eti anazee...vibaya.Mi cmo bt kiungwana angepotezea kwani yye hakosei?
Zitto siku zote ni mguu mmoja ndani na mwingine nje hasa ikizingatiwa anavyoteswa na malengo yake fichi ya kutaka awe rais wa Tanzania. The boy is now a liability to CDM. Boot him out just soon.
Tunajua ila acha majungu.thrid juu ya zitto sasa bac