- Thread starter
- #41
Naendelea kufuatilia vzr michango yenu, na kwa hesabu zangu za haraka haraka kupitia mawazo ya ushauri wenu mlionipa hapa jamvini siku 40 ndo zimekuwa na idadi kubwa, bt mathematically averaged to 65 days huku hali na afya ya my wife kuzingatiwa. Ahsanteni sana.