Muda umefika kwa wananchi kuwapima wabunge wao bila kujali Itikadi za vyama waiteni majimboni

security guard

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
799
603
Muda umefika kwa wananchi kuwapima wabunge wao bila kujali Itikadi za vyama waiteni majimboni waeleze walichowafanyia na kama hawaeleweki waambieni wazi 2015 kura zenu wamekosa....

Wananchi mnapaswa kuelewa wabunge wengi wanafanya siasa ni njia ya kuingiza kipato na wamewasahau kabisa...muda ndio huu sasa na mkikosea hapa hamtarekebisha tena.
 
Umekurupuka,tuwaite Majimboni kufanyaje? Hujui kama bunge limeanza na maeneo ya kazi ni bungeni na jim boni? Yaani kuona kama baba au ndugu anakupenda kipimo ni kwamim bia toka kazini uje? Ama kweli pumba ni kipaji cha pekee na mwenzetu sjui nani kakujaalia kipaji hiki?
 
Sisi wabunge wetu CDM wanapiga mzigo ipasavyo tatizo lipo kwa hao waliobakia kwani wamebobea kwenye kugonga meza
 
Back
Top Bottom